Interesting..
1. Mimi sipendi kelele na nikikaa mahali pa kelele au kupita sehemu zenye kelele kichwa kitaniuma sanaaaa..nilijifunza kukituliza kichwa changu kinapouma kwa kuslow zile brain waves and i do two things either niconcentrate na greenish enviroment or nilale. Nilijifunza kuhusu brainwaves so ilinisaidia.
2. Kukaa peke yangu ndio kitu nafanya most of times sababu ya ukimya and i enjoy it, maana hata TV au milio ya simu hua naona ni kelele kubwa so most times siangalii TV na simu yangu always ipo silent. Na siwezi kulala bila kuzima simu hata kama ipo mbali ni lazima niizime muda wa kulala.
3. I like listening to the silence. Naweza kaa nje kwenye garden nika enjoy ile silence na suuti ya miti.. au wakati wa kulala nipande kitandani nisikilize silence iliyopo and naweza ziba kusikia kwa skio moja nisikie kwa skio lingine and vice versa.. na. With that najua kabisa skio langu laa kulia naskia sauti za karibu la kushoto za mbali.. so naweza kaa mahali penye utulivu niweke concentration kwenye skio la kushoto kuskia mbali and naweza pick a voice iliyo mbali.. mara nyingi skio la kulia linaloskia karibu nikiweka concentration naskia ziiiiiiii.. mlio mzito ambao no one else anaskia. Kuna siku nilikaa nje kwenye garden nikafumba macho ili kuskia na skio la kulia niliskia instrument inaplay ( ilikia kinanda) na niliiskia ile sauti mpaka ikawa karibu kabisa na nilijua kabisa haikua katika ulimwengu wa mwili mana nilipofungua macho sikuiskia. Kwakua sikuelewa cha kufanya so sikurudia.. but nimeskiliza video yako nitajaribu tena ili kuitumia hiyo sound.
4. Ninaweza at times kuskia sauti ikiniita.. at first nilikua nastuka, but now nikiskia najaribu kutulia na kuegesha skio kwa huo upande. Au pia kuskia sauti ya kitu ambacho mwingine anaweza asiskie..na mara nyingi nikiskia kama kuna mtu/watu nilio nao hua nawanyamazisha, ili niskie vizuri, lakini nikiwauliza kama wameskia wanasema hawajaskia..na mfano mwingine kuna kipindi chumbani kwangu nilikua naskia sauti za kama watu wanacheza/wanagonga gonga darini, to me the voice was so loud and nilikua nashangaa why nikiuliza wengine wanasema hawaiskii..but tulipoanza maombi ya mkesha na ndugu zangu kila jmosi, basi ile sauti ilikata..nadhani walikua wachawi/wanga.. lakini point is it was only me aliekua anaiskia na sio wengine.
Kuna vingine umevisema sijawahi experience bado but i believe nikiweka effort zaidi katika kuimarisha my hearing naweza fika mbali. Nimejifunza na umenimotivate sana. Maana kwa mimi it goes mpaka kwenye smell.. kuna smell zingine naziskiaga ambazo wengine hawaskii. Natamani kujifunza zaidi.