Maonyesho ya Ubunifu UDSM yanafikirisha

Si tulikubaliana JF kila mtu ni msomi?

Sasa vipi tena leo kila mtu analaumu na kulalamika wasomi wetu?

Kwahiyo wote humu ni std 7 ,
Kwani kila msomi kazi yake ni kufanya utafiti, wewe umesoma wapi?
Kuna wasomi watafiti, waundaji sera, watekelezaji sera, wasimamiaji wa mifumo, washauri nk.
Phd ndio jukumu lao kubwa ni kutafiti, na hata digrii hizo ni kutafiti zaidi sio ku implement kama digrii ya kwanza.
Vipo vituo vya utafiti ambavyo kazi yao hasa ndio kutafiti ikiwepo NIMR.
Vyuo vikuu ni centre of innovatio,research and invention.
Viwanda vinatakiwa viwe centre of invention and innovation kwa sababu vinakutana na changamoto nyingi.
Company, hasa za kiteknolojia kama VODA TIGO,TTCL hizi nazo zinatakiwa zifanye innovation,invention and research.
kampuni kubwa yapaswa iwe na RND centre ila hapa kwetu hazina.
Nahitimusha kwa kusema sio kila msomi ni mtafiti ila mtifiti lazima awe msomi.
Hata ulaya haipo hivyo sio kila msomi huko ulaya ni mtafiti.
Watafiti kushindwa kazi yao isiwe nongwa kwa wengine.
 
Mkuu sema tena na tena. Kuna watu wajinga wanadhani ugonjwa kama huu ni kitu cha kupita tu. Kama ulivyosema wenzetu wamejifunza na wanaendelea kujifunza mengi kabisa kuhusu huu ugonjwa. Dunia yetu bado itakabiliwa na milipuko ya virus, ni suala la muda tu. Sisi tutakuwa hatuna ujuzi wowote na hali itakuwa mbaya. Hebu tujiulize: zamani magonjwa kama surua, polio marais au serikali za wakati ule zingechukuwa msimamo kama wa mwendazake leo ungekuta yameshadhibitiwa kwa kiasi hiki? Wao wanakimbilia kusema ''lockdown'' (kitu ambacho kwa mazingira yetu ni kama haiwezekani) lakini hawataki kuona kwamba kupambana na corona ni zaidi ya lockdown.
 
Hivi kweli huko Tanzania au unaishi na kuandika ukitokea nje na mbali na Tanzania. Huko kujifukiza unakodharau kumesaidia na kuwaponya Watanzania wengi dhidi ya korona 2020. Badala ya kejeli dhidi ya JPM ungetambua mchango wake kwa Watanzania dhidi ya korona, kitiba na kisaikolojia.
 
Unataka kusema hao maprofesa na madokta hawajaenda kusoma china, marekani nk. Wengi tu wamesoma ulaya karibu nusu ya malecture wanapelekwa kusoma ulaya.
Tutafute tatizo tusizingizie
Waafrica
 
Sanamu limetisha asee
 
Naunga mkono yaani nilitembelea Yale maonyesho Doo aisee mtu eti ni Dr anajisifia alivyomsumbua mwanafunzi wa master kwenye research yake.
 
Nyie munaohoji munashindwa Think Critically

Lakini je, kuna mabanda mbalimbali hapo ya kada mbalimbali. Hilo banda lililokuwa na sanamu la matati ni la TAALUMA au SECTOR gani...Tusikimbilie lawama.

Kwenye mada 95% wamekosa Thinking Critical na ku-claim kuwa Taaluma ni Sayansi na teknolijia tu wanashindwa jua kuna maelfu ya wataalam nakuna Program kibao hapo UDSM inakuwaje kuona INNOVATION ni Robotcts tu Mtu wa FASIHI SIMULIZI je.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…