Maono ya kutisha kupitia ndoto ya usiku wa jumapili

Ndugu yangu,nisemayo ni haya ya kuwa nyama na damu haziwezi kuurithi ufalme wa Mungu,wala uharibifu kurithi kutokuharibika
1wakorintho 15;50


Hahaha.........
Yuko kwenye ulimwengu asioujua
 
Paloma peke yangu aise siogopi kufa,
najitahidi sana kuwaza nikifa leo nitakuwa nimewaachia watoto wangu
kitu gani ili kesho wasiyumbe sana na maisha,
vinginevyo siogopi kufa aise.

huwa nafikiria maisha yangu ya kiroho..............halafu nasema aaagh nita.....wakati sijui siku wala saa ntakayosepa!
na hivi ninamashaka na huko tunakoenda...........basi ndo kabsaaaaa nachoka mamaangu weeee!
 
Mungu hapendi kifo, ndio maana 1wakorintho 15;26 inasema 'adui wa mwisho atakayebatilishwa ni mauti' kwa hiyo kifo ni adui wa Mungu

na pale iliponenwa mshahara wa dhambi ni mauti...........kwa hiyo kifo ni kama adhabu? ndo maana kuna kuhangaika sana katika kukata roho isiache mwili!!! daaah Chimbuvu
 
Last edited by a moderator:
Paloma anyways unaweza sema labda nimejizira
lakini ndivyo nilivyo,
na huko ni kwa neema tu kama tutajaliwa kuomba msamaha saa ya mwisho,
vinginevyo yatatukuta ya Musa.

huwa nafikiria maisha yangu ya kiroho..............halafu nasema aaagh nita.....wakati sijui siku wala saa ntakayosepa!
na hivi ninamashaka na huko tunakoenda...........basi ndo kabsaaaaa nachoka mamaangu weeee!
 
Last edited by a moderator:
Paloma chezea kuachwa weye Chimbuvu anatiririka mistari kama hana akili nzuri, daah.
na pale iliponenwa mshahara wa dhambi ni mauti...........kwa hiyo kifo ni kama adhabu? ndo maana kuna kuhangaika sana katika kukata roho isiache mwili!!! daaah Chimbuvu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…