Chura kiziwi ni naniRais wa Hii selikali amepatikana Kimiujiza Mkuu.
Rais Fake Kapatikana kwa kura Fake na kapatikana kimiujiza yani kura zilipigwa Milioni 32.7 kwa muda wa saa 6 pekee.
Zikahesabiwa ndani ya saa 72 .
maana yake kura 126 zilihesabiwa kwa sekunde 1 na kura 7569 kwa dakika moja tu.
Chura kiziwi ni mpumbavu sana
Uchaguzi haramu umezaa serikali haramuRais wa Hii selikali amepatikana Kimiujiza Mkuu.
Rais Fake Kapatikana kwa kura Fake na kapatikana kimiujiza yani kura zilipigwa Milioni 32.7 kwa muda wa saa 6 pekee.
Zikahesabiwa ndani ya saa 72 .
maana yake kura 126 zilihesabiwa kwa sekunde 1 na kura 7569 kwa dakika moja tu.
Chura kiziwi ni mpumbavu sana
Yule aliyeamuru Watanganyika zaidi ya 10,000 kuuwawa kwa kupigwa risasi na majeshi ya ulinzi na usalama ili yeye aitawale Tanganyika yetu.Chura kiziwi ni nani
Task force hiyo hapo inawa zoom tuYule aliyeamuru Watanganyika zaidi ya 10,000 kuuwawa kwa kupigwa risasi na majeshi ya ulinzi na usalama ili yeye aitawale Tanganyika yetu.
Mwisho wao mbaya.Task force hiyo hapo inawa zoom tu
Serikali haina maono yani inajioa ipo hapo kwa ajili ya yenyewePamoja na mifumo sasa ni wazi kabisa maono ya serikali fake ya Tanzania na Watanzania wenyewe ni tofauti sana
Serikali bado inataka mfumo wa kizamani lakini Watanzania wamebadilika na mfumo mzima hauendani kabisa na matakwa ya watanzania. Ushahidi ni katiba . Watanzania wanataka katiba mpya lakini serikali fake inatafuta njia bila mafanikio kuongeza muda
Serikali bado inatumia machawa lakini Watanzania wameshawapulizia dawa na wamekuwa chali hawasaidii lolote wala chochote
Kampeni za kutisha tisha nazo hazinadilishi lolote
Watanzania wanajuwa kuwa serikali imejaa kupendelea wanzanzibari kwenye kazi, imejaa udini mkubwa, rushwa kubwa, wizi wa kura na utekaji
Watanzania wanataka wawe na uwakilishi bungeni kwasasa hakuna uwakilishi
Hapa ndipo tatizo lilipo 👆👆👆kuamini kuishi ki primitive while dunia inabadilika!!Serikali bado inataka mfumo wa kizamani lakini Watanzania wamebadilika na mfumo mzima hauendani kabisa na matakwa ya watanzania. Ushahidi ni katiba .