NENO NAFSI 3 NI UPOTOSHAJI ..Mtu akisha sema Mungu mmoja ila ana nafsi 3 huyo ni mpumbavu moja kwa moja ...tena inaelekea hajui hata maana ya NAFSI...hila mtu akisema kuna >MUNGU NAFSI MOJA KATIKA HALI 3 HUYO YUPO SAHIHI .......Neno Mungu mmoja maana yake ni nafsi moja. Uwezi kusema Mungu mmoja kisha nafsi ni zaidi ya moja ...hata kisa cha mtu mwenye pepo wachafu kinaonyesha tofauti ya umoja na wingi wa nafsi ...yule mtu alikuwa ni mmoja ila alikuwa na nafsi zaidi ya moja hivyo alijitambulisha kama JESHI yaani WENGI....WAKRISTO NI WAPUMBAVU SANAJana jumamosi nilikuwa nasikiliza kipindi cha Tunu Zetu radio Amani ya jimbo katoliki Arusha. Padri alikuwa na mada ya Utatu Mtakatifu ambayo aliianza na ataendelea nayo. Niliwahi kupeleka hoja kwa Madrid, maaskofu na wanateolojia wakatoliki kwamba Mungu ni mmoja aliyejidhihirisha katika namna/nafsi tatu tofauti. Uumbaji (Baba), ukombozi (Mwana/Yesu), utakatifuzaji/uongozi (Roho Mtakatifu). Huyo ni Mungu yuleyule. Hoja hiyo ikapingwa. Jana padri mkatoliki akasema hayohayo! Akasema ukienda huko "mbinguni" hutakuta hao watatu kama "three distinct beings". Mungu ni mmoja tu. Najua yako madhehebu mengine ya kikristo yanakubaliana kabisa na teolojia hii. Wakatoliki mbona tena mnakinzana?? Huyu padre naye amesoma kwenye seminary na vyuo hivyo hivyo na mtaala huohuo. How comes then the interpretation of the Trinity differs? Hebu wekeni hapa hoja zenu.
DogmaWapagani ndiyo walianza habari ya kuabudu utatu
Kwani mpaka utukane mkuu!NENO NAFSI 3 NI UPOTOSHAJI ..Mtu akisha sema Mungu mmoja ila ana nafsi 3 huyo ni mpumbavu moja kwa moja ...tena inaelekea hajui hata maana ya NAFSI...hila mtu akisema kuna >MUNGU NAFSI MOJA KATIKA HALI 3 HUYO YUPO SAHIHI .......Neno Mungu mmoja maana yake ni nafsi moja. Uwezi kusema Mungu mmoja kisha nafsi ni zaudi ya moja ...haki kisa cga mtu mwenye pepo wachafu kinaonyesha tofauti ya umoja na wingi wa nafsi ...yule mtu alikuwa ni mmoja ila alikuwa na nafsi zaidi ya moja hivyo alijitambulisha kama JESHI yaani WENGI....WAKRISTO NI WAPUMBAVU SANA
Kwa hayo matusi mada hii umeiingia kwa bahati mbayaNENO NAFSI 3 NI UPOTOSHAJI ..Mtu akisha sema Mungu mmoja ila ana nafsi 3 huyo ni mpumbavu moja kwa moja ...tena inaelekea hajui hata maana ya NAFSI...hila mtu akisema kuna >MUNGU NAFSI MOJA KATIKA HALI 3 HUYO YUPO SAHIHI .......Neno Mungu mmoja maana yake ni nafsi moja. Uwezi kusema Mungu mmoja kisha nafsi ni zaudi ya moja ...haki kisa cga mtu mwenye pepo wachafu kinaonyesha tofauti ya umoja na wingi wa nafsi ...yule mtu alikuwa ni mmoja ila alikuwa na nafsi zaidi ya moja hivyo alijitambulisha kama JESHI yaani WENGI....WAKRISTO NI WAPUMBAVU SANA
Tusi lipo wapi ? Au ni hili >ni mpumbavu yeye asemaye hakuna Mungu.Kwani mpaka utukane mkuu!
Tusi lipo wapi au hili > ni mpumbavu yeye asemaye hakuna mungu ...ni mpumbavu yeye asemaye Mungu mmoja nafsi 3Kwa hayo matusi mada hii umeiingia kwa bahati mbaya
.
(Wakristo wote ni wapumbavu)Tusi lipo wapi ? Au ni hili >ni mpumbavu yeye asemaye hakuna Mungu.
