Maoni ya Kamati Kuhusu Azimio la Bunge Kuridhia Makubaliano Kati ya Tanzania na Dubai Kuhusu Ushirikiano wa Uendelezaji na Uboreshaji Bandari Tanzania

Maoni ya Kamati Kuhusu Azimio la Bunge Kuridhia Makubaliano Kati ya Tanzania na Dubai Kuhusu Ushirikiano wa Uendelezaji na Uboreshaji Bandari Tanzania

Katiba mpya Sio dawa
Katiba nzuri ni msingi thabiti, imara kila kitu kinajengwa juu yake.

Mfano ni kupunguza madaraka ya Rais. Kuondoa kinga ya kutoshitakiwa, Rais akifia madarakani nini kifanyike kama uchaguzi mpya baada ya miezi mitatu, proportional representation nk
 
Dp wakitaka kutukonga watz watuondolee Kodi komozi kwenye ushuru wa magari
Bnadari haihusiani na kodi za ushuru wa TRA. Tena nijuavyo DP World watahusika na makontena tu, kabda waelewane na kuwawachia gati ya kushusha magari.
 
Sasa kama ishu ni kuwa na mitambo na tekenojia ya kisasa tunashindwa nini sisi kama taifa kuwekeza?

Cranes za kisasa zinapatina . Utalaamu wa kisasa unapatikana.

Au ndio kusema waarabu ndio wanauwezo pekee wa kufunga cranes na mitambo ya kisasa?

Au ndio hivyo tena.? Damu nzito kuliko maji?
Kwani hiyo bandari mmeipata jana? Miaka yote si mnayo wenyw? Mbona mmeshindwa kueka hiyo mitambo ya kisasa na teknolojia za kisasa? Leo ndo mnajiona mnauwezo baada ya kupewa mtu mwengn?
 
Bnadari haihusiani na kodi za ushuru wa TRA. Tena nijuavyo DP World watahusika na makontena tu, kabda waelewane na kuwawachia gati ya kushusha magari.
TRA wakituliza akili watapata Kodi nyingi kupitia indirect tax ya magari yakiingia free
 
Kwani hiyo bandari mmeipata jana? Miaka yote si mnayo wenyw? Mbona mmeshindwa kueka hiyo mitambo ya kisasa na teknolojia za kisasa? Leo ndo mnajiona mnauwezo baada ya kupewa mtu mwengn?
Huyo Idugunde unaemwabia hivyo nnauhakika hata bandari haijuwi na hajaiona toka kuzaliwa, sidhani hata bahari kama kawahi kuiona.
 
Huyo Idugunde unaemwabia hivyo nnauhakika hata bandari haijuwi na hajaiona toka kuzaliwa, sidhani hata bahari kama kawahi kuiona.
Miaka nenda rudi hapo bandarini
Walikuwa wanacheza makidamakida
Tu
Mijitu mijizi,mivivu,wanawaza uwizi tu hapo

Ova
 
TRA wakituliza akili watapata Kodi nyingi kupitia indirect tax ya magari yakiingia free
Hii nchi inasikitisha sana. Akitokea mtu snaefanya mapinduzi ya kiuchumi kama mama Samia, basi anapigwa vita.

Kikwete alipigwa vita kwa kuwafunga mawaziri fusadi, akamfyatuwa na waziri mkuu. Akageuzziwa yeye kibao kwenye mitandao. Tulukuwantunakesha nao humu. Sasa wanamwandama mama.

Hao unaowaona wa kwanza kusema "udini" ndiyo mafisadi wakubwa.

Bandarini wafaidika wa kwanza kupitisha mizigo bure hata port charges hawalipi wameshajulikana. Ndiyo inawauma.

Tunazifahamu agenda zao za siri.
 
Kwann tusimpe atuongeze hata kwa miaka 20 tu
Hili swali naomba lielekezwe kwa huyo Bibi hapo mchango #5.; kwenye mada hii.

Maana yake iwe ni kwamba "tunabinafsisha serikali, kwa sababu iliyopo imeshindwa kazi".

Naunga mkono hoja.
 
