Uchaguzi 2020 Maoni ya Jeffery Smith juu ya Uchaguzi wa Tanzania 2020

Duh...!. Hawa mabeberu wa kizungu Buana!, wanahaha sana!. Wanadai kukiwa na uwanja sawa wa ushindani, Magufuli na CCM hawawezi kushinda!.
Duh...!.
Masikini Wazungu hawa tuwasamehe bure tuu!
Nyerere wakati anakabidhiwa nchi si alikuwa mwalimu wa Sekonda
 
Tulitegemea wapinzani wangeendelea kuyashikia kidete mambo haya kama walivyokuwa wakifanya nyuma lakini hawafanyi tena wamebakia kuigiza na kujifanya wanaonewa ili wananchi wawaonee huruma na mwaka huu wataisoma namba hakuna cha huruma wala nini tunataka kuwasikia kwa miaka 5 wamefanya nini cha maendeleo ili tuwachague tena kama hamna wasubiri Oktoba
 
Duh...!. Hawa mabeberu wa kizungu Buana!, wanahaha sana!. Wanadai kukiwa na uwanja sawa wa ushindani, Magufuli na CCM hawawezi kushinda!.
Duh...!.
Masikini Wazungu hawa tuwasamehe bure tuu!

Umechelewa washachagua ma dc na ded arusha. Naona unajitutumua. Komaa watakuona
 
Sihitaji kupitia mabandiko yako ya zama damu eti ndio nijue mitazamo yako. Najua ni wapi unasimamia, mara baada ya mambo yako kuyumba.

Rejea hiki nilichokuambia kuwa msimamo wako umekuwaje kwa sasa baada ya mambo yako kwenda mrama. Hivyo ww sio mzalendo, bali ni msaka ulaji, na tiketi ya kuupata huo ulaji ni kujifanya mzalendo.
 
Mimi mwenyewe najua hata nikishindana na kivuli changu, naogopa nitashindwa tu. Watu wanaweza kulipa jiwe kura kuliko kwenda kupata kinywaji.
 
Kama upinzani tanzania ni dhaifu kama mnavyosema mbona kila siku mnautumia polisi wauuwe?

Wakiweka vikao vya ndani mnawakamata .

Wakiweka mikutano ya nje mnawazuia kwa sababu za kiintelijensia.

Kwa miaka mitano mmewazuia kufanya siasa kwa namna yoyote ile mnategemea upinzani ukue?

VYOMBO vya habari vyao mnavifungia.

VYOMBO vya habari ambavyo sio vyao mmevitisha visitangaze habari zao nzuri.

Mnaviruhusu vitangaze habari za wabunge wao kuja CCM tu.

Yani upinzani mnaufanyia kila Aina ya ugaidi.

Viongozi wait ama mnawapiga risasi au mnawafungulia.kesi za uonezi.

Kwenu nyie credible opposition ni wanasiasa Aina ya mbatia na mrema.

Mnausema upinzani wa Tanzania ni dhaifu huku mnaupambanisha na dola (polisi na majeshi)

Mahaka zote mmezitia mfukoni mtu kama lisu alieonewa vibaya mno mahakama zenu zimeshindwa kumpa haki.

Kiufupi watanzania wenye akili wanauelewa upinzani Sana na CCM wanaiona Kama chama cha kigaidi kilichoshikilia dola.

Kama mnaamini upinzani wa Tanzania ni dhaifu wekeni uwanja sawa wa mapambano muone.

Msivyo na aibu mnajiwekea Kinga msishtakiwe kwasababu mnajua madhambi yenu.
 
dola inaiterorize Strong oposition halafu mnasema Haina nguvu ha ha ha
 
Duh...!. Hawa mabeberu wa kizungu Buana!, wanahaha sana!. Wanadai kukiwa na uwanja sawa wa ushindani, Magufuli na CCM hawawezi kushinda!.
Duh...!.
Masikini Wazungu hawa tuwasamehe bure tuu!
Pascal. What criterion are you using to conclude that opposition in TZ at the moment is that weak and incredible? Come out with some concrete and testable reasons.
 
Hata Gavana wa Uingereza hakuamini kama Mwalimu Nyerere na TANU wanaweza kuiongoza Tanganyika. Matokeo yake umeyaona mwenyewe.

Unawezaje kumhukumu mtu kuwa hawezi wakati hapewi nafasi?
Mpe hongera Mayala kwa ka-press card kake kurejeshwa. Tumtakie urafiki mwema na Bia Yao.
 
Hata Gavana wa Uingereza hakuamini kama Mwalimu Nyerere na TANU wanaweza kuiongoza Tanganyika. Matokeo yake umeyaona mwenyewe.

Unawezaje kumhukumu mtu kuwa hawezi wakati hapewi nafasi?
0
Urais sio sehemu ya majaribio ya kila mtu apewe nafasi hilo lielewe na utie akilini mwako DAKTARI, pili TZ
Ukiondoa wanachama baadhi waliopo ndani ya CCM huko nje hakuna kiumbe yeyote kwasasa labda miaka 50 ijayo angalau atakuwa na sifa za kuwa RAIS kwa sasa hakuna kabisa na hawako SERIOUS, labda ubunge na udiwani tu nako wanaenda pata kipigo kikali mithili ya kipigo cha mbwa KOKO unapigwa na kuchakaa...
 
Mkuu usimchukulie kwa umakini Pasco uwezo wake wa kufikiri umekoma.
 
Bro angalau sasa umerudishiwa card yako...mihela itamiminika soon 77.

Na nakuhakikishia baada ya october tegemea mazuri hata ukuu wa wilaya lazima utaupata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…