Maovu wanayotendewa Wakristo na Waafrika weusi huko Israel

...na ndiyo maana hatuachi kuwapenda. Kwenye chuki, migogoro, umalaya, uharifu, ubaguzi, hapo ndipo Ukristo hutakiwa kupandikizwa ili kuleta utengamano.
Ukristo siyo Kombe kwa ajili ya washindi, Ukristo ni Msalaba mzito. Ukristo siyo taji kwamba utalivaa kichwani, ukristo ni futio la miguu.
Sasa sijui ujumbe wako wewe hapa ni upi? Maana kama ni hizo chuki wakristo wanazijua kuliko wewe. Au umestushwa na utulivu na ustaarabu wa Ukristo?
Usitarajia utawashika masikio kwa hizi hadithi zako, Wakristo siyo wa hivyo.
 
Hapo ndipo unapojidanganya, mbona hamjaonesha upendo kwa watu wanaoonewa wa Ghaza?
 
Unazungumzia wakristo hawa hawa wanaoshabikia vita?
 
Vipi wanayotendewa watu weusi huko oman, falme za kiarabu , saudia, mbali na mateso udharirishaji pia.
Hujasikia wanavyotendwa hao wafanyakazi wa ndani.
Huko mbali nenda hapo zanzibar watu wa bara wanavyonyanyaswa hasa wasio waislam, hawaruhusiwa kufanya biashara kubwa, kumiliki ardhi, kuwa kiongozi hata wa mtaa. Unajifanya huyajui? Mnafiki kawaida yake kujifanya hajui wala hasikii ya upande mmoja, lakini upande mwingine anayasikia!
Je ni sifa yako hiyo?
 
Hata mimi siwafagili ila neno nalaani vikali huo ni unafiki wako hujawahi penda wakristo
 
Hata mimi siwafagili ila neno nalaani vikali huo ni unafiki wako hujawahi penda wakristo
Tatizo huwa hamtaki kujisomea au kuwauliza Waislam mpate kuujuwa Uislam.

Tazama mafundisho mema haya kutokea miaka zaidi ya 1,400 nyuma:

Qur'an5:82.
Hakika utawakuta walio shadidi kuliko watu wote katika uadui kwa walio amini ni Mayahudi na washirikina. Na utawakuta walio karibu mno kwa mapenzi ni wale wanao sema: Sisi ni MManasara (Wakristo). Hayo ni kwa sababu wapo miongoni mwao makasisi na wamonaki, na kwa sababu wao hawafanyi kiburi. 82


Uislam ni mwema sana.
 
Hapo ndipo unapojidanganya, mbona hamjaonesha upendo kwa watu wanaoonewa wa Ghaza?
Ni rahisi kumpenda anayenichukua, lakini kamwe si mfitini na muongo.
Wapalestina tunawapenda na kuwaonea huruma, anayemponza Mpalestina ni yule anayejifanya kummtetea kwa story za uongo, na ufitini...tunasikitishwa sana na yanayowatokea, ila anaponzeka na aina ya supporters wake
 
Sio neno la mungu ni mud wenu katengenea fitina neno la mungu linatoka kwenye Biblia tu
 
jioneshe kuwa wewe krisyto, vaa msalaba tu wauone, Hawataweza, maana huwa hakuna mtu wa kunifanyia baya mimi, simaanishi kwa ubabe wangu bali kwa uungwana wangu, naishi na wote.
Hilo hawataweza nakubali 100% hakuna Muislam mwenye uwezo huo, nenda sasa kwa mayahudi halafu uje useme hawataweza.

Si umepitia video clip hizo juu? Au umedandia kwa mbele?

Kwa wayahudi mkristo ni najisi tu.

Unafahamu kuwa wayahudi hata chakula kikipikwa na mkristo hawali? Cha Muislam wanafakamia.

Nchi za nje huko wakiona Restaurant imeandikwa halal wanakula bila kuuliza chochogte, na Waislam tukikuta imeandikwa "kosher" tunafakamia tu, tunajuwa hakuna najisi humo.

Calgary zimefunguliwa hizi si siku nyingi sana, wateja wakubwa Mayahudi:

 
Hawataweza, maana huwa hakuna mtu wa kunifanyia baya mimi, simaanishi kwa ubabe wangu bali kwa uungwana wangu, naishi na wote.
Sema hutovaa msalaba mbele ya mayahudi ukienda kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…