Duuuh!!Mnafanya kosa na ujinga uliokubuhu kuficha haya maradhi, kazi kuchekelea Kenya wakati kwenu ni mwendo wa ujinga tu, kule Ulaya hata waziri mkuu amejitaja ili jamii ipambane yote kwa pamoja. Huko kwenu mna mazoea mabaya sana kwa kweli na mtakuja kutuponza ukanda huu, bora mfungiwe mipaka na wote. Ona sasa Watanzania wameanza kuwaumbua kwa kutupia mapicha mitandaoni, fuata huu uzi
Je, ni kweli kuna Waziri anaugua Corona inafanywa Siri? Tunaficha nini? Hala hala kisa cha mficha maradhi! Truth & Transparency the only way out! - JamiiForums
Mnafanya kosa na ujinga uliokubuhu kuficha haya maradhi, kazi kuchekelea Kenya wakati kwenu ni mwendo wa ujinga tu, kule Ulaya hata waziri mkuu amejitaja ili jamii ipambane yote kwa pamoja. Huko kwenu mna mazoea mabaya sana kwa kweli na mtakuja kutuponza ukanda huu, bora mfungiwe mipaka na wote. Ona sasa Watanzania wameanza kuwaumbua kwa kutupia mapicha mitandaoni, fuata huu uzi
Je, ni kweli kuna Waziri anaugua Corona inafanywa Siri? Tunaficha nini? Hala hala kisa cha mficha maradhi! Truth & Transparency the only way out! - JamiiForums
Mazoea wapi, ni kuna mgonjwa mkaidi na mamlaka hazijui. That's that, ila unavojikuta perfectionist, wakati Kenya Kuna yule nani sijui nae aligoma kupimwa ameambukiza watu, ila nobody said mnaficha, tena nyinyi ndio mnaficha, juzi citizen tv wakamhoji mwana fa hospitalini Tz, wakamhoji tena mgonjwa mkenya yupo US.
Wananchi wenu wanacomment kulikoni mnaficha wagonjwa wenu kuhojiwa.
Ila ulivyo wa ajabu eti unatumia huo Uzi kama bakora.
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana nao hao, walitaka kuona kati yao na sisi ni nani wapo vizuri katika kudhibiti maambukizi, jibu wameshalipata, sasa wamebaki kupiga domo mitandaoni, hawana lolote hao zaidi ya domo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mbona mnaumbuka kihivyo, mna mazoea mabaya sana.
Usisahau tayari wawili wameshaondoka, na mmoja anahesabu masaa.Mimi nachojua mpaka Jana Kenya ina 38 ila cjaona sehem walipoandika majina ya hao 38 je vipi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wote 38 hakuna aliyefichwa eneo tofauti kisa hadhi yake, tunaye hadi kiongozi aliyechukuliwa kwa ulazima na mapolisi, kwetu tunamaanisha, hatuna hayo mazoea ya hovyoo.Mimi nachojua mpaka Jana Kenya ina 38 ila cjaona sehem walipoandika majina ya hao 38 je vipi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani huyo anaemfichaWetu alikua kiongozi kajificha ndani, polisi walimtoa kwa nguvu na kumpeleka karantini waliko wengine, ila huyo wenu waziri mzima mnamficha hospitali isiyo maalum kwa Corona kisa hadhi yake hapaswi kuwa miongoni mwa wengine, mpaka Pascal amejitoa mhanga kiuzalendo akamuumbua, mkamhamisha kwa kasi kumpeleka karantini.
Majibu yote utayapata kwenye huo uzi wa Pascal walikoumbua huo mchezo.
