Sio vizuri.ni tofauti kabisa na "ndugu zetu wa upande wa pili"
Maendeleo ya hii taasisi yapo wazi. Na sasa linajengwa kanisa la kimataifa huko Gezaulole. Na nguvu ni zao pekee. Huku wakiwa na taasisi zao za Elimu anzia awali mpaka chuo kikuu, mahospital n.k. Hivyo uwekezaji wao hauna mashaka kabisa mkuu.Hongera wana Jimbo, Hongera kanisa moja la mitume .
Kumbuka haya ni mapato ya sherehe ya mavuno tu.. na ni kwa jimbo moja tu.
View attachment 2833300
uki jumlisha vyanzo vingine vya mapato mfano
1. Tegemeza jimbo
2. Miito mitakatifu
3. Sadaka za kawaida
4 mchango wa pili
5. Bahasha za Noeli/Pasaka
6.
7.
8.
9.
na uka estimate kwa Nchi nzima..
Nadhani utakubaliana na mimi ukubwa wa hii taasisi.
ni tofauti kabisa na "ndugu zetu wa upande wa pili"
Heko kanisa.. heko watoaji.
PS
sijajua matumizi ya hizo pesa.
maana kama kuna ujenzi basi ita anzishwa account y
Naona Askofu anakenua tu anajua hapa ni uhakika!!Hongera wana Jimbo, Hongera kanisa moja la mitume .
Kumbuka haya ni mapato ya sherehe ya mavuno tu.. na ni kwa jimbo moja tu.
View attachment 2833300
uki jumlisha vyanzo vingine vya mapato mfano
1. Tegemeza jimbo
2. Miito mitakatifu
3. Sadaka za kawaida
4 mchango wa pili
5. Bahasha za Noeli/Pasaka
6.
7.
8.
9.
na uka estimate kwa Nchi nzima..
Nadhani utakubaliana na mimi ukubwa wa hii taasisi.
ni tofauti kabisa na "ndugu zetu wa upande wa pili"
Heko kanisa.. heko watoaji.
PS
sijajua matumizi ya hizo pesa.
maana kama kuna ujenzi basi ita anzishwa account ya kuchangia
Hy ndio maokoto ani yanaokotwa majitu mbumbumbuMavuno neno tamu sana hili yaani wamevuna
Maendeleo ya hii taasisi yapo wazi. Na sasa linajengwa kanisa la kimataifa huko Gezaulole. Na nguvu ni zao pekee. Huku wakiwa na taasisi zao za Elimu anzia awali mpaka chuo kikuu, mahospital n.k. Hivyo uwekezaji wao hauna mashska kabisa mkuu.
Ni pato kubwa sana, hata Ukiunganisha mkoa wa Singida na Katavi hawafikii kiasi hikiKumbe watu wanatoa sadaka hivi!!? 🤔🤔
Hili pato ni kubwa kuliko hata mkoa wa singida
Ada ni sawaMFANO WAISLAM WANAOSOMA ST FRANCIS WANALIPA ADA KIASI TOFAUTI BA WAKATOLIKI AMA WOTE ADA NI SAWA ?
Muumini wa Kigogo Luhanga anafaidika nini na haya mabilioni mliyochanga?Hongera wana Jimbo, Hongera kanisa moja la mitume.
Kumbuka haya ni mapato ya sherehe ya mavuno tu.. na ni kwa jimbo moja tu.
View attachment 2833300
uki jumlisha vyanzo vingine vya mapato mfano
1. Tegemeza jimbo
2. Miito mitakatifu
3. Sadaka za kawaida
4 mchango wa pili
5. Bahasha za Noeli/Pasaka
6.
7.
8.
9.
na uka estimate kwa Nchi nzima..
Nadhani utakubaliana na mimi ukubwa wa hii taasisi.
ni tofauti kabisa na "ndugu zetu wa upande wa pili"
Heko kanisa.. heko watoaji.
PS
sijajua matumizi ya hizo pesa.
maana kama kuna ujenzi basi ita anzishwa account ya kuchangia
Kitu hukijui unauliza.Hapo zinapelekwa vatican
Naskia mnazipeleka Vaticano
#Hollysea.
wazungu wakajengee ma fly over na maendeleo mengine kwenye nchi zao.
Dini walizotuletea ni biashara nzuri sana ambayo wazungu wanaifanya. .
Ameteleza nakiri kwa hilo kama yeye atakuwa mzito kukiri kosa hili.We ni tahira kbs kwan tunaenda makanisan au miskitini kushndana kutoa pesa au kuitafuta mbingu? Eti wa upande wa pili we ni kichaa kbs MUNGU HATAFUTWI WALA HAPATIKANI KWA UKUBWA WA TAASISI. kuku wewe
Ada ni Sawa kwa wote. Hizo shule zinajengwa na wadau wengi (wamiliki ambao ni taasisi nyingine ndani ya kanisa). Utakuta shule inamilikiwa na Shirika fulani la mapadre au masista na wala pesa haitoki makao Makuu. Ila pia ziko zimazomilikiwa na parokia ya makao Makuu kama shule zote za St. Joseph DSM . Shule hizo zinajitegemea kwa Ada zao yaani ni independent chini ya Jimbo iliko shule. Ila kuna ambazo zimapewa support kama Seminary.. ikumbukwe pia mapadre huwa wanaolipwa monthly stipend or allowance. Na kila jimbo linahusika kivyake. Ninafikiri pesa ya mavumo inakuwa na utaratibu wake ambao inaratibiwa na TEC (kwa Fr. Kitima huko). Muhimu pesa ya kanisa Katoliki ina mfumo wa wazi wa matumizi yake. Hawana mchezo hawa watu. Ndiyo nguvu ya Elimu ilipo na ndiyo inawatofautisha na madhehebu mengine. Pamoja na pesa zote hizo hatujasikia wakigombania pesa na mali hadharani.Ni kweli kanisa katoliki linatumia Sadaka kujenga shule nyingi sana zenye majina makubwa
Mfano St francis mbeya
Marian bagamoyo
St joseph dar es salaam
Swali kubwa ni JE KWENYE HIZO SHULE ZA KATOLIKI WATOTO WA WAUMINI WALIOTOA SADAKA KUZIJENGA HUWA WANASOMESHWA BURE ? WANAPEWA DISCOUNT YA ADA AMA WANALIPA SAWA SAWA NA WATOTO WA DINI ZINGINE..
MFANO WAISLAM WANAOSOMA ST FRANCIS WANALIPA ADA KIASI TOFAUTI NA WAKATOLIKI AMA WOTE ADA NI SAWA ?