Naunga mkono hoja kwa 100%

Tena tumechelewa sana maana kwa miaka mingi bandari yetu imekuwa haifanyi vizuri, ulikuwa ni wizi mtupu, sasa angalau tutayona manufaa ya uwekezaji mkubwa wa kisasa.
 
Ni mtu mmoja mwenye upeo, mkarimu na mimali yake yote lakini yupo wazi kuongea fikra zake na maoni yake
Tunaweza kupata taarifa rasmi ya asili ya ufalme wake na namna gani ufalme huo ulijikusanyia mali hizo?
 
Serikali ikiwasikiliza wapuuzi wachache wenye lengo la kupotosha ukweli haiwezi kusonga mbele.
waswahili tunamsemo: kanyaga twende.

hata hayati JPM alipingwa sana wakati akinunua ndege lkn badae hao hao walio kuwa wanapinga ndio walikuwa wa kwanza kusafiri kwa ndege hizo.

uwekezaji kwenye bandari zetu ni muhimu na ni lazima.
 
Tunaweza kupata taarifa rasmi ya asili ya ufalme wake na namna gani ufalme huo ulijikusanyia mali hizo?
Unaweza, hiyo post uliyoijibu yeye mwenyewe, mgalme wabDubai anajielezea, kama hsitoshi, kama unafahamu kuingia na kutafuta (search) kwenye mtandao unafanya hivyo, kama huelewi na upo Dar kuna balozi yao Tanzania, kama haupo Dar yapo mawasiliano yao kwenye mtndao, unawasiliana nao.
 
Unaweza, hiyo post uliyoijibu yeye mwenyewe anajielezea, kama hitoshi, kama unafahamu kuingia na kutafuta (search) kwenye mtandao unafanya hivyo, kama huelewi n upo Dar kuna balozi yao Tanzania, kama haupo Dar yapo mawasiliano yao kwenye mtndao, unawasiliana nao.
Wanaongea Kiarabu zaidi. Kwa kuwa, Mkuu, wewe ni Ndugu yangu unajua lugha zote kwa ufasaha ya Kiswahili na kiarabu, naomba unifanyie wepesi kunipatia taarifa hizo. Naofia kutumia mitandao kwani kwa kutumia google translate naweza kukosa maana halizinya maelezo kutoka kwa mfalume.

Asante.
 
Wanaongea Kingereza pia. Si unamuona Mfalme wao anaongea Kingereza hapo kwenye video.

Mimi ukitaka nikusaiidie uliza swali la unachotaka kuelewa kimoja kimoja, siyo swali la maelezo ya jumla.
 
HUYU ndiye Mtawala wa Dubai anayefaa kuigwa na watawala wengi tuu.
Vision, Implementation, and Excution
 
Attachments

Hii nchi inasikitisha sana. Akitokea mtu snaefanya mapinduzi ya kiuchumi kama mama Samia, basi anapigwa vita.

Kikwete alipigwa vita kwa kuwafunga mawaziri fusadi, akamfyatuwa na waziri mkuu. Akageuzziwa yeye kibao kwenye mitandao. Tulukuwantunakesha nao humu. Sasa wanamwandama mama.

Hao unaowaona wa kwanza kusema "udini" ndiyo mafisadi wakubwa.

Bandarini wafaidika wa kwanza kupitisha mizigo bure hata port charges hawalipi wameshajulikana. Ndiyo inawauma.

Tunazifahamu agenda zao za siri.

Ni kweli kuna kundi la watu walifaidika na usimamizi mbovu wa bandari, je, ndio hao wanaoupinga mkataba?

Ni kweli kuna wanaopinga mkataba wakihusisha udini na Utanganyika, je, ni kwa nini wana mwelekeo huo?

Ni kweli wako waliolaumu Awamu ziizopita, na siyo Kikwete tu, je, ni mazingira yapi yamezua lawama hizo?

Hayo ni maswali ya msingi yanayohusu uwezo na nia ya dhati ya kiongozi, hasa katika ngazi ya juu ya Urais.

Kuhusu mkataba, una jibu gani "kwa nini DPW haiwekezi nchi kwa ubia na TPA au kupitia TIC, kama wana nia ya dhati ya kuendesha na kuboresha bandari zetu, badala yake wanabebwa na Serikali yao?"
 
Back
Top Bottom