Asante sana kwa mchango wako. Nawaalika mapadri na theologians wakatoliki hasa na wa madhehebu yenye kushikilia teolojia hiyo ya "three distinct beings but are yet one ". Asante sana kwa mchango wako.NENO NAFSI 3 NI UPOTOSHAJI ..Mtu akisha sema Mungu mmoja ila ana nafsi 3 huyo ni mpumbavu moja kwa moja ...tena inaelekea hajui hata maana ya NAFSI...hila mtu akisema kuna >MUNGU NAFSI MOJA KATIKA HALI 3 HUYO YUPO SAHIHI .......Neno Mungu mmoja maana yake ni nafsi moja. Uwezi kusema Mungu mmoja kisha nafsi ni zaudi ya moja ...hata kisa cha mtu mwenye pepo wachafu kinaonyesha tofauti ya umoja na wingi wa nafsi ...yule mtu alikuwa ni mmoja ila alikuwa na nafsi zaidi ya moja hivyo alijitambulisha kama JESHI yaani WENGI....WAKRISTO NI WAPUMBAVU SANA
Ndio nawasubiri hapa mapdri wenye licentiate in theologyMrudie upya kueleweshana kwa maneno sahihi.Mtafika pazuri.
Mimi nimeungana na padri wa Radio Amani kwa sababu ndio msinamo wangu. Labda kama hukusoma vizuri post yangu ya mwanzo.Ulichokisema wewe ni uzushi wa kale unaoitwa Modalism, na Kanisa lishaufuta karne nyingi zilizopita! Kwenye teolojia kuna kitu kinaitwa immanent trinity yani Mungu jinsi alivyo ndani yake tangu milele na economic trinity yani Mungu jinsi anavyojifunua kwetu katika historia ya wokovu.
Ukifuatilia kwa juu juu bila kujua hayo matabaka mawili, utahisi kweli Padre anapingana na Maaskofu. Kumbe yeye anamzungumzia Mungu katika asili yake ya ndani, wewe unakomalia jinsi anavyofanya kazi halafu unaona haya mambo yote yako sawa. Go deeper utaelewa zaidi.
Johnson Lwiva 😅😅unapata tabu sana kijàna.NENO NAFSI 3 NI UPOTOSHAJI ..Mtu akisha sema Mungu mmoja ila ana nafsi 3 huyo ni mpumbavu moja kwa moja ...tena inaelekea hajui hata maana ya NAFSI...hila mtu akisema kuna >MUNGU NAFSI MOJA KATIKA HALI 3 HUYO YUPO SAHIHI .......Neno Mungu mmoja maana yake ni nafsi moja. Uwezi kusema Mungu mmoja kisha nafsi ni zaudi ya moja ...hata kisa cha mtu mwenye pepo wachafu kinaonyesha tofauti ya umoja na wingi wa nafsi ...yule mtu alikuwa ni mmoja ila alikuwa na nafsi zaidi ya moja hivyo alijitambulisha kama JESHI yaani WENGI....WAKRISTO NI WAPUMBAVU SANA
Kijana rudi kasome theolojia na lugha na utamaduni.Unashindwa kuelewa kwasababu unatumia akili yako mwenyewe kuelewa lakini kama ukitumia Roho mtakatifu utaelewa haraka. Chukua biblia soma mwenyewe utaelewa vizuri. Mfano hapo umesema Baba alifanya uumbaji tayari kuna taarifa una miss yote hii ni kwasababu unatoa maana zako za kusoma vitini badala ya kusoma biblia. Lakini ukisoma biblia mwenyewe utaelewa
Mungu Baba ni muumbaji
Mungu Mwana (Yesu) ni muumbaji
Roho Mtakatifu ni muumbaji
Wote ni wamoja wote ni waumbaji
Biblia inasema:
Mwanzo 1: Nayo nchi ilikuwa tupu, tena bila umbo, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji
Mwanzo 1:26
Kisha Mungu akasema, “Tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu;
Yohana 1:
Hapo mwanzo, kabla ya kuwapo kitu kingine cho chote, aliku wapo Neno. Huyo Neno alikuwa pamoja na Mungu, naye alikuwa Mungu. 2 Tangu mwanzo Neno amekuwa na Mungu. 3 Vitu vyote viliumbwa na yeye, wala hakuna cho chote kilichoumbwa ambacho hakukiumba. 4 Uzima ulikuwa ndani yake na uzima huo ndio ulikuwa nuru ya watu. 5 Nuru hiyo huangaza gizani na giza haliwezi kamwe kuizima.
