Maono: Mpaka uchaguzi ninaziona kama bilioni 5 hivi zikikusanywa; 2 'zitatumika' katika uchaguzi; 3 zitawezesha safari ya Ulaya na Marekani!

Maono: Mpaka uchaguzi ninaziona kama bilioni 5 hivi zikikusanywa; 2 'zitatumika' katika uchaguzi; 3 zitawezesha safari ya Ulaya na Marekani!

Siasa achana nayo tu jamani.......siasa ni nyoko.

Kila nikiwasikiliza na kuwaona na kurejea taarifa ya 'kusanyaji' kadhaa huko nyuma, naona kabisa hapa hii miamba inatafuta au imelenga bilioni kama tano Hadi sita hivi kufikia uchaguzi. Hiyo ni kutoka kwa tone-tone na wafadhili wengine. Mbili 'zitatumika' kuzugia uchaguzi na tatu au nne zitakazobaki miamba itazipiga kuboreshea maisha yao ya ulaya na Marekani ziliko familia. Okay, najua km m400 au 500 hv zinaweza kutumika kuzugia kupinga matokeo ya 98% ya SSH.

Watz ni wepesi sana wa kusahau, na hii miamba ya tone-tone inajua hilo vizuri saaaana. Na inajua vizuri kuwa baada ya hatua kadhaa za kuzuga kupinga matokeo, plus kutoweka kwenda ulaya na Marekani; watz hawa watasahau kabisa kama kawaida yao. Hapo miamba itarejea tena na kuanzisha 'dondo-dondo' au 'ado-ado'.

CCM mwisho wenu unakaribia hakika!Hakuna marefu yasiyo na ncha
 
CCM mwisho wenu unakaribia hakika!Hakuna marefu yasiyo na ncha
Sidhai, kama mpaka Sasa hamna hata akili mnapigwa kizembe hivyo mtamtoa nani kwa akili hizo?!!!! Halafu Nina mashaka huyu lissu atakuwa anapeleka % flani serikalini kutoka kwenye hayo ma'tone' anayokusanya.
 
Unajua ndugu,usipende kula dhuluma kwa namna yeyote ile,hela za wananchi masikini zinnazotapanywa na kuliwa na ccm zitakuja kuwatokea puani siku yake
 
Wajinga km ww wako wengi sana hpa nchini.BILA CHADEMA IMARA TZ NI SAWA NA JEHANAM
Bila chadema hata hawa machawa nani atawapa hizo 7000 za kufanya uchawa wao? Kwa lipi?
 
Nimeona sehemu hiyo. Hivi ni kweli Lissu ni mpigaji? Wakipiga bilioni 3 kweli jamaa mabingwa. Hivi zile fedha za Join The Chain ziko wapi?
Mkuu, ninakwambia Kuna kitu kizito kinatua kwa nyumbu hawatoamini......mafekeche yataliwa hapo vya kutosha tu. Itapigwa geresha ya maandamano mawili matatu kuwahadaa nyumbu, Kisha kitapita kimya kidogo then watarudi tena na 'ado-ado' iliyokolezwa maneno mazuuuri kabisa.
 
Bila chadema hata hawa machawa nani atawapa hizo 7000 za kufanya uchawa wao? Kwa lipi?
Shughuli zangu zitastawi zaidi mivyana ikiondoka, kama unafikiri huko unyumbuni kunanitengezea maisha Bali umefeli sana. Turudi kwenye mada, umeshapigwa au Bado?
 
Unajua ndugu,usipende kula dhuluma kwa namna yeyote ile,hela za wananchi masikini zinnazotapanywa na kuliwa na ccm zitakuja kuwatokea puani siku yake
Hakuna dhuluma kubwa zaidi kama ile wanayopigwa walala hoi kwa kuwatoa kabisa kile kidogo walichobacho mfukoni Kisha kusomeshea na kutunzia wake ulaya na Marekani. Join the chain na Sasa tone-tone, ni dhuluma kubwa sana: walaji watapikwa motoni, wachochezi kama nyie mtakuwa Kuni za kuwapikia walaji.
 
Shughuli zangu zitastawi zaidi mivyana ikiondoka, kama unafikiri huko unyumbuni kunanitengezea maisha Bali umefeli sana. Turudi kwenye mada, umeshapigwa au Bado?
Kwani kuna habari gani kiongozi ?mbona kama umepanic
 
Kwani kuna habari gani kiongozi ?mbona kama umepanic
Wala sijapahick kiongozi na Wala hilo halitokuja kutokea. Kinipanokishe nn kwanza?!!! Vijisenti vyangu viko salama kutoka kwa hao wanyang'anyi........nipanick na nn?!!!!
 
Wala sijapahick kiongozi na Wala hilo halitokuja kutokea. Kinipanokishe nn kwanza?!!! Vijisenti vyangu viko salama kutoka kwa hao wanyang'anyi........nipanick na nn?!!!!
Kaka nimeshachanga na huwa sio mara ya kwanza kufanya hivyo na bado nitafanya hivyo tena 😂😂
 
Kaka nimeshachanga na huwa sio mara ya kwanza kufanya hivyo na bado nitafanya hivyo tena 😂😂
😳😳😳😳
Dah, unafanya jambo la kusikitisha sana. Unakoishi hakuna maskini?!!! Wale wazee wanaolimishwa Ili wapate mgao wa tasaf (20,000) hawapo huko ukawafariji?!!!! Amka kiongozi.
 
Vp umeshabashari pia ni lini wananchi watapata maji Safi na salama? Make onaoneoana unapenda sana kubashiri mambo yajayo
Hapana, hilo Bado. Nililobashiri na lililowazi na linaloumiza kwa Sasa ni hilo la kukwapuliwa kwa vijisenti vya hao maskini.
 
😳😳😳😳
Dah, unafanya jambo la kusikitisha sana. Unakoishi hakuna maskini?!!! Wale wazee wanaolimishwa Ili wapate mgao wa tasaf (20,000) hawapo huko ukawafariji?!!!! Amka kiongozi.
Pole kiongozi nani kati ya mimi na ccm ambacho ni chama tawala kwa zaidi ya miaka 60 na mkusanyaji kodi alipaswa kuwasaidia watu watoke kwenye umaskini ili wasitegemee mgao wa tasaf wa 20elfu ?
 
Kwani umelazimishwa kuchangia wachangie wengine uumie wewe

Kuwa mwafrika ni kazi ngumu sana huumii Fedha ambazo ni kodi unayolipa kila siku CAG anasema zinapotea ila unaumia kwa michango ya chadema
Oh, kumbe wazungu na waasia wao huwa hawakemei wizi ee?!!! Umeishi au unaishi nchi gani ya nje mwenzetu, Switzerland?!!!!
 
Back
Top Bottom