Maono ya kutisha kupitia ndoto ya usiku wa jumapili

Ni hofu zako tu besti au jana uliangalia filamu/picha za kule japan nini? halafu ukakziota.
maana wanasayansi wanasema kile ambacho unakiwaza mchana kutwa au kukiona ndicho hicho unakiota
usiku wa manane, njoo kwangu nikupe ushauri nini cha kufanya uondokane na hiyo
 
Pale litakapotukia ndipo utajua ya kwamba ni bwana amenena kupitia kinywa cha mtumishi wake


 

Chimbuvu????? Nzambee..!!!! Ya solo???
 
Last edited by a moderator:
Acha kujifanananisha na mungu wewe ondoa hzo hofu zako usimsingizie mungu bure wakati unaogopa wewe mwenyewe
pale litakapotukia ndipo utajua ya kwamba ni bwana amenena kupitia kinywa cha mtumishi wake
 
Mungu hawezi tenda chochote pasipo kuwafunulia watumishi wake.
Mwenye masikio na asikie

Acha kujifanananisha na mungu wewe ondoa hzo hofu zako usimsingizie mungu bure wakati unaogopa wewe mwenyewe
 
Mungu hapendi kifo, ndio maana 1wakorintho 15;26 inasema 'adui wa mwisho atakayebatilishwa ni mauti' kwa hiyo kifo ni adui wa Mungu
shukrani za dhati kwa wote walikumwaga naona sasa umekumbuka wito wako.
cc Lady doctor
Madame B
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…