6 Mtu mmoja aitwaye Yohana alitumwa na Mungu 7 awaambie watu kuhusu hiyo nuru, ili kwa ushuhuda wake wapate kuamini. 8 Yohana mwenyewe hakuwa ile nuru. Yeye alitumwa kuishuhudia hiyo nuru. 9 Nuru halisi ambayo inawaangazia watu wote ilikuwa inakuja ulim wenguni.
Isaya 9:6, neno la Mungu linasema; "Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto wa kiume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa Ajabu, Mungu Mwenye Nguvu, Baba wa Milele, Mfalme wa Amani."
Yohana 8:
52 Basi, Wayahudi wakasema, “Sasa tunajua kweli kwamba wewe una pepo! Abrahamu alikufa, na manabii pia walikufa, nawe wasema ati, ‘Anayeuzingatia ujumbe wangu hatakufa milele!’
53 Je, unajifanya mkuu kuliko baba yetu Abrahamu ambaye alikufa? Hata na manabii walikufa. Wewe unajifanya kuwa nani?”
54 Yesu akawajibu, “Nikijitukuza mwenyewe, utukufu wangu si kitu. Baba yangu ambaye nyinyi mwasema ni Baba yenu, ndiye anayenitukuza.
55 Nyinyi hamjapata kumjua, lakini mimi namjua. Na, nikisema simjui, nitakuwa mwongo kama nyinyi. Mimi namjua na ninashika neno lake.
56 Abrahamu, baba yenu, alishangilia aione siku yangu; naye aliiona, akafurahi.”
57 Basi, Wayahudi wakamwambia, “Wewe hujatimiza miaka hamsini bado, nawe umemwona Abrahamu?”
58 Yesu akawaambia, “Kweli nawaambieni, kabla Abrahamu hajazaliwa, mimi niko.”
Yohana 14:16-18 Nami nitamwomba Baba naye atawapeni Msaidizi mwingine, atakayekaa nanyi milele. Yeye ni Roho wa ukweli.
Sina jina la kizungu wala la kiarabu kwenye majina yanguJohnson Lwiva 😅😅unapata tabu sana kijàna.
😅😅😅kijana wa paulo unapata tabu sana.Sina jina la kizungu wala la kiarabu kwenye majina yangu
Biblia ndio msingi wa imani yetu ndugu. Weka bidii kusoma biblia.Kijana rudi kasome theolojia na lugha na utamaduni.
Tatizo sio biblia ,je wewe unaielewaje biblia? Soma hii mistariBiblia ndio msingi wa imani yetu ndugu. Weka bidii kusoma biblia.
Mudi boy anasema waislamu washindane kutenda mema🙄! Hii kauli ni tata hakuna mtume wa kweli anaye sema hivi..😅😅😅kijana wa paulo unapata tabu sana.
Johnson Lwiva ,kijana wa paulo unapata tabu sana ..Mara ujifanye atheists kwa vile hauna cha kumtetea paulo 😅😅unajulikana kijana wa pauloMudi boy anasema waislamu washindane kutenda mema🙄! Hii kauli ni tata hakuna mtume wa kweli anaye sema hivi..
