Maoni ya Mwanasheria kuhusu kufungiwa kwa Diamond Platnumz na Rayvanny

Maoni ya Mwanasheria kuhusu kufungiwa kwa Diamond Platnumz na Rayvanny

Mkuu, lengo la jukwaa kama hili ni kuelimishana, kuelimishana hakuna mipaka. Ni vyema ungeitumia nafasi hii kumuelimisha huyu jamaa (siyo wakili ni Mwanasheria wa kawaida "legal officer") kwa kuweka wazi makosa yaliyomo kwenye hili bandiko lako kuliko kukaa unarukaruka bila kutaja amekosea wapi, ukileta kejeli nitakujibu kwa kejeli. It is clear kiingereza cha jamaa ni kizuri mara 1000 ukilinganisha na kiongozi wako wa chama.
Usifanye masikhara. Huyo mwanasheria hajui Kiingereza vizuri. Hakuna cha Magufuli wala nini.
 
Mkuu, lengo la jukwaa kama hili ni kuelimishana, kuelimishana hakuna mipaka. Ni vyema ungeitumia nafasi hii kumuelimisha huyu jamaa (siyo wakili ni Mwanasheria wa kawaida "legal officer") kwa kuweka wazi makosa yaliyomo kwenye hili bandiko lako kuliko kukaa unarukaruka bila kutaja amekosea wapi, ukileta kejeli nitakujibu kwa kejeli. It is clear kiingereza cha jamaa ni kizuri mara 1000 ukilinganisha na kiongozi wako wa chama.
Nimeshafanya hivyo. Angalia sehemu nilizokoleza kwa wino mwekundu. Makosa ni makosa tu; usianze oh kiongozi wako wa chama sijui nini. Haisaidii kitu.
 
Yah ni tatizo siyo kwa wanasheria tu ni kwa watanzania wote mkuu. Huyo Jaji mkuu anayesema mawakili ngoja tukae kimya maana kuna hukumu za mahakimu wake utacheka utafikiri siyo judicial commission iliyochini yake iliyowaajiri.
Ndio maana Jaji Mkuu anasema Kiingereza bado ni janga kwa wanasheria wetu.
 
Nadhani lay person atakayeshindwa kumuelewa mtoa post ni wewe mkuu.

You are common man in this thread,

Haijalishi Diamond Platnumz amefanya kosa gani violation of the principle of natural justice is fatal, inaharibu nia njema yote ya BASATA. Ni muhimu hao watendaji wakapewa elimu juu ya vitu vidogo vidogo kama hivi tena its purely administrative law.
Mkuu pole Sana wakili. Nafikiri hapa umeropoka na umeamua kuonyesha ni kwa jinsi gani umevamia hii taaluma.

Kazi ya wakili ni nyingi na moja wapo ipo katika kesi ya mohamed katindi v Republic inayosema kuwa "an advocate is an officer of the court, his main function is to make a research, analysis, reading journals, books, in order to help the court to reach into the justice"

Sasa niulize kwa Hilo, je wakili msomi, umefanya research na analysis kuhusu ishu nzima ya wimbo wa diamond? Au tu kwa sababu ya media na wewe unafikia maamuzi hayo?

Pia kuna kitu kinaitwa "corrupt of public moral" je ni kweli diamond kafanya hivyo?

Nafikiri kuwa basata wako sahihi na pia wameamua sio kuufungia wimbo Bali waweze kuufanyia editing ili kuondoa maneno ambayo yanaonekan ni matusi na wakiridhika, unaruhusiwa kupigwa kwani maneno yaliyotumika ni matusi.

Je wakili msomi, kutukana kwa njia ya wimbo ni kosa au sio kosa? Sasa kuambiwa watoe maneno ya matusi basata wanawez laumiwa? Au wamshtaki kwa kutoa lugha za matusi kwa njia ya nyimbo unafikir diamond atabaki Bila kufungwa?

Lay man wataelewaje kuhusu ishu kama hizi za kisheria?

Nadhani wakili inaonekana huna experience katika kazi yako hvyo comments zako uwe kidogo unafanya research na si kwa mhemko
 
Sometimes tuache dharau,umekatazwa kucheza wimbo flani still ukaucheza,umeambiwa futa huo wimbo YouTube still hujafuta,Kama sio dharau ni nn?,wasijione kuwa wao ni wasanii wakubwa kiasi kwamba hawaguswi sheria lazima ile pote!
Nakazia mkuu
 
This thread made me laugh alot wallahi am trying to understand every comment posted here. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom