rais wako
JF-Expert Member
- Jul 18, 2015
- 605
- 513
Majibu yote utayapata kwenye huo uzi wa Pascal walikoumbua huo mchezo.
ungekua unajua ata kidogo kuhus taaluma ya utabibu usingeongea kwamba kwann mnaficha wagonjwa, ingekua unawajua watu wote 14 wanaoumwa corona Tz kwa majina alaff utafte jina la huyo waziri ukose ndo ungekua na haki ya kutoa lawama zako,
in medicine kuna 7 ethical pronciples kwa uchache tuu kuna
1.patient autonomy
2.patient privace
3.confidentiality
4.beneficience
5. Non malficience
hizo ni kwa ufupi,
hupaswi kudisclose to the public info za mgonjwa labda kwa ruhusa yake na pia mgonjwa anahaki ya kutibia au kutotobiwa akikataa hupaswi kumlazimisha ila kumwelimisha sema kwa kua corona watu manichukulia kama kisiasa ndo maana mnasumbuka
Sent using Jamii Forums mobile app