Hiyo hoja ya watu kutaka kulifahamu fumbo la Utatu mtakatifu (Holy Trinity) imekuwako tangia zamani sana za Mwana-teolojia nguli Mkatoliki aliyeitwa Thomas Aquinas (1225- 7 Mar. 1274)mtawa na padre. Hadi leo hii, hao wanafalsafa na wanatheolojia wote wanafumble tu hakuna aliyeweza kutoa maelezo yenye mashiko. Na sidhani kama itakuja atokee atakayeweza. Ni bora wasomi hao watumie muda wao vizuri kwa kutafuta mafundisho ya Kikatekezi kwa kondoo wao(Waumini) na kutafuta Fedha kwa kubuni vyanzo endelevu vya mapato kwa ajili ya Miradi ya kanisa badala ya kuchangisha waumini(Kondoo).NENO NAFSI 3 NI UPOTOSHAJI ..Mtu akisha sema Mungu mmoja ila ana nafsi 3 huyo ni mpumbavu moja kwa moja ...tena inaelekea hajui hata maana ya NAFSI...hila mtu akisema kuna >MUNGU NAFSI MOJA KATIKA HALI 3 HUYO YUPO SAHIHI .......Neno Mungu mmoja maana yake ni nafsi moja. Uwezi kusema Mungu mmoja kisha nafsi ni zaudi ya moja ...hata kisa cha mtu mwenye pepo wachafu kinaonyesha tofauti ya umoja na wingi wa nafsi ...yule mtu alikuwa ni mmoja ila alikuwa na nafsi zaidi ya moja hivyo alijitambulisha kama JESHI yaani WENGI....WAKRISTO NI WAPUMBAVU SANA
Mimi hapa ninaweza na nilisha toa hadi waislamu wamekimbia JF nayajua mafumbo yote ndani ya bibliaHiyo hoja ya watu kutaka kulifahamu fumbo la Utatu mtakatifu (Holy Trinity) imekuwako tangia zamani sana za Mwana-teolojia nguli Mkatoliki aliyeitwa Thomas Aquinas (1225- 7 Mar. 1274)mtawa na padre. Hadi leo hii, hao wanafalsafa na wanatheolojia wote wanafumble tu hakuna aliyeweza kutoa maelezo yenye mashiko. Na sidhani kama itakuja atokee atakayeweza. Ni bora wasomi hao watumie muda wao vizuri kwa kutafuta mafundisho ya Kikatekezi kwa kondoo wao(Waumini) na kutafuta Fedha kwa kubuni vyanzo endelevu vya mapato kwa ajili ya Miradi ya kanisa badala ya kuchangisha waumini(Kondoo).
Waachane na kutaka kujua eti Utatu Mtakatifu unafafanuliwaje. Ni wastage of time.
Mkuu; Uliwezaje?Mimi hapa ninaweza na nilisha toa hadi waislamu wamekimbia JF nayajua mafumbo yote ndani ya biblia
Pumbavu mama yako aliezaa kiazi.Tusi lipo wapi au hukusoma biblia kuwa ni wapumbavu wale wasemao hakuna Mungu ? Hoja ya Mungu kuwa na nafsi Tatu wenzako walikimbia hapa JF. Kuna swali moja tu ukimuuliza yoyote anaye sema Mungu ana nafsi 3 lazima akimbie hoja na kujikili kuwa ni mpumbavu ...hata wewe nikikuuliza ilo swali ..utatabua kuwa wewe ni mpumbavu na kanisa lako walio kufundisha hivyo ni wapumbavu ...
Aaah! Wewe aulisema habari ya tusi. Mbona wewe ndo umestoa tusi kwa kumtukania mama yake sasa?Pumbavu mama yako aliezaa kiazi.
Kabla ya maneno ya kashfa(MPUMBAVU, WAPUMBAVU), unge-halalisha unachoamini kuhusu NAFSI kuwa ni maana Universal kwa ushahidi kisha ndo uendele na UPUMBAVU wowote ule uliokusudia kuuweka bayana, ingekaa vizuri sana!NENO NAFSI 3 NI UPOTOSHAJI ..Mtu akisha sema Mungu mmoja ila ana nafsi 3 huyo ni mpumbavu moja kwa moja ...tena inaelekea hajui hata maana ya NAFSI...hila mtu akisema kuna >MUNGU NAFSI MOJA KATIKA HALI 3 HUYO YUPO SAHIHI .......Neno Mungu mmoja maana yake ni nafsi moja. Uwezi kusema Mungu mmoja kisha nafsi ni zaidi ya moja ...hata kisa cha mtu mwenye pepo wachafu kinaonyesha tofauti ya umoja na wingi wa nafsi ...yule mtu alikuwa ni mmoja ila alikuwa na nafsi zaidi ya moja hivyo alijitambulisha kama JESHI yaani WENGI....WAKRISTO NI WAPUMBAVU SANA
Kwamba wale ambao hawajawahi kufanya tendo?Wewe ni sister?