Mapambano ya Corona Kenya na Uganda ni hatari sana kwa maambukizi ya Corona

LOL Hakuna huo uwendawazimu

Na uamuzi wa ku disclose health information za mtu ni personal preference, Hakuna kwenye work conducts kumeandikwa kwamba lazima afanye public faragha zake za kiafya

Please you should grow up, mbona ni vitu petty sana? 😞
Hilo lipumbavu ni kubwa jinga kiwango cha zile mikebe yao ya changaa.
 
Hivi huwa unafikiria kabla ya kuandika?
Kafichwa kivipi?
Ulitaka aite press conference?
Ndio shida ya kutumia kichwa kama garden ya nywele.
Hahaha Imebidi nicheke tu
HuHuyo jamaa ni Moja ya wapuuzi fulani mwenye chuki na Ujuaji mwingi kumbe Bonge la Zero
Yaani Analazimisha Ujinga Uhalalishwe
Umeambiwa Tanzania Inawagonjwa 14
Unawajua wote Majina yao
Ana ushahidi gani kama Wale 38 Kenya wote wapo Nyumba moja Huko kwao!!
Au wametajwa majina!
 
Ni mjinga halafu anataka aonekane mjanja kwa kuandika insha zisizo na kichwa wala mkia!
Ndio shida ya kukesha kwenye jukwaa la siasa 😂😂😂
 
Ligi hadi Kwa VIRUSES,
hawa watu weusi sijui ni shetani mgani huwa anawakula hadi Kwa vitu haziitaji competition.
Africa will remain poor forever with this 1750s mentality.
 
Hehehe!! Naona mtakua mumepewa maagizo Lumumba jinsi ya kutwist hii na kuiweka ikae kama kwamba issue ni kujitanganza tu, hebu peleka huu upupu wako kwenye huo uzi mlikoumbuliwa uone utakavyotolewa nduki.
Of course haikua lazima ajitangaze, ila hilo la nyie kumficha maeneo yasiyo rasmi kwa Corona mpaka baada ya kuumbuka ndio mnampeleka kasi kwenda kwenye hospitali maalum ya Corona, hapo tayari mumewaponza watu wengi, na ndio nashangaa ni wanagapi wengine mumewaficha kihivyo.
Uzuri Tanzania hatukurupuki

Bado ninyi hamjajuaga tu tabia yetu, Tanzania haikurupuki wala haifuati mkumbo

Kwenye hili suala la Corona hatuna haja ya kutengeneza hype yoyote kwenye jamii kama ninyi nyote mnavyofanya sababu tunajua madhara yake.

Na ndio maana tumefanikiwa pakubwa mpaka sasa

Facilities za kuwahudumia wagonjwa sio tatizo kuanzia Zanzibar mpaka Bara, tupo vizuri
 
Ndio maana Africa is still a stinking continent,
Fuatilia developed countries wote,hakuna ujinga kawa hizi,
Admin mwenyewe anaapprove upuzi kama hizi
Wake up black stupid people.
 
Uzuri Tanzania hatukurupuki

Bado ninyi hamjajuaga tu tabia yetu, Tanzania haikurupuki wala haifuati mkumbo

Kwenye hili suala la Corona hatuna haja ya kutengeneza hype yoyote kwenye jamii kama ninyi nyote mnavyofanya sababu tunajua madhara yake.

Na ndio maana tumefanikiwa pakubwa mpaka sasa

Facilities za kuwahudumia wagonjwa sio tatizo kuanzia Zanzibar mpaka Bara, tupo vizuri

Kama facilities zipo mbona mumfiche eneo lisilo halafu mnamkimbiza baada ya kuumbuka.
Juzi waziri wenu alisema Tanzania yote mna maabara moja tu yenye uwezo wa kupima corona, sasa mkinza kuficha mara huyu huku yule kule itakua hatari sana.
 
tunazo ready isolated facilities wala sio moja

Wote 38 hakuna aliyefichwa eneo tofauti kisa hadhi yake, tunaye hadi kiongozi aliyechukuliwa kwa ulazima na mapolisi, kwetu tunamaanisha, hatuna hayo mazoea ya hovyoo.
Tatizo lako kila siku unachezea kichapo kutoka kwa polisi akili lazima ikuruke huko

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama facilities zipo mbona mumfiche eneo lisilo halafu mnamkimbiza baada ya kuumbuka.
Juzi waziri wenu alisema Tanzania yote mna maabara moja tu yenye uwezo wa kupima corona, sasa mkinza kuficha mara huyu huku yule kule itakua hatari sana.
Linapokuja suala la afya Tanzania usituchukulie poa, tupo vizuri toka kitambo
 
Kama facilities zipo mbona mumfiche eneo lisilo halafu mnamkimbiza baada ya kuumbuka.
Juzi waziri wenu alisema Tanzania yote mna maabara moja tu yenye uwezo wa kupima corona, sasa mkinza kuficha mara huyu huku yule kule itakua hatari sana.
kauli rasmi kutoka kwa waziri mwenye dhamana.

