Maonyesho ya Ubunifu UDSM yanafikirisha

Ha ha ha
 
Afadhari wangebuni sanamu la mwendazake John Pombe Magufuli wa Chato
 
Aisee. Nilistaajabu kuona Profesa katengeneza jiko la kutumia mwanga wa jua kupikia supu. Hivi ile dawa Yao ya kufukiza bado wanayo?
**Halafu mbona Kama hayo maonyesho wanafanya kwa kujificha? Promo hamna kabisa
Profesa ana ona katafiti kutumia mwanga, wakati tukiwa wadogo tulitumia kioo kuongoza mwanga kuwachoma wanafunzi walio tuudhi.
 
Kwa akili zipi? Choni watu wana discus Siasa masaa 24, wataweza?
Wakichoka kwenye siasa wanahamia kwenye mpira na kubet, wanajua mitihani ikikaribia mabinti wataleta paper wakisha vulishwa chupi (japo mama alisema hilo si issue, wote ni watu wazima).
 
Ndio maana Msukuma anapata credit bungeni.
 
Wazee wakukopy na kupaste..ndio amana nasemaga bila mzugu tungekua bado maporini tuna kula mizizi na kuvaa ngozi..bongo hakuna wasomi ila kuna wakarirji wazuri.

#MaendeleoHayanaChama
Ubunifu ni kwa kila mtu, siyo msomi wa chuo kikuu tu
 
Wewe umegundua nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…