Mapambano ya Corona Kenya na Uganda ni hatari sana kwa maambukizi ya Corona

Majibu yote utayapata kwenye huo uzi wa Pascal walikoumbua huo mchezo.

ungekua unajua ata kidogo kuhus taaluma ya utabibu usingeongea kwamba kwann mnaficha wagonjwa, ingekua unawajua watu wote 14 wanaoumwa corona Tz kwa majina alaff utafte jina la huyo waziri ukose ndo ungekua na haki ya kutoa lawama zako,
in medicine kuna 7 ethical pronciples kwa uchache tuu kuna
1.patient autonomy
2.patient privace
3.confidentiality
4.beneficience
5. Non malficience
hizo ni kwa ufupi,
hupaswi kudisclose to the public info za mgonjwa labda kwa ruhusa yake na pia mgonjwa anahaki ya kutibia au kutotobiwa akikataa hupaswi kumlazimisha ila kumwelimisha sema kwa kua corona watu manichukulia kama kisiasa ndo maana mnasumbuka



Sent using Jamii Forums mobile app
 
LOL eti quarantine iwe hotels? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hotels are useful kama tu mtu kapimwa pale airports na kukutwa hana ndio for precautions unamdirect kwenye hotel quarantine


Sasa unataka wagonjwa kabisa waliothibitika wanayo Corona wakakae mahotelini? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


Biggest joker ever


Bado elimu inahitajika kwa kweli


Pathetic πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Reactions: Oii
Hatubishani kaka! Lakn nchi zetu ni dhaifu kwa majanga

Hilo ni kweli na hakuna mwenye ubishi nalo, na hata hapa Kenya najua tuu wadhaifu sana licha ya kuwa na maabara na facilities nyingi, kikianza kutupiga freshi lazima tutaomba poo, ni kwamba tuna bahati kirusi kimechelewa kuja Afrika, ila sasa kimeelekeza pua Afrika, namba zimeanza kupandisha kwa kasi, huu ni muda wa kuwaandaa wananchi mapema na kuwazoesha drills za lockdown,
 
Nimekupata kaka! Lakn kwa umasikini huu tutaweza kugharamiwa na serikali? Kuna watu wanafamilia kubwa sana
 

Hizi nadharia hakuna asiyezijua labda viongozi wenu akina Makonda ndio hutajana kwa majina.
Habari za huyo waziri zimeumbuliwa na nyie nye Watanzania, ndio mumesema aligoma kupelekwa eneo maalum la wagonjwa wa Corona, mkawa mnamtibu kimya kimya kwenye hospitali ya kawaida, taarifa zilipofikia kwenye mitandao ndio mumemtoa nduki kwa ambulance na kumpeleka sehemu stahiki kwa Corona.
 
halafu thoroughly testing are done for the discharge of the Corona patients, sio kila mtu tu huko mitaani unachukua sampuli yake na kuipeleka maabara

Huko mitaani zitatumika temperature gun
 
Nimekupata kaka! Lakn kwa umasikini huu tutaweza kugharamiwa na serikali? Kuna watu wanafamilia kubwa sana

Hiki kiama hata sitaki kukiweka akilini maana kitanipa presha bure, tutakufa tu mpaka tukose sehemu ya kuzika, maana maskini wanaotegemea msosi wa siku bila kujua ya kesho wako mamilioni kwenye haya mataifa. Hamna serikali yenye uwezo wa kutembea nyumba kwa nyumba ikigawa chakula.
 
Tumehimiza kutii kanuni za afya pia kumuomba Mungu....wakajibu ukaidi wa Rais magufuli
 

sasa kama ulizijua hizo nadhari kwann umeungani na hao wapuuz kulaumu kwamba kwann wanaficha wagonjwa ili hali ukijua taratibu haziruhusu kudisclose wagonjwa identity zao?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
halafu thoroughly testing are done for the discharge of the Corona patients, sio kila mtu tu huko mitaani unachukua sampuli yake na kuipeleka maabara

Huko mitaani zitatumika temperature gun
Wachana na bichwa maji za kikenya. Kila mgonjwa ana haki yake kujitangaza au kukaa kimya na kutafuta matibabu. Shobo za mitandaoni ndizo wanatafuta, wa china walinyamaza miezi miwili baada ya mkurupuko na sasa wamefanya kazi kimya kimya hadi ugonjwa umedhibitiwa..Ukilinganisha na nchi za ulaya - miungu ya wakenya, wanaongea sana eti kiongozi fulani, waziri fulani nkt wamepata korona lakini kwa vitendo vya kudhibiti ni zero.
 
Kenya inaipumulia shingoni Rwanda kwa idadi ya maambukizi. Rwanda bado inaongoza, lakini kwa kasi ya Kenya na Uganda ilivyo juu, ndani ya wiki moja hizi nchi zitaongoza, kulikoni?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kutoka zamani Tanzania sio nchi ya wageni kuingia na kutoka kama kibanda cha wamachinga..Juzi wakenya walikuwa wanalia eti Magufuli amewachomea vifaranga vilivyo shukiwa kuwa na magonjwa, leo wanaona umuhimu wa Hatua za JPM
 
sasa kama ulizijua hizo nadhari kwann umeungani na hao wapuuz kulaumu kwamba kwann wanaficha wagonjwa ili hali ukijua taratibu haziruhusu kudisclose wagonjwa identity zao?


Sent using Jamii Forums mobile app

Wacha kupindisha au unajitoa ufahamu ilmradi uonekane umetetea ujinga unaofanywa na huyo waziri na wasaidizi wake na wanaomzunguka.
Hakuna mtu mwenye haja hata ya kujua majina ya waathirika, hata huyo waziri hapakua na yeyote mwenye haja ya kumfahamu kwamba anaumwa Corona, cha msingi ilipaswa protocols za hii pandemic zifuatwe basi. Huko Mnazi moja mnakosemekana mlikua mumemficha sio mojawapo wa gazetted Corona facilities, ni baada ya makelele ndio mumemtoa kimasomaso na kumpeleka sehemu stahiki, nenda kwenye uzi wanakomjadili utajifunza kitu badala ya kung'ang'ania kutetea hapa na nadharia za doctor-patient blah blah confidentiality.
 
Kenya 42 with 2 deaths, hili ndio suala la kupewa kipaumbele kwasasa, badala ya kushupaza misuli ktk jambo ambalo lipo chini ya madaktari, au hili nalo mumeshalizoea kama mlivyozoea suala la ukabila na rushwa kwahiyo tusiwaulize?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
LOL na wengi walipata kwenye Ile quarantine ya likoni baada ya kupatiwa mkong'oto wa mbwa mwizi kutoka huduma ya police Kenya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


Halafu yanakuja hapa kutufundisha protocols nye nye nye
 
LOL na wengi walipata kwenye Ile quarantine ya likoni baada ya kupatiwa mkong'oto wa mbwa mwizi kutoka huduma ya police Kenya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Halafu yanakuja hapa kutufundisha protocols nye nye nye
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…