kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Mafao ,umeona anawajukuu au mitoto ,akipewa mafao ni ulafi huoMafao ya kujikimu wajikimu nini sasa..
Kwanza wao hua hawastaafu Kama watumishi wa uma,wakifikia umri wa uzee huendelea kutunzwa kwenye nyumba za mapadre mpaka mwisho wa maisha yao.