Maono ya Karatasi nyeupe ya siri itakayofunguliwa 2025

Huu utabiri hauwezi kuwa valid kwasababu umeutoa mapema sana. Hapo katikati mambo mengi yanaweza kutokea na kubadili kila kitu.

Pili tabiri zako zimekuwa nyingi huku zikihusu kitu kimoja. Kama we sio Tumiakili basi muige, akishatoa maono yake anapotea mpaka tukio likishatokea ndo anarudi.
 
We Tumaini waambie deep state wenzio sawa,taarifa imefika,ila Mungu anasema mwaka huu jamaa zenu watavurugana sana,wasipochutama na kuacha udhalimu utakuwa mwanzo wa mwisho wa ccm and 5 years to come (2026) it will be over,self sabotage is in the process now.
Vilio ni vingi huku mitaani,haswa sisi vijana,na vilio hivi vimemfikia.
Deep state wote mliopo humu,mark this post.
 
Mimi na subscribe tu kwenye thread hii ili nipate newsfeed hiyo 2025 barua itakaposomwa.

Hii ni kutokana na imani yangu kwa mleta mada.

Mimi pia Imani yangu kwa Mtoa nada dugu TumainiEl 100%
Tatizo humu watoto na wasiokuwa na Upeo ka 1B wapo wengi Matokeo yake hawajui nini Kimeandikwa wanajibu hovyo tuu!
Huyu jamaa nimemfuatilia kitambo anachosema kinatokea
Cc Pascal Mayalla
 
ILLUSIONS.

Wewe jamaa una MATATIZO YA AKILI.
 

1.Mkuu hapo mwisho yaani Taifa Litapewa Taarifa ya Siri tena?
2.Huyo Mwanafamu atakaekuwa ameandika hiyo siri atakuwa ni Kiongozi wa Nchi?Au Viongozi wa Nchi waliopita? Au Au Hizo siri zinahusiana na Mali au Madaraka Mpaka Wananchi tuje Tutangaziwe?
Kwanini wasibaki Nazo?
TumainiEl
 
Mimi pia Imani yangu kwa Mtoa nada dugu TumainiEl 100%
Tatizo humu watoto na wasiokuwa na Upeo ka 1B wapo wengi Matokeo yake hawajui nini Kimeandikwa wanajibu hovyo tuu!
Huyu jamaa nimemfuatilia kitambo anachosema kinatokea
Cc Pascal Mayalla
Bas unajikuta una aaakiili mjinga wewe.Kwann mnapenda kuwadharau watu wasiokuwa interested na upumbavu wenu wa ndoto za alinachA nyie wehu??
 
Bas unajikuta una aaakiili mjinga wewe.Kwann mnapenda kuwadharau watu wasiokuwa interested na upumbavu wenu wa ndoto za alinachA nyie wehu??

Yaani Nusura nikutie konzi...Nikakumbuka Nitaoasua Kioo changu cha simu....
Kwanini Kama hauko interested na Mada Fulani mnaandika au UnaComments tena hovyo,Na upumbavu,Ukiona Haikufai kwanini usikae kimya Mpaka uandike Ugoro wako hapa!
 
Nani alimng'oa kucha na meno Dr. Ulimboka?
Nani aliasisi mauaji ya kina Dr. Mvungi?
Nani alifisadi nchi hadi Waziri Mku akajiudhuru?
Nani alipelekes wasiojulikana Zenz kuteka na kupoteza watu?
Mwogope Mungu wewe. Kama hujui, nyamaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…