Maono: Nguvu ya kujua yajayo kupitia sauti ya roho takatifu: Clairaudience

Mwishoe utaniambia niandae Na jogoo mwekundu...Huyo jini hawezi kuyajua hayo?
Kama Majini Wana mauwezo kama mnavyowasifia aje Kwa kuangalia ID ya JF Tu ...
Info zangu Ni privacy yangu lakini kama jini wako yupo hatoitaji vikolombwezo vyote hivo
Basi usijali kijana nimejua naongea na mtoto wa umri gani.
 
Mkuu hivi unajua kutafsiri ndoto?kuna ndoto niliota na hadi leo natamani kujua maana yake ila hata wakubwa home wameshindwa kunitafsiria
Ndio mkuu, Nashukuru kipaji hicho ninacho kwa asilimia 85% ikiwa tu unafahamu muda ulioota yaani time unashtuka kutoka ndotoni. Mwanzo wa usiku? katikati ya usiku? au mwisho wa usiku? na vilevile kama ni mchana
 
Ndio maana nimekwambia basi kwa maana sina point ya kuadd hapo tufanye umeshinda hoja.
Actually mkuu sikuwa Na Nia ya kushindana nawewe maana hata sikujui...
Ukweli Ni Kuwa siamini uwepo wa hivyo viumbe sijawahi kuona tofauti Na story Za vijiweni Na Hakuna ushahidi wake.
Lakini kama WaPo ningependa kuwaona.
Nakuomba kama una uwezo unioneshe lakini hili swala la majina Ni gumu kwangu Kwa sababu Za kiusalama ambazo hazihusiani Na majini
 
Sawa kila jambo na umri wake ukifikia umri wa kuyajua hayo utayajua tu usiwe na shaka muombe mwenyezi Mungu akujaalie hekima na utajifunza mengi.
Kama imani yako inakwambia hawapo na akili yako inakubali hilo basi elewa na kuendelea kutambua hivyo hivyo.

Kwa maelezo yako hapo pia unaonyesha una udhaifu wa kiimani katika imani za dini na imani za kiroho, hivyo watu wa namna hiyo katika hili jukwaa huwa sina muda wa kushindana au kutengeneza nao hoja kwa maana wao ni wamaliza hoja wazuri sana.

Rakims
 
Ok....ngoja nikuache uendelee kuwapiga wajinga
 
Ndio mkuu, Nashukuru kipaji hicho ninacho kwa asilimia 85% ikiwa tu unafahamu muda ulioota yaani time unashtuka kutoka ndotoni. Mwanzo wa usiku? katikati ya usiku? au mwisho wa usiku? na vilevile kama ni mchana
Nakuja pm chief
 
Tafuta hela huko mbinguni/motoni utafika tu utake usitake
 
Actually mkuu sikuwa Na Nia ya
kushindana nawewe maana hata sikujui...
Ukweli Ni Kuwa siamini uwepo
wa hivyo viumbe sijawahi
kuona tofauti Na story Za
vijiweni Na Hakuna ushahidi
wake.
Lakini kama WaPo ningependa
kuwaona.
Nakuomba kama una uwezo
unioneshe lakini hili swala la
majina Ni gumu kwangu Kwa
sababu Za kiusalama ambazo
hazihusiani Na majini
Sasa ukitaka mpaka mtu akutumie jini ndio ukubali kuamini kuwa majini yapo sidhani kama ni sahihi, kwa sababu mtu kukutumia ni jambo lengine kabisa na kuwepo majini ni jambo lengine sio kila anayeamini uwepo wa majini ni kwamba alitumiwa jini.
 
Mimi kama unaamini uchawi upo....naomba uniroge
 
Mimi kama unaamini uchawi
upo....naomba uniroge
Inahusiana vp labda kama unafanya ubishi tu pasina hoja, ni sawa na kutaka mtu akuambukize ukimwi ili ndio ukubali ukimwi upo na asipokuambukiza tafsiri yake iwe hakuna ukimwi.

Njia unayotumia kupinga uchawi na majini ni njia dhaifu, mimi kushindwa kukutumia jini au kukuroga ni sawa na kushindwa kukuambukiza ukimwi halafu uhitimishe ukimwi hakuna kwa sababu Tz mbongo hakuweza kuniambukiza.
 
kama wewe huwezi kuniroga, tafuta nguli yoyote unayemuamini aniroge....Nimeweka bandiko hapa JF hadharani mtu yoyote anayesoma hapa aniroge.

Ni sawa na mimi kusema hamna ukimwi halafu uniletee wanawake 100 wenye ukimwi nilale nao pekupeku tena bila vilainishi na nitumie mkongo halafu nisiupate.....Hapo nikisema hamna ukimwi ntakua nimekosea??
 
kama wewe huwezi kuniroga,
tafuta nguli yoyote unayemuamini
aniroge....Nimeweka bandiko
hapa JF hadharani mtu yoyote
anayesoma hapa aniroge.
Ni sawa na mimi kusema
hamna ukimwi halafu uniletee
wanawake 100 wenye ukimwi
nilale nao pekupeku tena bila
vilainishi na nitumie mkongo
halafu nisiupate.....Hapo
nikisema hamna ukimwi ntakua nimekosea??
Narudia tena kwamba suala la wewe kutaka kurogwa ni ishu tofauti na kuwepo uchawi.
Ukitembea na wanawake 100 na usipate ukimwi bado hiyo haina tafsiri ya kwamba hakuna ukimwi, unaweza hata ukatembea na mwenye ukimwi kabisa na usipate ukimwi na visa hivyo vipo vingi tu.

Sasa wewe kutaka kurogwa ni jambo lengine hakuna aliyekwambia humu yeye ni mchawi anaroga watu au hakuna ubishi wa kwamba wewe unarogeka au haurogeki.
 
Wewe mtu anakuambia hii ni sumu ukionja unakufa....Sasa wewe ukaomba upewe kreti zia la hiyo sumu..Ukanywa ukashiba na usipate madhara yoyote...Hiyo itakuwa sumu?
 
Wewe mtu anakuambia hii ni
sumu ukionja unakufa....Sasa
wewe ukaomba upewe kreti zia
la hiyo sumu..Ukanywa
ukashiba na usipate madhara
yoyote...Hiyo itakuwa sumu?
Kuna mtu kaomba umpe baadhi ya information zako ili aweze kutekeleza ulichokitaka ila umeshindwa kufanikisha hilo ili uweze kuthibitisha. Sasa unatoaje mfano wa kunywa sumu na usife?

Point hapa mkuu sio wewe kurogwa bali ni kuwepo au kutokuwepo kwa uchawi.
 
Back
Top Bottom