Maonyesho ya Ubunifu UDSM yanafikirisha

Hiki ndicho nilichosema juu 90% ya waliochangia uzi wana Thinking za ajabu.
 
Wenzetu wanahangaika na Autonomous Vehicles, Blockchain Internet & Artificial intelligence sisi tunahangaika na kuchomea Mabati Kujenga sanamu na majiko ya kupikia supu.
 
Kwa upeo uliopo ni ngumu sana kuelewa the reason behind this sanamu. Nafikiri hii ni sehemu ya ripoti yake ya study (na ni Masters sio PhD).... Ni sculptor (sijui kwa kiswahili niisemeje) kwa kifupi tu nilipobahatika kupata maelezo ya ziada ni kuwa mabati hayo kama ulivyoyaita sio tu kwamba yamepindwa na kukunjwa kiholela bila kuzingatia theory behind kwa maana ya maumbo sikumbuki aliyaitaje kwa umoja ila maumbo kama mistari minyoofu, duara n.k. It is very interesting ukiisikiliza theory yake.

Na kama pia uliiona viti vyake vile vya chuma sio tu kuwa alipindisha na kuunda kiti bali reasoning yake behind uundwaji wa viti hivyo.
Lazima kuna kitu ambacho pia kilimwezesha kushinda mashindano ya ubunifu yaliyofanyika sehemu mbbalimbali ikiwemo nje ya nchi.

Pia anabuni vitu kwa kutumia matairi ya magari kama yule kijana aliyewekwa na Millard Ayo kwenye Youtube page yake Ni sanaa
 
Hiki ndicho nilichosema juu 90% ya waliochangia uzi wana Thinking za ajabu.
Halafu wajibu kama walipata hata muda wa kusoma hizo posters. Wanadhani uvumbuzi ni mpaka waone kitu physical tu! Sidhani kama kuna mtu aliweza kusoma hata poster moja akalimaliza!
 
Reactions: Mj1
Vijana wajinga wa kizazi hiki hawajui chochote na hawawezi kuwa hata na dakika moja ya kusoma, kusikiliza, au kuangalia kitu cha kitaalamu na kuhoji, kudadisi, kuchunguza na kukielewa.
 
Reactions: Mj1
Kuna muda uwe unajitahidi kuficha ujinga wako
 
Dah inatia huruma sana kwa uelewa huu.................. Nashauri watu tujifunze kudadisi kwa kushirikisha akili, mawazo na tafiti na sio kwa kuangalia tu kwa macho yetu.
 
Dah inatia huruma sana kwa uelewa huu.................. Nashauri watu tujifunze kudadisi kwa kushirikisha akili, mawazo na tafiti na sio kwa kuangalia tu kwa macho yetu.
Hawa watoto wajinga wanashinda JF kuandika mataputapu hiyo akili wataitoa wapi!
 
Halafu wajibu kama walipata hata muda wa kusoma hizo posters. Wanadhani uvumbuzi ni mpaka waone kitu physical tu! Sidhani kama kuna mtu aliweza kusoma hata poster moja akalimaliza!
Kinachoshangaza mtoa mada anajisanibu kwenda mpaka uwanjani na ndio kaleta hii mada instead watu kumuhoji mtoa mada wanaandika upupu kwangu mtoa mada ni mtu nikisema mjinga nakosea ila anasikitisha sana.
 
Unawalenga wakulima wa kiwango gani? Kama kubota tu inawatoa jasho hio mifumo wataiweza?
Kama unawalenga wakulima wakubwa sawa, watamudu gharama.
 
Unawalenga wakulima wa kiwango gani? Kama kubota tu inawatoa jasho hio mifumo wataiweza?
Kama unawalenga wakulima wakubwa sawa, watamudu gharama.
Kumbuka, hivyo vishamba vidogo katika mkusanyiko ni vikubwa!

Hivyo hivyo na uwezo wao wakiwa katika kundi kubwa linalohudumiwa kwa pamoja.
 
Maprofesa wenyewe hao mchana wapo kwenye maonesho jioni tunaungana nao Tips kupokonyana namba za wahudumu
 
Commercialization ya research ya mabati "chakavu" dunia ya Leo utamuuzia Nani? Eti theory, ujinga-ujinga tu. By the way Mo alikuja? Alisemaje kuhusu mabati?
 
Vyuo vikuu njooni na Innovation za maana

Mimi nilitembelea mabanda yote, mengine ndio hakuna kitu kabisa, badala ya kuelezea tafiti wanazofanya wanakuelezea vigezo vya kujiunga na chuo wakati kila kitu Kiko kwenye website Wala mtu hahitaji kwenda pale kujua Hilo.

Kiukweli kwenye swala la tafiti vyuo vyetu bado Sana, elimu yetu ni

knowledge base na sio competence base, so swala la tafiti no changamoto Sana.
 
Shida hata tafiti zao nyingi huwa hazina ubunifu.. na nyingi zinaanzia ughaibuni(mfadhili ndo anaamua nini kufanyike)
 
Commercialization ya research ya mabati "chakavu" dunia ya Leo utamuuzia Nani? Eti theory, ujinga-ujinga tu. By the way Mo alikuja? Alisemaje kuhusu mabati?
Inasikitisha sana, Hapo utawakuta Tena maonyesho ya sabasaba na FUKIZA DOL halafu Tena Nanenane na Sanamu pendwa. Recycling!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…