Maono ya kutisha kupitia ndoto ya usiku wa jumapili

Imeandikwa,kila jambo chini ya jua lina muda na wakati wake,kuna muda wa kutupa na kuna muda wa kukusanya,kuna muda wa kukumbatia na kuna muda wa kuachilia,kuna muda wa kucheka na kuna muda wa kulia


shukrani za dhati kwa wote walikumwaga naona sasa umekumbuka wito wako.
cc Lady doctor
Madame B
 
Last edited by a moderator:
Ole wenu mafarisayo,mnaosafisha nje ya kikombe na sio ndani ya kikombe.ingeliwapasa msafishe ndani ya kikombe ndipo mje nje ya kikombe

yaani, naona sasa anautafuta uchungaji kwa nguvu zote
 
Pslms 82:6 , I have said 'ye are god's' you are the son of the most High'
though you will die like men


hongera, ila kwa Christian tunaamini kuna Mungu baba, Mungu mwana na Mungu Roho mtakatifu...... Sasa wewe ni Mungu nani???
 
Imeandikwa,kila jambo chini ya jua lina muda na wakati wake,kuna muda wa kutupa na kuna muda wa kukusanya,kuna muda wa kukumbatia na kuna muda wa kuachilia,kuna muda wa kucheka na kuna muda wa kulia

wadhaniao wamesimama na waangalie wasidondoke. Na usiifanye kazi ya Bwana kwa ulegevu mtumishi.
 
Mhh JF kumekuwa madhahabuni siku hizi?,mtu akivuta tu bange lake ana maono

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Je waweza kurefusha urefu wa nywele yako hata kwa nchi moja?
Kama mwaweza kubashiri kuwa mvua itanyesha na ikanyesha ama mkabashiri majira je mmeshindwa kujua majira ya mwana wa adamu kurudi kama alivyoahidi?


wadhaniao wamesimama na waangalie wasidondoke. Na usiifanye kazi ya Bwana kwa ulegevu mtumishi.
 
Enyi kizazi cha nyoka,nitakaa nanyi hadi lini?je haijaandikwa kuwa mungu wa dunia hii amewapofusha mawazo yao,wana mna macho lakini hamuoni,mna masikio lakini hamsikii


Mhh JF kumekuwa madhahabuni siku hizi?,mtu akivuta tu bange lake ana maono

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…