Maono ya Karatasi nyeupe ya siri itakayofunguliwa 2025

Huu unabii pia nimeusikia kwa Nabii Dr Ian Ndlovu wa Zimbabwe,alisema pia anaona Rais Samia akiondolewa kwenye kiti kabla ya uchaguzi ujao,anasema atapingwa nje na ndani ya Chama chake kwasababu ya kupokea ushauri mbovu na kufanya foolish decisions.Mkuu upo sahihi japo kuna wakina Thomaso watakupinga!
 
Dogo, anachokisema huyo jamaa ni kweli, ingia kwenye ulimwengu wa roho, mbona kila kitu Kiko wazi? Mimi nimeona huyo bibi katolewa kwenye kiti, hatakuwa rais Tena!
I Agree,

Msaidie ajue anawezaje kuingia vp ktk Ulimwengu wa Roho na kuona ulichoona🙏
 
Haya uliyooneshwa na BWANA na yatimie,
Amina.
 
Utabiri ?!
 
Karne ya 21 ya sayansi na teke linalokujia bado wapo watu wanaamini katika Utabiri na Mazingaombwe ?!!

Kweli bado tupo mbali sana ! Jamaa watatuburuta kweri kweri 😅😅😱
 
Mkuu wakati unaandika hii Membe alijuwepo? Kuna kitu nataka kukichakata
 
Mbona kama vile unapiga ramli kwenye mambo nyeti,ama unapima upepo kwa namna gani CCM ifanye ili uweze kuokoka?
 
Ben saa nane, nani kakuambia amekufa?.
 
Huu ni Mwandiko wa TumainEL 100%
 
Mleta mada alikosa maono kujiuzuku Ndugai?
sio kila jambo yawepo maono. Tukio la Ndugai halitishii muelekeo wa Taifa. Unaweza kulinganisha na tukio la kifo cha Magufuri. Kuna jambo na tukio kama tukio ambapo likitokea pande la nchi linatikiswa kama tetemeko.
 
Delusion....

What will change the history of this country?!!! [emoji15][emoji1787][emoji1787]

Breaking up the union of TANGANYIKA AND ZANZIBAR ?!!! [emoji15][emoji15]

This will never ever happen.....

3 governments ?!!!

This will never happen.....

Tanzania itabaki ilivyo na AMANI ,UTULIVU wake teleeee.....[emoji120]

#SiempreJMT[emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…