Maonyesho ya Ubunifu UDSM yanafikirisha

Maonyesho ya Ubunifu UDSM yanafikirisha

Hatuko serious kabisa, hivi karibuni British Airways walitoa ndege kwa chuo kikuu nafikiri cha Oxford ili kuendeleza utafiti kwenye teknolojia za ndege, najiuliza kama pale idara ya engineering UDSM wanafanya innovations zozote au hata kuendeleza teknolojia kwenye vyombo vya usafiri kama magari na ndege, na vyombo vya kwenda anga za juu, tusije kutembelea tukakuta guta lipo kwenye display.
Ha ha ha
 
Afadhari wangebuni sanamu la mwendazake John Pombe Magufuli wa Chato
 
Aisee. Nilistaajabu kuona Profesa katengeneza jiko la kutumia mwanga wa jua kupikia supu. Hivi ile dawa Yao ya kufukiza bado wanayo?
**Halafu mbona Kama hayo maonyesho wanafanya kwa kujificha? Promo hamna kabisa
Profesa ana ona katafiti kutumia mwanga, wakati tukiwa wadogo tulitumia kioo kuongoza mwanga kuwachoma wanafunzi walio tuudhi.
 
Kwa akili zipi? Choni watu wana discus Siasa masaa 24, wataweza?
Wakichoka kwenye siasa wanahamia kwenye mpira na kubet, wanajua mitihani ikikaribia mabinti wataleta paper wakisha vulishwa chupi (japo mama alisema hilo si issue, wote ni watu wazima).
 
Jiwe (Magufuli) alinisikitisha sana alipokuwa anang'ang'ania kujifukiza na upuuzi mwingine, huku wengine, hata majirani zetu wakijifunza mambo chungu nzima kutokana na ugonjwa huo!

Hata sasa sijui kama kuna chuo chochote hapa nchini, au taasisi yoyote inayojihusisha na utafiti juu ya ugonjwa huo!

Nilisikitika sana kuwa nawasikia hata ma-profesa wetu mashuhuri, kama wale wa Muhimbili wakijihusisha na upuuzi aliokuwa akiufanya Magufuli juu ya ugonjwa huo.

Itatuchukua muda mwingi sana kurudisha heshima ya elimu yetu kutokana na yaliyotokea kwa muda huo mfupi wa Magufuli.

Wenzetu wanaendelea kujijenga, sisi sijui hata kama tumeanza kujitambua ili tujirekebishe na upotofu ule uliofanyika.
Ndio maana Msukuma anapata credit bungeni.
 
Wazee wakukopy na kupaste..ndio amana nasemaga bila mzugu tungekua bado maporini tuna kula mizizi na kuvaa ngozi..bongo hakuna wasomi ila kuna wakarirji wazuri.

#MaendeleoHayanaChama
Ubunifu ni kwa kila mtu, siyo msomi wa chuo kikuu tu
 
Hatuko serious kabisa, hivi karibuni British Airways walitoa ndege kwa chuo kikuu nafikiri cha Oxford ili kuendeleza utafiti kwenye teknolojia za ndege, najiuliza kama pale idara ya engineering UDSM wanafanya innovations zozote au hata kuendeleza teknolojia kwenye vyombo vya usafiri kama magari na ndege, na vyombo vya kwenda anga za juu, tusije kutembelea tukakuta guta lipo kwenye display.
Wewe umegundua nini?
 
Back
Top Bottom