Service full ya kawaida haiwezi kuzidi $100 na kilometer ni 6000Tupoa pamoja mkuu nitakueletea mrejesho sema kwa kukadiria tu...520i service yake kubwa ya kawaida tu inaweza kucost how much kwa wastani? Na ni baada ya muda gani au km ngapi (wastani)?
C I F tu ML.12 ?? Unajua unacho kiongea?
Used 2009 TOYOTA HARRIER 240G L PACKAGE/CBA-ACU30W for Sale BG172503 - BE FORWARD
Used 2009 TOYOTA HARRIER 240G L PACKAGE/CBA-ACU30W for sale. Find an affordable Used TOYOTA HARRIER with No.1 Japanese used car exporter BE FORWARD.sp.beforward.jp
View attachment 1059198
Hivi unaongelea subari zipi hapo forester/wrx sti/imprezza au zipi?Utafika speed hixo kwa zile toy za Toyota ila si kwa magari halisi kama Subaru, BMW, na mengineyo..
Magari mengi ya Toyota yanadanganya kwenye speed hasa ukishafika above 100/kph...utakuta toyota ipo 160 subaru 140 lakini toyota inaachwa na subaru....kama mjadala ni speed zungumzieni magari mengine ila msiweke humo huzo toy za toyota
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah mwanangu mwaka wa ngapi sasa sijui unaulizia khs germany machines,we nunua tu bob maana kama ni ushauri ushapewa sana tu,unless mpunga uwe ni tatizo.Mkuu nilikuuliza kuhusu BMW 5 SERIES F10 520i ya mwaka 2013 ukazingua kishenzi.
Anyway, vp zinafaa kibongo bongo ama tustick na 3 ??
Hivi wewe umehitimu hata darasa la tatu kweli???Hivi unaongelea subari zipi hapo forester/wrx sti/imprezza au zipi?
Hebu chukua hio nissan note yako kimbia 100km/h then shindanisha hapo na subaru wrx sti ikiwa hio hio 100km/h then ndipo utajua tofauti ya subaru na baadhi ya uchafu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wewe umehitimu hata darasa la tatu kweli???
There is no any correlation between your coment and mine.
Fuatilia comment za nyuma ujue tulianzia wapi mjadala wa speed kabla hujaanza povu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Typing error kidogo...nilimaanisha ni vigumu kufika spidi hizo kwa magari ya toyota ila BMW, Subari na mengineyo ya namna hiyo inawezekanaDiscussion hii ipo humu haikuwahi kupata suluhisho. Kwahio unasema BMW haifiki 200kph au sijakuelewa?
Kuleeee mwanzo kuna mtu alisema anweza kwenda na 160/kph sijui mtaa gani kule Dar....nikasema most of toyota zinadanganya kwenye speed hasa ikashafika above 100We si unasemaga una nissan note then ina tofauti gani na hizo average toyota's unazoziponda hapo.
Zote ziko slow as fuc.k.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuleeee mwanzo kuna mtu alisema anweza kwenda na 160/kph sijui mtaa gani kule Dar....nikasema most of toyota zinadanganya kwenye speed hasa ikashafika above 100
Nimeshuhudia hili tatizo zaidi ya mara tatu kwa magari ya toyota
Sent using Jamii Forums mobile app
BTW nissani note yako ndo hiyo yenye hp 88 sio?aisee hapo ni kama kuendesha gutta tu.Kuleeee mwanzo kuna mtu alisema anweza kwenda na 160/kph sijui mtaa gani kule Dar....nikasema most of toyota zinadanganya kwenye speed hasa ikashafika above 100
Nimeshuhudia hili tatizo zaidi ya mara tatu kwa magari ya toyota
Yes, I have nissan note....tofauti ya nissan na toyota ipo sana tu...tena sana coz nina experience na magari haya ya kampini hizi mbili tofauti.....
Tofauti nyingine nissan huwezi ukaiokotea spea huko mwembeni kama toyota utegemee ita-survive
Sent using Jamii Forums mobile app
jipe moyo mzee wa LamborghiniBTW nissani note yako ndo hiyo yenye hp 88 sio?aisee hapo ni kama kuendesha gutta tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hp 88?
Hebu google kidogo HR15 engine ina uwezo gani?Hp 88?
hahah daah hapo mpk passo ya 1.3cc inakufunika maana yenyewe ina 92hp.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hp 88?
hahah daah hapo mpk passo ya 1.3cc inakufunika maana yenyewe ina 92hp.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nissan HR15DE (1.5 L) engine: review and specs, service data
Nissan HR15DE (1.5 L, DOCH, 16V) engine specifications: power and torque, compression ratio, bore and stroke, oil type and capacity, valve clearance, etcwww.engine-specs.net
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafuu hata umeunga hoja yangu mkono...watu wanbisha kuwa hilo halipo....nikasema most of toyota zinadanganya kwenye speed hasa ikashafika above 100
Nimeshuhudia hili tatizo zaidi ya mara tatu......
Shida hapa sio Mjapani bali ni tatizo letu sisi wabongo... Kurudisha kilometer nyuma... Ukishaichezea speedmeter lazima isumbue kwenye mwendo
Jr[emoji769]