Kariobangi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2022
- 480
- 435
Sio sigara tu ambayo haijatajwa moja Kwa moja hata bangi ,Coccaine,heroine,shisha nk hakuna aya Wala Hadith iliyovitaja moja kwa mojaPoint yangu ni kwamba sigara haijatajwa moja kwa moja na hiyo ni loop jole kwa wavutaji,inategemea na tafsirueishi zanzibar mashehe hawagusi pombe kabisa ila sigara wanavuta
Kwa hiyo hoja yako ni dhaifu,hujaifikiria kabla ya kuichangia na Kama ni loophole ni upuuzi wa mhusika binafsi kuidanganya nafsi yake kwani Allah huwezi mdanganya