Maovu wanayotendewa Wakristo na Waafrika weusi huko Israel

Yote haya yanatoka kwenye vyombo vya habari na vyanzo vyake vipo>

Tafsiri kwa msaada wa google.

Israel yatoa taarifa ya kushangaza leo ambapo maafisa wa serikali wanachukulia kwa uzito hivi karibuni kuongezeka kwa wakristo kutemewa mate na Mashambulizi dhidi ya makasisi na uharibifu wa Tovuti za Kikristo au Wakristo katika Mji wa kale wa Jerusalem.

Taarifa zinasema kuwa umekuwa mara kwa mara kushambuliwa hivyo, Video chini hapo inaonesha jinsi ya Viongozi wa Kikristo wakijibu maswali ya cbn Stahl waanatuletea habari hii kutoka Yerusalemu. Kamishna wa Polisi qwa Israel amekutana na viongozi wa Makanisa ya Orthodox na Katoliki ya Nchi Takatifu Katika miezi ya hivi karibuni na kukiri kuwa "tumeshuhudia hali mbaya sana Matukio ya Kikristo Madhehebu katika Nchi Takatifu.

Ma sister Wakristo ambao sio raia pia hushambuliwa katika maeneo yao ya maombi, ya katika makaburi yao na katika mitaa Wakristo katika mji wa kale wa Yerusalemu. Wakristo wamelalamika kuwa mara nyingi wanasumbuliwa na mate na hata kushambuliwa kimwili na Wayahudi. Vijana wa Kiyahudi wanaona jambo hili kuwa la kawaida. Matukio ya awali ni pamoja na Kuharibiwa kwa makaburi ya Kiprotestanti kwenye Mlima Sayuni mashambulizi dhidi ya kimataifa Wakristo katika siku ya maombi Yerusalemu na unyanyasaji katika Kimasihi Katika Yerusalemu.
Mengine tafadhali jionee mwenyewe video hapo chini na kwenye post zinazofatia na ulaani vikali gtabia hii ambayo kibinadam si sawa kabisa.

Mimi kama Muislam nalaani vikali tendo
View attachment 2850227
hivyo na sikubaliani navyo kabisa.

Inaendelea...
...na ndiyo maana hatuachi kuwapenda. Kwenye chuki, migogoro, umalaya, uharifu, ubaguzi, hapo ndipo Ukristo hutakiwa kupandikizwa ili kuleta utengamano.
Ukristo siyo Kombe kwa ajili ya washindi, Ukristo ni Msalaba mzito. Ukristo siyo taji kwamba utalivaa kichwani, ukristo ni futio la miguu.
Sasa sijui ujumbe wako wewe hapa ni upi? Maana kama ni hizo chuki wakristo wanazijua kuliko wewe. Au umestushwa na utulivu na ustaarabu wa Ukristo?
Usitarajia utawashika masikio kwa hizi hadithi zako, Wakristo siyo wa hivyo.
 
Hapo ndipo unapojidanganya, mbona hamjaonesha upendo kwa watu wanaoonewa wa Ghaza?
 
Unazungumzia wakristo hawa hawa wanaoshabikia vita?
 
Yote haya yanatoka kwenye vyombo vya habari na vyanzo vyake vipo>

Tafsiri kwa msaada wa google.

Israel yatoa taarifa ya kushangaza leo ambapo maafisa wa serikali wanachukulia kwa uzito hivi karibuni kuongezeka kwa wakristo kutemewa mate na Mashambulizi dhidi ya makasisi na uharibifu wa Tovuti za Kikristo au Wakristo katika Mji wa kale wa Jerusalem.

Taarifa zinasema kuwa umekuwa mara kwa mara kushambuliwa hivyo, Video chini hapo inaonesha jinsi ya Viongozi wa Kikristo wakijibu maswali ya cbn Stahl waanatuletea habari hii kutoka Yerusalemu. Kamishna wa Polisi qwa Israel amekutana na viongozi wa Makanisa ya Orthodox na Katoliki ya Nchi Takatifu Katika miezi ya hivi karibuni na kukiri kuwa "tumeshuhudia hali mbaya sana Matukio ya Kikristo Madhehebu katika Nchi Takatifu.

Ma sister Wakristo ambao sio raia pia hushambuliwa katika maeneo yao ya maombi, ya katika makaburi yao na katika mitaa Wakristo katika mji wa kale wa Yerusalemu. Wakristo wamelalamika kuwa mara nyingi wanasumbuliwa na mate na hata kushambuliwa kimwili na Wayahudi. Vijana wa Kiyahudi wanaona jambo hili kuwa la kawaida. Matukio ya awali ni pamoja na Kuharibiwa kwa makaburi ya Kiprotestanti kwenye Mlima Sayuni mashambulizi dhidi ya kimataifa Wakristo katika siku ya maombi Yerusalemu na unyanyasaji katika Kimasihi Katika Yerusalemu.
Mengine tafadhali jionee mwenyewe video hapo chini na kwenye post zinazofatia na ulaani vikali gtabia hii ambayo kibinadam si sawa kabisa.

Mimi kama Muislam nalaani vikali tendo
View attachment 2850227
hivyo na sikubaliani navyo kabisa.

Inaendelea...
Vipi wanayotendewa watu weusi huko oman, falme za kiarabu , saudia, mbali na mateso udharirishaji pia.
Hujasikia wanavyotendwa hao wafanyakazi wa ndani.
Huko mbali nenda hapo zanzibar watu wa bara wanavyonyanyaswa hasa wasio waislam, hawaruhusiwa kufanya biashara kubwa, kumiliki ardhi, kuwa kiongozi hata wa mtaa. Unajifanya huyajui? Mnafiki kawaida yake kujifanya hajui wala hasikii ya upande mmoja, lakini upande mwingine anayasikia!
Je ni sifa yako hiyo?
 
Yote haya yanatoka kwenye vyombo vya habari na vyanzo vyake vipo>

Tafsiri kwa msaada wa google.

Israel yatoa taarifa ya kushangaza leo ambapo maafisa wa serikali wanachukulia kwa uzito hivi karibuni kuongezeka kwa wakristo kutemewa mate na Mashambulizi dhidi ya makasisi na uharibifu wa Tovuti za Kikristo au Wakristo katika Mji wa kale wa Jerusalem.

Taarifa zinasema kuwa umekuwa mara kwa mara kushambuliwa hivyo, Video chini hapo inaonesha jinsi ya Viongozi wa Kikristo wakijibu maswali ya cbn Stahl waanatuletea habari hii kutoka Yerusalemu. Kamishna wa Polisi qwa Israel amekutana na viongozi wa Makanisa ya Orthodox na Katoliki ya Nchi Takatifu Katika miezi ya hivi karibuni na kukiri kuwa "tumeshuhudia hali mbaya sana Matukio ya Kikristo Madhehebu katika Nchi Takatifu.

Ma sister Wakristo ambao sio raia pia hushambuliwa katika maeneo yao ya maombi, ya katika makaburi yao na katika mitaa Wakristo katika mji wa kale wa Yerusalemu. Wakristo wamelalamika kuwa mara nyingi wanasumbuliwa na mate na hata kushambuliwa kimwili na Wayahudi. Vijana wa Kiyahudi wanaona jambo hili kuwa la kawaida. Matukio ya awali ni pamoja na Kuharibiwa kwa makaburi ya Kiprotestanti kwenye Mlima Sayuni mashambulizi dhidi ya kimataifa Wakristo katika siku ya maombi Yerusalemu na unyanyasaji katika Kimasihi Katika Yerusalemu.
Mengine tafadhali jionee mwenyewe video hapo chini na kwenye post zinazofatia na ulaani vikali gtabia hii ambayo kibinadam si sawa kabisa.

Mimi kama Muislam nalaani vikali tendo
View attachment 2850227
hivyo na sikubaliani navyo kabisa.

Inaendelea...
Hata mimi siwafagili ila neno nalaani vikali huo ni unafiki wako hujawahi penda wakristo
 
Tatizo huwa hamtaki kujisomea au kuwauliza Waislam mpate kuujuwa Uislam.

Tazama mafundisho mema haya kutokea miaka zaidi ya 1,400 nyuma:

Qur'an5:82.
Hakika utawakuta walio shadidi kuliko watu wote katika uadui kwa walio amini ni Mayahudi na washirikina. Na utawakuta walio karibu mno kwa mapenzi ni wale wanao sema: Sisi ni MManasara (Wakristo). Hayo ni kwa sababu wapo miongoni mwao makasisi na wamonaki, na kwa sababu wao hawafanyi kiburi. 82

Uislam ni mwema sana.
 
Hapo ndipo unapojidanganya, mbona hamjaonesha upendo kwa watu wanaoonewa wa Ghaza?
Ni rahisi kumpenda anayenichukua, lakini kamwe si mfitini na muongo.
Wapalestina tunawapenda na kuwaonea huruma, anayemponza Mpalestina ni yule anayejifanya kummtetea kwa story za uongo, na ufitini...tunasikitishwa sana na yanayowatokea, ila anaponzeka na aina ya supporters wake
 
Tatizo huwa hamtaki kujisomea au kuwauliza Waislam mpate kuujuwa Uislam.

Tazama mafundisho mema haya kutokea miaka zaidi ya 1,400 nyuma:

Qur'an5:82.
Hakika utawakuta walio shadidi kuliko watu wote katika uadui kwa walio amini ni Mayahudi na washirikina. Na utawakuta walio karibu mno kwa mapenzi ni wale wanao sema: Sisi ni MManasara (Wakristo). Hayo ni kwa sababu wapo miongoni mwao makasisi na wamonaki, na kwa sababu wao hawafanyi kiburi. 82

Uislam ni mwema sana.
Sio neno la mungu ni mud wenu katengenea fitina neno la mungu linatoka kwenye Biblia tu
 
jioneshe kuwa wewe krisyto, vaa msalaba tu wauone, Hawataweza, maana huwa hakuna mtu wa kunifanyia baya mimi, simaanishi kwa ubabe wangu bali kwa uungwana wangu, naishi na wote.
Hilo hawataweza nakubali 100% hakuna Muislam mwenye uwezo huo, nenda sasa kwa mayahudi halafu uje useme hawataweza.

Si umepitia video clip hizo juu? Au umedandia kwa mbele?

Kwa wayahudi mkristo ni najisi tu.

Unafahamu kuwa wayahudi hata chakula kikipikwa na mkristo hawali? Cha Muislam wanafakamia.

Nchi za nje huko wakiona Restaurant imeandikwa halal wanakula bila kuuliza chochogte, na Waislam tukikuta imeandikwa "kosher" tunafakamia tu, tunajuwa hakuna najisi humo.

Calgary zimefunguliwa hizi si siku nyingi sana, wateja wakubwa Mayahudi:

1703330201763.png
 
Hawataweza, maana huwa hakuna mtu wa kunifanyia baya mimi, simaanishi kwa ubabe wangu bali kwa uungwana wangu, naishi na wote.
Sema hutovaa msalaba mbele ya mayahudi ukienda kwao.
 
Back
Top Bottom