Binafsi naona kitendo cha mahakama kuamua kuwa Mbowe na wenzake wana kesi ya kujibu Kwanza ni maumivu makubwa ya kisaikolojia na kimwili Kwa wahusika Kwa kukosa Uhuru na kushindwa kuendesha maisha Yao walivyozoea, lakini upande wa pili ni fursa Kwa Wana wa nchi hii kujua ni jinsi gani Siri Kali ikiamua kukushughulikia inatumia mbinu gani.
Nina hakika mashahidi wa utetezi hawawezi kujaribu habari ya uongo. Na vilivile watakuwa wameshudia Mambo yasiyofaa yanayofanywa na tuliozoea kuita wasiojulikana. Yaani kama vile akina Adamoo walivyo tujuza mateso waliyoyapata. Kwenye utetezi Msishangae tukajua hata Lijenje alipo na hata Ben Sanane anawezajulikana alipo!
Ndio maana mawalikili wa serikali wanapigana kujua Mashahidi wa utetezi ni akina nani. Kupitia kuwafahamu watajua ni Kwa kiasi gani habari zao zinafahamika. Na kama wakiona kuna Shahidi wanauhakika anajua mengi, hawezi achwa akatinga mahakamani, atapotea tu. Kuonekana kwake mpaka kesi iishe au asionekane mile.
Hayo ni mawazo tu kama Swila alivyounganisha dots😂😂😂😂😂