Pamoja na mifumo sasa ni wazi kabisa maono ya serikali fake ya Tanzania na Watanzania wenyewe ni tofauti sana
Serikali bado inataka mfumo wa kizamani lakini Watanzania wamebadilika na mfumo mzima hauendani kabisa na matakwa ya watanzania. Ushahidi ni katiba . Watanzania wanataka katiba mpya lakini serikali fake inatafuta njia bila mafanikio kuongeza muda
Serikali bado inatumia machawa lakini Watanzania wameshawapulizia dawa na wamekuwa chali hawasaidii lolote wala chochote
Kampeni za kutisha tisha nazo hazinadilishi lolote
Watanzania wanajuwa kuwa serikali imejaa kupendelea wanzanzibari kwenye kazi, imejaa udini mkubwa, rushwa kubwa, wizi wa kura na utekaji
Watanzania wanataka wawe na uwakilishi bungeni kwasasa hakuna uwakilishi