Heaven on earth,..........daima ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu.
Aliondoka kwa mikwara ila nao naona anawayawaya.
Muache kwanza Dunia imfunze.
Hahaha.........
Yuko kwenye ulimwengu asioujua
Hahahahahahahaha
Paloma peke yangu aise siogopi kufa,
najitahidi sana kuwaza nikifa leo nitakuwa nimewaachia watoto wangu
kitu gani ili kesho wasiyumbe sana na maisha,
vinginevyo siogopi kufa aise.
Mungu hapendi kifo, ndio maana 1wakorintho 15;26 inasema 'adui wa mwisho atakayebatilishwa ni mauti' kwa hiyo kifo ni adui wa Mungu
huwa nafikiria maisha yangu ya kiroho..............halafu nasema aaagh nita.....wakati sijui siku wala saa ntakayosepa!
na hivi ninamashaka na huko tunakoenda...........basi ndo kabsaaaaa nachoka mamaangu weeee!