Zipo facilities za kutosha na mpaka saivi nyingi zipo empty.
 
tunazo ready isolated facilities wala sio moja

Hapo ni kwa kulaza wagonjwa wa Corona sio maabara, facilities zipo nyingi katika kila taifa, juzi waziri wenu alikiri kwenye video maabara mna moja tu nchi yote.
Kwetu maabara zipo kadhaa na kuanzia kesho tunafanya mass-testing, tegemeeni namba zetu za waathirika kupandsha kwa kasi maana kwa mataifa yenye uwezo wa kupima watu wengi ndio kunakua na many reported cases. Marekani leo ndiye anaongoza dunia kwa number of conducted tests na pia ndiye anaongoza kwa number of reported cases maana anaongoza kwenye utaalama wa kufanya tests.
 
Hatubishani kaka! Lakn nchi zetu ni dhaifu kwa majanga
 
Hapo ni kwa kulaza wagonjwa wa Corona sio maabara, facilities zipo nyingi katika kila taifa, juzi waziri wenu alikiri kwenye video maabara mna moja tu nchi yote.
Kwetu maabara zipo kadhaa na kuanzia kesho tunafanya mass-testing, tegemeeni namba zetu za waathirika kupandsha kwa kasi maana kwa mataifa yenye uwezo wa kupima watu wengi ndio kunakua na many reported cases. Marekani leo ndiye anaongoza dunia kwa number of conducted tests na pia ndiye anaongoza kwa number of reported cases maana anaongoza kwenye utaalama wa kufanya tests.
Kwani mgonjwa anatumia muda mwingi kwenye vipimo au kwenye kuuguzwa?

Vipimo tulivyo navyo ni vya kisasa so testing sio issue, maabara moja ina uwezo wa kupima mamia ya vipimo ndani ya muda mfupi so kwanini tuwe nazo nyingi?

Tunachohitaji ni rapid logistics za kuchukua samples tu kuzipeleka maabara basi, ukiniuliza mimi kipi kinahitajika kwa wiingi ni equipped isolated areas na sio wingi wa maabara, uzuri ugonjwa wenyewe hata haupo complex kugundulika.
 
Ligi hadi Kwa VIRUSES,
hawa watu weusi sijui ni shetani mgani huwa anawakula hadi Kwa vitu haziitaji competition.
Africa will remain poor forever with this 1750s mentality.
Dah... Mkuu...huu ni utani tu...usiuchukulie seriously... Tz na Ke ni mashemeji [emoji2][emoji2]

Sent using Beretta ARX160
 
Kwani mgonjwa anatumia muda mwingi kwenye vipimo au kwenye kuuguzwa?

Vipimo tulivyo navyo ni vya kisasa so testing sio issue, maabara moja ina uwezo wa kupima mamia ya vipimo ndani ya muda mfupi so kwanini tuwe nazo nyingi?

Tunachohitaji ni rapid logistics za kuchukua samples tu kuzipeleka maabara basi, ukiniuliza mimi kipi kinahitajika kwa wiingi ni equipped isolated areas na sio wingi wa maabara, uzuri ugonjwa wenyewe hata haupo complex kugundulika.

Uwezo wa kupima ndio muhimu zaidi ya vyote maana facilities za wagonjwa kuwa quarantined hata manyumbani wataishi tu, unless kama wanaumwa sana, Kenya hapa mamia ya mahoteli yamekuwa equipped na kuwa facilities za karantini na tayari serikali imetoa full list ya mamia ya maeneo ya kwenda kuwa quarantined, hivyo hilo sio tatizo.

Tatizo lipo kwenye backlog ya kupima, maana wengi wa wanaoambukiza kule Ulaya ni wale hata hawaonyeshi dalili zozote, au ambao wanaumwa ila dalili walizo nazo haziendani na zinazotegemewa za Corona, yaani mpaka mtu anakuja kufahamika anaumwa Corona, keshaambukiza watu wengi.
Korea Kusini ilihakikisha imefanya mass testing iwe unaumwa au la na kwa hali hiyo wamefaulu pakubwa kudhibiti. Marekani sasa hivi wanafanya tests za malaki ya watu, ndio wanaongoza duniani kwa idadi ya recorded tests, hiyo inasaidia kuwabaini watu wanaoumwa Corona na ambao bado wamo ndani ya jamii.
Wewe hapo ukihisi dalili zozote, mpaka sample yako sijui itumwe Dar kisha iwekwe miongoni mwa zinazosubiri kufanyiwa test.
 
Back
Top Bottom