Maono ya kutisha kupitia ndoto ya usiku wa jumapili

Maono ya kutisha kupitia ndoto ya usiku wa jumapili

Paloma anyways unaweza sema labda nimejizira
lakini ndivyo nilivyo,
na huko ni kwa neema tu kama tutajaliwa kuomba msamaha saa ya mwisho,
vinginevyo yatatukuta ya Musa.

inabidi tukumbushane kusali japo tuombe "kufa kifo chema"
 
kuna wimbo kwenye kitabu cha mwimbieni Bwana
huo wimbo unaitwa........ Karibu kwangu Roho..........
fungu la mwisho linasema ..........na mwisho tufe vema tufike Mbinguni.........
Je tutapata neema ya kuwa tunaomba hiyo kitu?
inabidi tukumbushane kusali japo tuombe "kufa kifo chema"
 
Yap! Kifo ni matokeo ya dhambi,coz Mungu alipomuumba mwanadamu alikuwa aishi milele


na pale iliponenwa mshahara wa dhambi ni mauti...........kwa hiyo kifo ni kama adhabu? ndo maana kuna kuhangaika sana katika kukata roho isiache mwili!!! daaah Chimbuvu
 
Last edited by a moderator:
kweli Chimbuvu

[TD="class: xl67, width: 95"]Ufunuo wa Yohana[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28"]22[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28"]19[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737"]Na mtu ye yote akiondoa lo lote katika maneno ya unabii wa kitabu hiki, Mungu atamwondolea sehemu yake katika ule mti wa uzima, na katika ule mji mtakatifu, ambao habari zake zimeandikwa katika kitabu hiki. [/TD]

Neno tu ndilo litasimama,mambo yote yatapita,maumivu,kuachwa,kifo,majonzi,huzuni,yote yatapita lakini neno la Mungu litasimama.
 
Last edited by a moderator:
Amini amini amini


kweli Chimbuvu

[TD="class: xl67, width: 95"]Ufunuo wa Yohana[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28"]22[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28"]19[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737"]Na mtu ye yote akiondoa lo lote katika maneno ya unabii wa kitabu hiki, Mungu atamwondolea sehemu yake katika ule mti wa uzima, na katika ule mji mtakatifu, ambao habari zake zimeandikwa katika kitabu hiki. [/TD]
 
Last edited by a moderator:
Fedha,dhahabu na mali zote ni mali yangu asema bwana wa majeshi.


kaona waleti yake doesn't look like the bible.....ipo kama henkachifu....hahahaaa, mapenzi yaka:rip:
 
Back
Top Bottom