LOL this is nonsenseMnafanya kosa na ujinga uliokubuhu kuficha haya maradhi, kazi kuchekelea Kenya wakati kwenu ni mwendo wa ujinga tu, kule Ulaya hata waziri mkuu amejitaja ili jamii ipambane yote kwa pamoja. Huko kwenu mna mazoea mabaya sana kwa kweli na mtakuja kutuponza ukanda huu, bora mfungiwe mipaka na wote. Ona sasa Watanzania wameanza kuwaumbua kwa kutupia mapicha mitandaoni, fuata huu uzi
Je, ni kweli kuna Waziri anaugua Corona inafanywa Siri? Tunaficha nini? Hala hala kisa cha mficha maradhi! Truth & Transparency the only way out! - JamiiForums
Wameshajua kwamba hata huku kwenye Corona tumewashinda vibaya, lazima watafute vijisababu vya kujiliwaza.LOL this is nonsense
Hivi Kuna chochote cha maana ulichoandika hapo ukirudia kusoma kwa utulivu?
OK ondoa hicho cheo cha uwaziri kwa huyo mtu, then ana tofauti gani na victim yeyote wa Corona?
So kosa lake ni kutofanya kama PM wa UK? Imeandikwa kwenye katiba au health guidelines yoyote kwamba ni lazima kufanya hivyo?
Rubbish argument indeed.
Kosa ni nyie kumficha kisa waziri eti hapaswi kuwa miongoni mwa wengine, na kuifanya siri, hapo mlikua mnamtibia kwenye hospitali isiyo rasmi kwa karantini za corona na kuwaambukiza wengine, ni wangapi kwingine mnafanya hivyo yaani hadi mpaka mkiumbuka ndio mnakimbiza kwa ambulance.LOL this is nonsense
Hivi Kuna chochote cha maana ulichoandika hapo ukirudia kusoma kwa utulivu?
OK ondoa hicho cheo cha uwaziri kwa huyo mtu, then ana tofauti gani na victim yeyote wa Corona?
So kosa lake ni kutofanya kama PM wa UK? Imeandikwa kwenye katiba au health guidelines yoyote kwamba ni lazima kufanya hivyo?
Rubbish argument indeed.
Ujue wakati mwingine jeuri nayo inasaidia sanaNdio maana imesemwa mahali humu kuwa rais Magufuli ni shujaa.
Kwa hili la corona Magufuli anaenda kuonekana shujaa - JamiiForums
P
Wivu, hasira na chuki, hizo ndio sifa za wakikuyu, na ukatili.Huyu jamaa ni zero kubwa
Hata sijamuelewa kabisa
Anaharisha kwa akili, eti kosa la huyo mgonjwa mwenye cheo cha uwaziri ni kutojitangaza kama waziri wa uingereza! πππππWameshajua kwamba hata huku kwenye Corona tumewashinda vibaya, lazima watafute vijisababu vya kujiliwaza.
Sent using Jamii Forums mobile app
LOL wapuuzi wa kubwa, nimefanya utafiti video contents za Tanzania kuhusu Corona ndio zina trend Kenya kwa hiyo watushukuru kwa kuwapa elimu ya kujikinga hawa mafala.
Hivi huwa unafikiria kabla ya kuandika?Kosa ni nyie kumficha kisa waziri eti hapaswi kuwa miongoni mwa wengine, na kuifanya siri, hapo mlikua mnamtibia kwenye hospitali isiyo rasmi kwa karantini za corona na kuwaambukiza wengine, ni wangapi kwingine mnafanya hivyo yaani hadi mpaka mkiumbuka ndio mnakimbiza kwa ambulance.
LOL Hakuna huo uwendawazimuKosa ni nyie kumficha kisa waziri eti hapaswi kuwa miongoni mwa wengine, na kuifanya siri, hapo mlikua mnamtibia kwenye hospitali isiyo rasmi kwa karantini za corona na kuwaambukiza wengine, ni wangapi kwingine mnafanya hivyo yaani hadi mpaka mkiumbuka ndio mnakimbiza kwa ambulance.
LOL Hakuna huo uwendawazimu
Na uamuzi wa ku disclose health information za mtu ni personal preference, Hakuna kwenye work conducts kumeandikwa kwamba lazima afanye public faragha zake za kiafya
Please you should grow up, mbona ni vitu petty sana? π