- Thread starter
- #41
Mazingira gani ebu fafanua! Pia vyoo vya kukaa vitakuwa ni option haina maana vya kuchuchumaa havitakuwepo!Vyoo vya kukaa kwa hospitali zetu wala sishauri. Tutaandaa viwanda vya maradhi sugu!
Kuna hospitali moja nimetoka juzi... choo si cha kukaa lakini wameandaa mazingira kiasi kwamba mtu yeyote anaweza kukitumia bila shida yoyote.
Ni kama ilivyo ngazi za watembea kwa miguu na wheel chair huwekwa pamoja