babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Hilo lipumbavu ni kubwa jinga kiwango cha zile mikebe yao ya changaa.LOL Hakuna huo uwendawazimu
Na uamuzi wa ku disclose health information za mtu ni personal preference, Hakuna kwenye work conducts kumeandikwa kwamba lazima afanye public faragha zake za kiafya
Please you should grow up, mbona ni vitu petty sana? 😞
Hahaha Imebidi nicheke tuHivi huwa unafikiria kabla ya kuandika?
Kafichwa kivipi?
Ulitaka aite press conference?
Ndio shida ya kutumia kichwa kama garden ya nywele.
Jamaa Lina wivu sanaHilo lipumbavu ni kubwa jinga kiwango cha zile mikebe yao ya changaa.
Ni mjinga halafu anataka aonekane mjanja kwa kuandika insha zisizo na kichwa wala mkia!Hahaha Imebidi nicheke tu
HuHuyo jamaa ni Moja ya wapuuzi fulani mwenye chuki na Ujuaji mwingi kumbe Bonge la Zero
Yaani Analazimisha Ujinga Uhalalishwe
Umeambiwa Tanzania Inawagonjwa 14
Unawajua wote Majina yao
Ana ushahidi gani kama Wale 38 Kenya wote wapo Nyumba moja Huko kwao!!
Au wametajwa majina!
Aje augue ili list iongezeke then aite press conference ajitangaze 😂😂😂Jamaa Lina wivu sana
Uzuri Tanzania hatukurupukiHehehe!! Naona mtakua mumepewa maagizo Lumumba jinsi ya kutwist hii na kuiweka ikae kama kwamba issue ni kujitanganza tu, hebu peleka huu upupu wako kwenye huo uzi mlikoumbuliwa uone utakavyotolewa nduki.
Of course haikua lazima ajitangaze, ila hilo la nyie kumficha maeneo yasiyo rasmi kwa Corona mpaka baada ya kuumbuka ndio mnampeleka kasi kwenda kwenye hospitali maalum ya Corona, hapo tayari mumewaponza watu wengi, na ndio nashangaa ni wanagapi wengine mumewaficha kihivyo.
Ligi hadi Kwa VIRUSES,
hawa watu weusi sijui ni shetani mgani huwa anawakula hadi Kwa vitu haziitaji competition.
Africa will remain poor forever with this 1750s mentality.
Uzuri Tanzania hatukurupuki
Bado ninyi hamjajuaga tu tabia yetu, Tanzania haikurupuki wala haifuati mkumbo
Kwenye hili suala la Corona hatuna haja ya kutengeneza hype yoyote kwenye jamii kama ninyi nyote mnavyofanya sababu tunajua madhara yake.
Na ndio maana tumefanikiwa pakubwa mpaka sasa
Facilities za kuwahudumia wagonjwa sio tatizo kuanzia Zanzibar mpaka Bara, tupo vizuri
tunazo ready isolated facilities wala sio mojaKama facilities zipo mbona mumfiche eneo lisilo halafu mnamkimbiza baada ya kuumbuka.
Juzi waziri wenu alisema Tanzania yote mna maabara moja tu yenye uwezo wa kupima corona, sasa mkinza kuficha mara huyu huku yule kule itakua hatari sana.
Tatizo lako kila siku unachezea kichapo kutoka kwa polisi akili lazima ikuruke hukoWote 38 hakuna aliyefichwa eneo tofauti kisa hadhi yake, tunaye hadi kiongozi aliyechukuliwa kwa ulazima na mapolisi, kwetu tunamaanisha, hatuna hayo mazoea ya hovyoo.
Linapokuja suala la afya Tanzania usituchukulie poa, tupo vizuri toka kitamboKama facilities zipo mbona mumfiche eneo lisilo halafu mnamkimbiza baada ya kuumbuka.
Juzi waziri wenu alisema Tanzania yote mna maabara moja tu yenye uwezo wa kupima corona, sasa mkinza kuficha mara huyu huku yule kule itakua hatari sana.
kauli rasmi kutoka kwa waziri mwenye dhamana.Kama facilities zipo mbona mumfiche eneo lisilo halafu mnamkimbiza baada ya kuumbuka.
Juzi waziri wenu alisema Tanzania yote mna maabara moja tu yenye uwezo wa kupima corona, sasa mkinza kuficha mara huyu huku yule kule itakua hatari sana.
tunazo ready isolated facilities wala sio moja
Hatubishani kaka! Lakn nchi zetu ni dhaifu kwa majangaHapo ni kwa kulaza wagonjwa wa Corona sio maabara, facilities zipo nyingi katika kila taifa, juzi waziri wenu alikiri kwenye video maabara mna moja tu nchi yote.
Kwetu maabara zipo kadhaa na kuanzia kesho tunafanya mass-testing, tegemeeni namba zetu za waathirika kupandsha kwa kasi maana kwa mataifa yenye uwezo wa kupima watu wengi ndio kunakua na many reported cases. Marekani leo ndiye anaongoza dunia kwa number of conducted tests na pia ndiye anaongoza kwa number of reported cases maana anaongoza kwenye utaalama wa kufanya tests.
Kwani mgonjwa anatumia muda mwingi kwenye vipimo au kwenye kuuguzwa?Hapo ni kwa kulaza wagonjwa wa Corona sio maabara, facilities zipo nyingi katika kila taifa, juzi waziri wenu alikiri kwenye video maabara mna moja tu nchi yote.
Kwetu maabara zipo kadhaa na kuanzia kesho tunafanya mass-testing, tegemeeni namba zetu za waathirika kupandsha kwa kasi maana kwa mataifa yenye uwezo wa kupima watu wengi ndio kunakua na many reported cases. Marekani leo ndiye anaongoza dunia kwa number of conducted tests na pia ndiye anaongoza kwa number of reported cases maana anaongoza kwenye utaalama wa kufanya tests.
Dah... Mkuu...huu ni utani tu...usiuchukulie seriously... Tz na Ke ni mashemeji [emoji2][emoji2]Ligi hadi Kwa VIRUSES,
hawa watu weusi sijui ni shetani mgani huwa anawakula hadi Kwa vitu haziitaji competition.
Africa will remain poor forever with this 1750s mentality.
Kwani mgonjwa anatumia muda mwingi kwenye vipimo au kwenye kuuguzwa?
Vipimo tulivyo navyo ni vya kisasa so testing sio issue, maabara moja ina uwezo wa kupima mamia ya vipimo ndani ya muda mfupi so kwanini tuwe nazo nyingi?
Tunachohitaji ni rapid logistics za kuchukua samples tu kuzipeleka maabara basi, ukiniuliza mimi kipi kinahitajika kwa wiingi ni equipped isolated areas na sio wingi wa maabara, uzuri ugonjwa wenyewe hata haupo complex kugundulika.