Utatu mtakatifu kwa elimu ya kabila lako imekaaje?Jana jumamosi nilikuwa nasikiliza kipindi cha Tunu Zetu radio Amani ya jimbo katoliki Arusha. Padri alikuwa na mada ya Utatu Mtakatifu ambayo aliianza na ataendelea nayo. Niliwahi kupeleka hoja kwa Madrid, maaskofu na wanateolojia wakatoliki kwamba Mungu ni mmoja aliyejidhihirisha katika namna/nafsi tatu tofauti. Uumbaji (Baba), ukombozi (Mwana/Yesu), utakatifuzaji/uongozi (Roho Mtakatifu). Huyo ni Mungu yuleyule. Hoja hiyo ikapingwa. Jana padri mkatoliki akasema hayohayo! Akasema ukienda huko "mbinguni" hutakuta hao watatu kama "three distinct beings". Mungu ni mmoja tu. Najua yako madhehebu mengine ya kikristo yanakubaliana kabisa na teolojia hii. Wakatoliki mbona tena mnakinzana?? Huyu padre naye amesoma kwenye seminary na vyuo hivyo hivyo na mtaala huohuo. How comes then the interpretation of the Trinity differs? Hebu wekeni hapa hoja zenu.
Yani hili bwege linalazimisha ubwege wake alafu anatukana wanaotofautiana nae. Kisa huelewi haimaanishi utukane. MUNGU NI MMOJA NAFSI TATU. MATAKO YAKO.NENO NAFSI 3 NI UPOTOSHAJI ..Mtu akisha sema Mungu mmoja ila ana nafsi 3 huyo ni mpumbavu moja kwa moja ...tena inaelekea hajui hata maana ya NAFSI...hila mtu akisema kuna >MUNGU NAFSI MOJA KATIKA HALI 3 HUYO YUPO SAHIHI .......Neno Mungu mmoja maana yake ni nafsi moja. Uwezi kusema Mungu mmoja kisha nafsi ni zaudi ya moja ...hata kisa cha mtu mwenye pepo wachafu kinaonyesha tofauti ya umoja na wingi wa nafsi ...yule mtu alikuwa ni mmoja ila alikuwa na nafsi zaidi ya moja hivyo alijitambulisha kama JESHI yaani WENGI....WAKRISTO NI WAPUMBAVU SANA
Huna unalojua. Wataje.Wapagani ndiyo walianza habari ya kuabudu utatu
Tusi lipo wapi au hukusoma biblia kuwa ni wapumbavu wale wasemao hakuna Mungu ? Hoja ya Mungu kuwa na nafsi Tatu wenzako walikimbia hapa JF. Kuna swali moja tu ukimuuliza yoyote anaye sema Mungu ana nafsi 3 lazima akimbie hoja na kujikili kuwa ni mpumbavu ...hata wewe nikikuuliza ilo swali ..utatabua kuwa wewe ni mpumbavu na kanisa lako walio kufundisha hivyo ni wapumbavu ...Yani hili bwege linalazimisha ubwege wake alafu anatukana wanaotofautiana nae. Kisa huelewi haimaanishi utukane. MUNGU NI MMOJA NAFSI TATU. MATAKO YAKO.
Tusi lipo wapi au hukusoma biblia kuwa ni wapumbavu wale wasemao hakuna Mungu ? Hoja ya Mungu kuwa na nafsi Tatu wenzako walikimbia hapa JF. Kuna swali moja tu ukimuuliza yoyote anaye sema Mungu ana nafsi 3 lazima akimbie hoja na kujikili kuwa ni mpumbavu ...hata wewe nikikuuliza ilo swali ..utatabua kuwa wewe ni mpumbavu na kanisa lako walio kufundisha hivyoYani hili bwege linalazimisha ubwege wake alafu anatukana wanaotofautiana nae. Kisa huelewi haimaanishi utukane. MUNGU NI MMOJA NAFSI TATU. MATAKO YAKO.
(Wakristo wote ni wapumbavu)
nini hiki? kwani wote wanaamini utatu?
Kama ni tusi basi mbona biblia inasema ni wapumbavu wale wasemao hakuna mungu ..? Wewe kama nilivyo sema hapa kuwa wakristo ni wapumbavu umejidhihilisha kuwa ni kweli maana haujui hata maana ya Tusi .(Wakristo wote ni wapumbavu)
nini hiki? kwani wote wanaamini utatu?...
Nimeshaeleza kwenye post. Unauliza nini tena??Utatu mtakatifu kwa elimu ya kabila lako imekaaje?