Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,393
- 3,237
- Thread starter
-
- #41
Usifanye masikhara. Huyo mwanasheria hajui Kiingereza vizuri. Hakuna cha Magufuli wala nini.
Nimeshafanya hivyo. Angalia sehemu nilizokoleza kwa wino mwekundu. Makosa ni makosa tu; usianze oh kiongozi wako wa chama sijui nini. Haisaidii kitu.Mkuu, lengo la jukwaa kama hili ni kuelimishana, kuelimishana hakuna mipaka. Ni vyema ungeitumia nafasi hii kumuelimisha huyu jamaa (siyo wakili ni Mwanasheria wa kawaida "legal officer") kwa kuweka wazi makosa yaliyomo kwenye hili bandiko lako kuliko kukaa unarukaruka bila kutaja amekosea wapi, ukileta kejeli nitakujibu kwa kejeli. It is clear kiingereza cha jamaa ni kizuri mara 1000 ukilinganisha na kiongozi wako wa chama.
Its legal languageWow!
That ‘Shakespearean’ English is impressive teh teh teh!
Mbona umeshangaa ndugu, naomba kujuzwa
Natural justice? Diamond aliitwa akasikilizwa na nyimbo ikafungiwa.
Wamekaidi adhabu waliopewa.
Ndio maana Jaji Mkuu anasema Kiingereza bado ni janga kwa wanasheria wetu.
....Nimeona it's just typo!Hata wakiandika vingereza vyao na sisi wa form four failure tunapita nao tu na vi broken vyetu
Sema na wewe umechapia kwenye "kuacha nyuma" ni "kuachwa"
Kilikuja kwa meli tuvumiliane tu.Your English is hard! Teh teh teh
It's. Don't forget the apostrophe.....Nimeona its just typo!
Mkuu pole Sana wakili. Nafikiri hapa umeropoka na umeamua kuonyesha ni kwa jinsi gani umevamia hii taaluma.
Kazi ya wakili ni nyingi na moja wapo ipo katika kesi ya mohamed katindi v Republic inayosema kuwa "an advocate is an officer of the court, his main function is to make a research, analysis, reading journals, books, in order to help the court to reach into the justice"
Sasa niulize kwa Hilo, je wakili msomi, umefanya research na analysis kuhusu ishu nzima ya wimbo wa diamond? Au tu kwa sababu ya media na wewe unafikia maamuzi hayo?
Pia kuna kitu kinaitwa "corrupt of public moral" je ni kweli diamond kafanya hivyo?
Nafikiri kuwa basata wako sahihi na pia wameamua sio kuufungia wimbo Bali waweze kuufanyia editing ili kuondoa maneno ambayo yanaonekan ni matusi na wakiridhika, unaruhusiwa kupigwa kwani maneno yaliyotumika ni matusi.
Je wakili msomi, kutukana kwa njia ya wimbo ni kosa au sio kosa? Sasa kuambiwa watoe maneno ya matusi basata wanawez laumiwa? Au wamshtaki kwa kutoa lugha za matusi kwa njia ya nyimbo unafikir diamond atabaki Bila kufungwa?
Lay man wataelewaje kuhusu ishu kama hizi za kisheria?
Nadhani wakili inaonekana huna experience katika kazi yako hvyo comments zako uwe kidogo unafanya research na si kwa mhemko
HahaaIt's the good advice, but the only part that cursed me it is inserting a word "BASHITE" in your academical article the word that lies in political arena.
....Sawa mwalimu asante, nimerekebishaIt's. Don't forget the apostrophe.
Kabisa... wameonyesha kuivimbia serikali na kuiaminisha jamii kwamba wao ni wakubwa nchiniNatural justice? Diamond aliitwa akasikilizwa na nyimbo ikafungiwa.
Wamekaidi adhabu waliopewa.
Nakazia mkuuSometimes tuache dharau,umekatazwa kucheza wimbo flani still ukaucheza,umeambiwa futa huo wimbo YouTube still hujafuta,Kama sio dharau ni nn?,wasijione kuwa wao ni wasanii wakubwa kiasi kwamba hawaguswi sheria lazima ile pote!
Duh; kwako mwalimu Kashasaha, unalizungumziaje suala hili.....Sawa mwalimu asante, nimerekebisha
Mkuu, umekosea kuniquote.Asikilizwe Mara ngapi huyo Freemason nakati hata kwenye ule upumbavu wake wa "African Beauty" walimsitiri?
Ngoja liendelee tu kufunzwa hilo punguwani lenu mxiuuuu...!