Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 997
- 1,220
- Thread starter
-
- #41
Na ndo hapo nilipokuja kupinga ongezeko jingine lolote la ukamuaji kwa hawa maskini. Yaani baada ya yote hayo kina lissu wanakuja kuongeza mzigo mwingine juu?!!! Halafu?!!! Kusomeshea watoto ulaya na Marekani. Aisee!!Pole kiongozi nani kati ya mimi na ccm ambacho ni chama tawala kwa zaidi ya miaka 60 na mkusanyaji kodi alipaswa kuwasaidia watu watoke kwenye umaskini ili wasitegemee mgao wa tasaf wa 20elfu ?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣% wise Ccm inavyotuibia, no one will ever break hiyo record! Wacha na chadema nao wale, wametoka jasho, wewe usitoe hela zako!
Hakuna maskini anaichagia chadema mtu kutoa hata 100 tu kwa moyo mmoja unamwitaje maskini ?hakuna mtu anashikiwa bunduki ni upendo tu na kuunga mkono kazi wanazofanya.Na ndo hapo nilipokuja kupinga ongezeko jingine lolote la ukamuaji kwa hawa maskini. Yaani baada ya yote hayo kina lissu wanakijua kuongeza mzigo mwingine juu?!!! Halafu?!!! Kusomeshea watoto ulaya na Marekani. Aisee!!
Hofu Ya nini' labda maskini ya Mungu?!!!!!!Wewe mwenzetu umechangia ngapi??, naona unaumia sana. Sio kweli kwamba unawahurumia wanaochangia ila una wivu na hofu. Maana kwa hakika haujui nini kitatokea baada ya hamasa kwa watz. Na kihistoria watz sio wepesi sana wakihamasika katika jambo fulani, kuna wakati unafikia inakuwa ngumu kuwageuza mioyo. Ngoja tuone picha si ndio kwanza linaanza !!😭😭😭😭
😄😄😄😄Hakuna maskini anaichagia chadema mtu kutoa hata 100 tu kwa moyo mmoja unamwitaje maskini ?hakuna mtu anashikiwa bunduki ni upendo tu na kuunga mkono kazi wanazofanya.
Nisingetegemea chochote kutoka kwa nyumbu aliyepigwa tone lake zaidi ya comment kama hii.Wachange wengine uumie wewe usiyechanga
Machawa mna majibu ya kufanana huwa sijui mnasomea shule moja ?🤣😄😄😄😄
Haya,ctudumishe upendo kwa kuisema kweli pia.
Hapo ndipo mara zote nyumbu wanaishia katika kufikiri. Siajabu kapigwa Hadi laki yake ya Kodi maskini huyu!Wewe hauwahurumii wachangiaji bali una hofu tuu. Pole sana. Kaa kwa kutulia , maana hata pesa yetu ya Kodi inapoliwa na majani huwa tunatulia tuu. Acha mihemko wewe haitakusaidia
Chawa Ina maana gani?!!! Na jibu langu linafanana na nani?!!Machawa mna majibu ya kufanana huwa sijui mnasomea shule moja ?🤣
Kwa wewe ni mgeni humu au huko x mkuu?Chawa Ina maana gani?!!! Na jibu langu linafanana na nani?!!
Nyumbu, kunitukana hakutorudisha tone lako lililoebda.Dada umechangia kiasi gani?Wewe ni Malaya wa kisiasa .Unatumia tumbo na makalio kufikiri.
Si mgwni, nikitaka tu nione utofauti wangu Mimi na wewe kwa lissu unayemtetea kwa lolote lile hata wizi wa wazi kama huu.Kwa wewe ni mgeni humu au huko x mkuu?
Hasira za nini kwenye tone tone za watu😃Nisingetegemea chochote kutoka kwa nyumbu aliyepigwa tone lake zaidi ya comment kama hii.
Wewe ni juha hakuna mfano bado kula kinyesi chako tu. Shwaini wa kijani weweEwe nyumbu Mzee, Kuna mpumbavu wa kuwazidi nyie nyumbu mnaliwa mchana kweupeeee?!!!!
Umehisi Nina hasira nyumbu?!! Za nini'?!! Mi nawacheka tu Huku.Hasira za nini kwenye tone tone za watu😃
Nyumbu, tuliza munkari kwani si Mimi ninayefaidi mafekeche mnayochangishwa.Wewe ni juha hakuna mfano bado kula kinyesi chako tu. Shwaini wa kijani wewe
SawaUmehisi Nina hasira nyumbu?!! Za nini'?!! Mi nawacheka tu Huku.
Huna akiliNyumbu, tuliza munkari kwani si Mimi ninayefaidi mafekeche mnayochangishwa.