Lookmalasin
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,723
- 2,358
Katiba nzuri ni msingi thabiti, imara kila kitu kinajengwa juu yake.Katiba mpya Sio dawa
Bnadari haihusiani na kodi za ushuru wa TRA. Tena nijuavyo DP World watahusika na makontena tu, kabda waelewane na kuwawachia gati ya kushusha magari.Dp wakitaka kutukonga watz watuondolee Kodi komozi kwenye ushuru wa magari
Kwani hiyo bandari mmeipata jana? Miaka yote si mnayo wenyw? Mbona mmeshindwa kueka hiyo mitambo ya kisasa na teknolojia za kisasa? Leo ndo mnajiona mnauwezo baada ya kupewa mtu mwengn?Sasa kama ishu ni kuwa na mitambo na tekenojia ya kisasa tunashindwa nini sisi kama taifa kuwekeza?
Cranes za kisasa zinapatina . Utalaamu wa kisasa unapatikana.
Au ndio kusema waarabu ndio wanauwezo pekee wa kufunga cranes na mitambo ya kisasa?
Au ndio hivyo tena.? Damu nzito kuliko maji?
Wangetimuliwa mbio mbio?Acha upuuzi. Ticts ilikuwa ni ufisadi kama huu mnaofanya sasa
TRA wakituliza akili watapata Kodi nyingi kupitia indirect tax ya magari yakiingia freeBnadari haihusiani na kodi za ushuru wa TRA. Tena nijuavyo DP World watahusika na makontena tu, kabda waelewane na kuwawachia gati ya kushusha magari.
Huyo Idugunde unaemwabia hivyo nnauhakika hata bandari haijuwi na hajaiona toka kuzaliwa, sidhani hata bahari kama kawahi kuiona.Kwani hiyo bandari mmeipata jana? Miaka yote si mnayo wenyw? Mbona mmeshindwa kueka hiyo mitambo ya kisasa na teknolojia za kisasa? Leo ndo mnajiona mnauwezo baada ya kupewa mtu mwengn?
Hii nchi inasikitisha sana. Akitokea mtu snaefanya mapinduzi ya kiuchumi kama mama Samia, basi anapigwa vita.TRA wakituliza akili watapata Kodi nyingi kupitia indirect tax ya magari yakiingia free
Importers wengi sijawasikia wakilalamika!Hii nchi inasikitisha sana. Akitokea mtu snaefanya mapinduzi ya kiuchumi kama mama Samia, basi anapigwa vita...
Hakuna hata mmoja anaelalamika.Importers wengi sijawasikia wakilalamika!
Walalamikaji sasa .....
Ova
Hili swali naomba lielekezwe kwa huyo Bibi hapo mchango #5.; kwenye mada hii.Kwann tusimpe atuongeze hata kwa miaka 20 tu
Tunaweza kupata taarifa rasmi ya asili ya ufalme wake na namna gani ufalme huo ulijikusanyia mali hizo?Ni mtu mmoja mwenye upeo, mkarimu na mimali yake yote lakini yupo wazi kuongea fikra zake na maoni yake
Unaweza, hiyo post uliyoijibu yeye mwenyewe, mgalme wabDubai anajielezea, kama hsitoshi, kama unafahamu kuingia na kutafuta (search) kwenye mtandao unafanya hivyo, kama huelewi na upo Dar kuna balozi yao Tanzania, kama haupo Dar yapo mawasiliano yao kwenye mtndao, unawasiliana nao.Tunaweza kupata taarifa rasmi ya asili ya ufalme wake na namna gani ufalme huo ulijikusanyia mali hizo?
Wanaongea Kiarabu zaidi. Kwa kuwa, Mkuu, wewe ni Ndugu yangu unajua lugha zote kwa ufasaha ya Kiswahili na kiarabu, naomba unifanyie wepesi kunipatia taarifa hizo. Naofia kutumia mitandao kwani kwa kutumia google translate naweza kukosa maana halizinya maelezo kutoka kwa mfalume.Unaweza, hiyo post uliyoijibu yeye mwenyewe anajielezea, kama hitoshi, kama unafahamu kuingia na kutafuta (search) kwenye mtandao unafanya hivyo, kama huelewi n upo Dar kuna balozi yao Tanzania, kama haupo Dar yapo mawasiliano yao kwenye mtndao, unawasiliana nao.
Wanaongea Kingereza pia. Si unamuona Mfalme wao anaongea Kingereza hapo kwenye video.Wanaongea Kiarabu zaidi. Kwa kuwa, Mkuu, wewe ni Ndugu yangu unajua lugha zote kwa ufasaha ya Kiswahili na kiarabu, naomba unifanyie wepesi kunipatia taarifa hizo. Naofia kutumia mitandao kwani kwa kutumia google translate naweza kukosa maana halizinya maelezo kutoka kwa mfalume.
Asante.
Hii nchi inasikitisha sana. Akitokea mtu snaefanya mapinduzi ya kiuchumi kama mama Samia, basi anapigwa vita.
Kikwete alipigwa vita kwa kuwafunga mawaziri fusadi, akamfyatuwa na waziri mkuu. Akageuzziwa yeye kibao kwenye mitandao. Tulukuwantunakesha nao humu. Sasa wanamwandama mama.
Hao unaowaona wa kwanza kusema "udini" ndiyo mafisadi wakubwa.
Bandarini wafaidika wa kwanza kupitisha mizigo bure hata port charges hawalipi wameshajulikana. Ndiyo inawauma.
Tunazifahamu agenda zao za siri.