Zeus1
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 7,152
- 9,206
Duuuh!!Mnafanya kosa na ujinga uliokubuhu kuficha haya maradhi, kazi kuchekelea Kenya wakati kwenu ni mwendo wa ujinga tu, kule Ulaya hata waziri mkuu amejitaja ili jamii ipambane yote kwa pamoja. Huko kwenu mna mazoea mabaya sana kwa kweli na mtakuja kutuponza ukanda huu, bora mfungiwe mipaka na wote. Ona sasa Watanzania wameanza kuwaumbua kwa kutupia mapicha mitandaoni, fuata huu uzi
Je, ni kweli kuna Waziri anaugua Corona inafanywa Siri? Tunaficha nini? Hala hala kisa cha mficha maradhi! Truth & Transparency the only way out! - JamiiForums
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app