Mapambano Bakhmut yanaendelea, licha ya Wagner kutafuta pakutokea kwa kujitangazia ushindi

Bakhmut sio jina la waarabu, ni mji wa Ukraine na sasa Warusi mnaowategemea wanapokea kichapo baada ya kujaribu kuuteka.
Mzee Bakhmut wale wagner wametangaza kuuchukua mji wote, wewe tuambie hawaja chukua nyie mnamiliki nini pale?
 
Mpambano unaendelea sehemu gani pale backmut?kwanini hamkubali kuwa mmepoteza hilo eneo.
 
Mpambano unaendelea sehemu gani pale backmut?kwanini hamkubali kuwa mmepoteza hilo eneo.

Bakhmut sio jina la kiarabau austadhi...ni Ukraine na Warusi wanauawa kweli kweli
 
Bakhmut sio jina la kiarabau austadhi...ni Ukraine na Warusi wanauawa kweli kweli
Backmut ya wapi kama ni hiyo ya Ukraine hakuna vita na ni ya mali ya urusi alafu usiongee bila kuweka vielelezo.
 
Backmut ya wapi kama ni hiyo ya Ukraine hakuna vita na ni ya mali ya urusi alafu usiongee bila kuweka vielelezo.

Bakhmut ya Ukraine sio uarabuni, mtume wenu Putin kawaingiza mkenge.
 
Weka evidence sehemu gani ya bakhmut kuna vita?kama huna nyamaza utajiaibisha.

Hehehe yaani lizee la Wagner linawatesa sana maana limejitorokea mumeachwa kutetea uwoga wake.
 
Shida yako huna maelezo ya kutosha Bakhmut umeshindwa kutuambia una miliki kitu gani umeamia Belgorod , mzee jadili kimoja baada kingine hiyo ndio adabu ya mijadala

Bakhmut ni mji wa Ukraine ambao umeshindikana kutekwa, na lizee lenu limetoroka.
Sasa vita vimeanza kuingia Urusi takbirr
 
Bakhmut ni mji wa Ukraine ambao umeshindikana kutekwa, na lizee lenu limetoroka.
Sasa vita vimeanza kuingia Urusi takbirr
Tumeshateka mji, wewe tuambie unamiliki nini Bakhmut ili Wagner wawe waongo?
 
Shida yako huna maelezo ya kutosha Bakhmut umeshindwa kutuambia una miliki kitu gani umeamia Belgorod , mzee jadili kimoja baada kingine hiyo ndio adabu ya mijadala
Kwa akili yako mpk leo hujiuliz wapo wap hao chen chen mliwapamba wapo wapi warusi walioingia na maparachuti yupo wapi yule mjeda wenu mlisema ndo alikuwa kiboko kule syria , leo tunaona wagner pia wanatoka , ila vichaa hawajiongez kujua kuwa hali ni mbaya kwa Urusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…