Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 997
- 1,220
- Thread starter
- #41
Na ndo hapo nilipokuja kupinga ongezeko jingine lolote la ukamuaji kwa hawa maskini. Yaani baada ya yote hayo kina lissu wanakuja kuongeza mzigo mwingine juu?!!! Halafu?!!! Kusomeshea watoto ulaya na Marekani. Aisee!!Pole kiongozi nani kati ya mimi na ccm ambacho ni chama tawala kwa zaidi ya miaka 60 na mkusanyaji kodi alipaswa kuwasaidia watu watoke kwenye umaskini ili wasitegemee mgao wa tasaf wa 20elfu ?