Mapadri na mashehe wanavuta sana sigara. Je, hawajui kuwa hiyo ni dhambi mpya iliyosahaulika kuwekwa kwenye vitabu vitakatifu?

Mapadri na mashehe wanavuta sana sigara. Je, hawajui kuwa hiyo ni dhambi mpya iliyosahaulika kuwekwa kwenye vitabu vitakatifu?

Point yangu ni kwamba sigara haijatajwa moja kwa moja na hiyo ni loop jole kwa wavutaji,inategemea na tafsirueishi zanzibar mashehe hawagusi pombe kabisa ila sigara wanavuta
Sio sigara tu ambayo haijatajwa moja Kwa moja hata bangi ,Coccaine,heroine,shisha nk hakuna aya Wala Hadith iliyovitaja moja kwa moja
Kwa hiyo hoja yako ni dhaifu,hujaifikiria kabla ya kuichangia na Kama ni loophole ni upuuzi wa mhusika binafsi kuidanganya nafsi yake kwani Allah huwezi mdanganya
 
Kwenye miaka ya 60 kushuka chini sigara ilionekana ni kitu cha fahari kutumia,ni mpaka wataalam wa afya walipogundua zinasababisha kansa, sigara ikaonekana ni kitu hatari kwa afya.

Hata mwalimu nyerere kavuta sana sigara enzi zake. Nafahamu mapadri kadhaa wa kanisa katoliki wanaovuta sigara, nafahamu mashehe kadhaa wanaovuta sigara, wanajitetea kuwa hakuna kifungu kwenye bible wala msahafu unaokataza sigara

Ni kweli hakuna lakini kwangu sigara ni dhambi mpya iliyosahulika kuwekwa kwenye vitabu vitakatifu. Itafutwe bamna ichomekwe kwenye hivi vitabu vitakatifu

Kitu chochote kilichokatazwa kwenye vitabu vitakatifu kuanzia nguruwe, ngono, kambale, kumbikumbi, kunguru, ufiraji, wizi, uongo, usengenyaji, pombe nk vina mashara kiafya.
Nguruwe, kumbikumbi, kambale, pombe nipe kifungu.
 
Kama viongozi wa dini ni wapenda uraibu, waumini wao ndio balaa. Unakuta muumini mbugia tumbaku na ugoro, wakati wa kula sakramenti anatema tumbaku na baada ya sakramenti anabugia tumbaku au ugoro tena. Miaka ya nyuma waumini walikuwa wananuka sigara na pombe midomoni huku wapo ibadani
 
Kwa kuwa na cocaïne haijaandikwa kwenye biblia n'a quran nashauri pia waitumie maana vyote vinaharibu afya
Sioni tofauti ya sigara na bangi,mvuta sigara ni rahisi sana kuvuta bangi,viongozi wa dini waache kuvuta moshi na wakemee kwa waumini
 
Sio sigara tu ambayo haijatajwa moja Kwa moja hata bangi ,Coccaine,heroine,shisha nk hakuna aya Wala Hadith iliyovitaja moja kwa moja
Kwa hiyo hoja yako ni dhaifu,hujaifikiria kabla ya kuichangia na Kama ni loophole ni upuuzi wa mhusika binafsi kuidanganya nafsi yake kwani Allah huwezi mdanganya
Hitimisho ni lipi waendelee kutumia sigara sababu haijaandikwa,au waachane nayo na iwekwe kundi moja na cocaine na bangi
 
Walokole bhana, zamani ukivaa jeans, kuweka nywele dawa, rangi za kucha na nywele walikuwa wanazuia eti ni dhambi[emoji16]
 
Hazijasahaulika kwenye biblia Kuna vitu vinaitwa vileo,madawa ya kulevya,sigara ,vangi ,hivi vyote vinaleweshe na effect yake Ni Kama pombe tuu
 
Hitimisho ni lipi waendelee kutumia sigara sababu haijaandikwa,au waachane nayo na iwekwe kundi moja na cocaine na bangi
Hitimisho ni waachane/tuachane na Kila kilichoharamishwa iwe bangi, mirungi,kamari , zinaa, cocaine,wizi,liwati ,rushwa na mengineyo ili tupata salama ya muumba hapa duniani na kesho akhera
 
Kwenye miaka ya 60 kushuka chini sigara ilionekana ni kitu cha fahari kutumia,ni mpaka wataalam wa afya walipogundua zinasababisha kansa, sigara ikaonekana ni kitu hatari kwa afya.

Hata mwalimu nyerere kavuta sana sigara enzi zake. Nafahamu mapadri kadhaa wa kanisa katoliki wanaovuta sigara, nafahamu mashehe kadhaa wanaovuta sigara, wanajitetea kuwa hakuna kifungu kwenye bible wala msahafu unaokataza sigara

Ni kweli hakuna lakini kwangu sigara ni dhambi mpya iliyosahulika kuwekwa kwenye vitabu vitakatifu. Itafutwe bamna ichomekwe kwenye hivi vitabu vitakatifu

Kitu chochote kilichokatazwa kwenye vitabu vitakatifu kuanzia nguruwe, ngono, kambale, kumbikumbi, kunguru, ufiraji, wizi, uongo, usengenyaji, pombe nk vina mashara kiafya.
Wasabato na Mashahidi wa Yehova mna taabu sana, kwahy mmeshafikia hatua hata ya ku'critisize' maandiko matakatifu kuwa yana mapungufu

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Mapadri wanatumia Pombe Kali sana, Kuna nyumba nihamia ila kabla yangu walikuwa wanaishi mapadri.....stoo kulijaa chupa za kila kilevi na Kuna sehemu palijaa vishungi vya sigara yaani utadhani ni danguro vile.........
Samahani mkuu sina shida na wanavyovitumia hapo kwenye pakulala kama store mapadre parokia gani hiyo

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom