Maoni yangu kuhusu gari aina ya Harrier maarufu "Tako la Nyani"

Maoni yangu kuhusu gari aina ya Harrier maarufu "Tako la Nyani"

Tupoa pamoja mkuu nitakueletea mrejesho sema kwa kukadiria tu...520i service yake kubwa ya kawaida tu inaweza kucost how much kwa wastani? Na ni baada ya muda gani au km ngapi (wastani)?
Service full ya kawaida haiwezi kuzidi $100 na kilometer ni 6000

Jr[emoji769]
 
Hiyo dola 8800 unayoona hapo ni bei utakayolipa be forward tu ili wakufikishie hadi bandarini Dar es salaam bila ushuru. Ili kuitoa na uiendeshe TRA watakuchaji si chini ya milioni 12. Ila kama ulikuwa unamaanisha 20m, ambayo ipo kwa hy tangazo hapo kuwa ndy inatosha kumaliza kila kitu mpk kodi, basi wewe ndy utakuwa hujui unachokiongea..sababu hata ya mkononi tu gari ya aina hy na nzima kweli kweli, umeuziwa bei rahisi ni 23m.
C I F tu ML.12 ?? Unajua unacho kiongea?

View attachment 1059198
 
Utafika speed hixo kwa zile toy za Toyota ila si kwa magari halisi kama Subaru, BMW, na mengineyo..
Magari mengi ya Toyota yanadanganya kwenye speed hasa ukishafika above 100/kph...utakuta toyota ipo 160 subaru 140 lakini toyota inaachwa na subaru....kama mjadala ni speed zungumzieni magari mengine ila msiweke humo huzo toy za toyota

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unaongelea subari zipi hapo forester/wrx sti/imprezza au zipi?

Hebu chukua hio nissan note yako kimbia 100km/h then shindanisha hapo na subaru wrx sti ikiwa hio hio 100km/h then ndipo utajua tofauti ya subaru na baadhi ya uchafu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nilikuuliza kuhusu BMW 5 SERIES F10 520i ya mwaka 2013 ukazingua kishenzi.

Anyway, vp zinafaa kibongo bongo ama tustick na 3 ??
Daah mwanangu mwaka wa ngapi sasa sijui unaulizia khs germany machines,we nunua tu bob maana kama ni ushauri ushapewa sana tu,unless mpunga uwe ni tatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unaongelea subari zipi hapo forester/wrx sti/imprezza au zipi?

Hebu chukua hio nissan note yako kimbia 100km/h then shindanisha hapo na subaru wrx sti ikiwa hio hio 100km/h then ndipo utajua tofauti ya subaru na baadhi ya uchafu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wewe umehitimu hata darasa la tatu kweli???

There is no any correlation between your coment and mine.
Fuatilia comment za nyuma ujue tulianzia wapi mjadala wa speed kabla hujaanza povu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We si unasemaga una nissan note then ina tofauti gani na hizo average toyota's unazoziponda hapo.

Zote ziko slow as fuc.k.

Kuleeee mwanzo kuna mtu alisema anweza kwenda na 160/kph sijui mtaa gani kule Dar....nikasema most of toyota zinadanganya kwenye speed hasa ikashafika above 100
Nimeshuhudia hili tatizo zaidi ya mara tatu kwa magari ya toyota

Yes, I have nissan note....tofauti ya nissan na toyota ipo sana tu...tena sana coz nina experience na magari haya ya kampini hizi mbili tofauti.....
Tofauti nyingine nissan huwezi ukaiokotea spea huko mwembeni kama toyota utegemee ita-survive
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah daah aisee,so unaamini kabisa wajapani wanatuuzia vitu vinavyodanganya speed mpk na wazungu na teknologia zao wanaingizwa chaka na wao,hahah.

Kama brakes tu zikiwa zina shida tu magari hua yanakua recalled huko viwandani ndio iweje tudanganywe na wajapan kuhusiana na speed ya toyota above 100km/h miaka yote hii na bado Toyota iendelee ku-survive,absolutely impossible.

Kuleeee mwanzo kuna mtu alisema anweza kwenda na 160/kph sijui mtaa gani kule Dar....nikasema most of toyota zinadanganya kwenye speed hasa ikashafika above 100
Nimeshuhudia hili tatizo zaidi ya mara tatu kwa magari ya toyota
Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuleeee mwanzo kuna mtu alisema anweza kwenda na 160/kph sijui mtaa gani kule Dar....nikasema most of toyota zinadanganya kwenye speed hasa ikashafika above 100
Nimeshuhudia hili tatizo zaidi ya mara tatu kwa magari ya toyota

Yes, I have nissan note....tofauti ya nissan na toyota ipo sana tu...tena sana coz nina experience na magari haya ya kampini hizi mbili tofauti.....
Tofauti nyingine nissan huwezi ukaiokotea spea huko mwembeni kama toyota utegemee ita-survive
Sent using Jamii Forums mobile app
BTW nissani note yako ndo hiyo yenye hp 88 sio?aisee hapo ni kama kuendesha gutta tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
....nikasema most of toyota zinadanganya kwenye speed hasa ikashafika above 100
Nimeshuhudia hili tatizo zaidi ya mara tatu......

Shida hapa sio Mjapani bali ni tatizo letu sisi wabongo... Kurudisha kilometer nyuma... Ukishaichezea speedmeter lazima isumbue kwenye mwendo

Nafuu hata umeunga hoja yangu mkono...watu wanbisha kuwa hilo halipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom