Mbwa dume
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 5,934
- 10,206
Kanisa ni kanisa tu cha msingi unapiga helaKama unaona jambo jepesi fanya kanisa katoliki ni taasisi imara usifananishe na manabii uchwara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kanisa ni kanisa tu cha msingi unapiga helaKama unaona jambo jepesi fanya kanisa katoliki ni taasisi imara usifananishe na manabii uchwara
Ungekua umetoa unafkiri ungehangaika kujibu Bob ?Tulia mzee kwani hela hizo umetoa wewe walio toa hawalalamiki wapambe sasa roho zipo juu juu
Nyie ni mambumbumbuKitu hukijui unauliza.
Utaratibu wa Kanisa kuna asilimia ndogo hutolewa kupelekwa Vatican kwa ajili ya kusaidia Kanisa kwenye majimbo maskini ya nchi mbalimbali duniani kiasi kinachosalia kinabaki ndani ya jimbo kwa ajili hiyo hiyo kusaidia Parokia zisizoweza kisadaka,mf:Jimbo la dsm linasimamia Parokia za kibiti na Mafia huko waumini ni maskini ukiwaambia watoe michango kujenga Kanisa kubwa au hospital hawawezi so wanasaidiwa na Parokia zinazojiweza.
By the way,kuna 100K yangu humo ktk jumuia yangu yupo mtu alitoa 1.5mill na hawajiulizi maswali mengi.
Dini ni utapeli uliyokubalika duniani.Hongera wana Jimbo, hongera kanisa moja la mitume.
Kumbuka haya ni mapato ya sherehe ya mavuno tu, na ni kwa jimbo moja tu.
View attachment 2833300
Ukijumlisha vyanzo vingine vya mapato mfano:
1. Tegemeza jimbo
2. Miito mitakatifu
3. Sadaka za kawaida
4 mchango wa pili
5. Bahasha za Noeli/Pasaka
6.
7.
8.
9.
Kisha kadiria kwa Nchi nzima. Nadhani utakubaliana na mimi ukubwa wa hii taasisi.
Ni tofauti kabisa na "ndugu zetu wa upande wa pili". Heko kanisa, heko watoaji.
PS
Sijajua matumizi ya hizo pesa maana kama kuna ujenzi basi itaanzishwa account ya kuchangia.
Kama sikosei sadaka ya sikukuu ya PASAKA ndiyo hupeleka , na ndiyo maana hukuti kanisa katoliki wakilamba lamba miguu ya wakubwa wa sirikali kuomba misaada wanajitoshereza wenyeweKitu hukijui unauliza.
Utaratibu wa Kanisa kuna asilimia ndogo hutolewa kupelekwa Vatican kwa ajili ya kusaidia Kanisa kwenye majimbo maskini ya nchi mbalimbali duniani kiasi kinachosalia kinabaki ndani ya jimbo kwa ajili hiyo hiyo kusaidia Parokia zisizoweza kisadaka,mf:Jimbo la dsm linasimamia Parokia za kibiti na Mafia huko waumini ni maskini ukiwaambia watoe michango kujenga Kanisa kubwa au hospital hawawezi so wanasaidiwa na Parokia zinazojiweza.
By the way,kuna 100K yangu humo ktk jumuia yangu yupo mtu alitoa 1.5mill na hawajiulizi maswali mengi.
Unashangaa hiyo 1.5m mbona wapo watu wanaotoa mpaka mil 10? Kama mtu anazo si atoe tu . ukiwa nacho toa maana utadaiwa vingi.[emoji3][emoji3][emoji3]Kitu hukijui unauliza.
Utaratibu wa Kanisa kuna asilimia ndogo hutolewa kupelekwa Vatican kwa ajili ya kusaidia Kanisa kwenye majimbo maskini ya nchi mbalimbali duniani kiasi kinachosalia kinabaki ndani ya jimbo kwa ajili hiyo hiyo kusaidia Parokia zisizoweza kisadaka,mf:Jimbo la dsm linasimamia Parokia za kibiti na Mafia huko waumini ni maskini ukiwaambia watoe michango kujenga Kanisa kubwa au hospital hawawezi so wanasaidiwa na Parokia zinazojiweza.
By the way,kuna 100K yangu humo ktk jumuia yangu yupo mtu alitoa 1.5mill na hawajiulizi maswali mengi.
Sasa wataiendesha vipi? Na ndiyo maana wapo vizuri na watu wanazikimbiliaAda ni sawa
Hichi kitu huwa kinaniumiza kichwa sana kwa nn wasitupe discount sisi wakristo maana hizo taasisi tumechangia kuzijenga
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Msafara wa mamba kenge huwa hawakosekani halafu mara nyingi walalamishi ni wale wasio toa, mwingine katoa laki halalamiki yeye asiyetoa ndiye mlalamikajiBro hao siyo waamini hao ni waongeza idadi tu Kanisani,unakuta ibada ikiisha kwenye viwanja vya Kanisa mnajikuta mpo wengi lakini wanaojua kwanini wamekuja Kanisani ni wachache.
Muumini anayejitambua hawezi kulalamikia mchango wa Tsh 21,000/= tena anayotakiwa kuitoa (siyo kwa lazima akitaka kutoa atoe asipotaka aache) kidogo kidogo ndani ya miezi mitatu lakini bado analalamika,unalalamika nini wakati hujashikiwa bunduki kutoa?Mungu ni mwema huwa zinazidi na kuzidi.
Uzuri baraka za Mungu huwa zinatiririka unakuta wenye nazo ndiyo hawalalili kwa amani, unaambiwa mwenye kingi atadaiwa kingi na vile vile mwenye kidogo atadaiwa kidogo hivyo hivyo.daaa pesa ndefu sana hii na asilimia 50 imetoka kwenye mikono ya maskini ambao hawana uhakika wa msosi this is called new theft and robbery
hii imenikumbusha kitabu cha DEVIL ON THE CROSS by ngugi wa thiongo
Wewe nae jitu jeusi liafrika kutwa kutetea ukatolic/dhehebu la kuletewa as if mnalipwa.Nakataa,hakuna muumini wa jumuia Mkatoliki anayetengwa na wenzake kisa hajatoa michango hii mnachomekea ninyi msioujua Ukatoliki.
Kwamba kuna muumini alikufa na alikuwa anahudhuria jumuia na hakuzikwa na Kanisa?jumuia ni Kanisa la pili kutoka la kwanza (familia ya muumini,mimi na familia yangu hapa nyumbani ni mwanzo wa Kanisa) sasa inakuwaje mimi sijawahi kuonekana hadharani na waamini wenzangu (wanajumuia) nikimkiri Mungu then leo nife wakajikusanye kuilazimisha maiti yangu imkiri kitendo nilichoshindwa kukifanya nikiwa hai?
Pole mzeeWewe nae jitu jeusi liafrika kutwa kutetea ukatolic/dhehebu la kuletewa as if mnalipwa.
Hivi hayo mamichango yenu mnayoyatoa kila jumapili mmeagizwa na nani?
Mnafuata mafundisho ya nani?, maana iko wazi ilo dhehebu lenu linaongoza kwa kukiuka misingi na mafundisho ya bible, achilia mbali waumini wake vilaza wasioshaurika wala kuambilika.
Mlilishwa nini wajameni mpaka hamtumii akili yaan badala ya kupeleka hizo fedha zenu kwa wahitaji kama masikin,wagonjwa,mayatima na wajane nyie mnapeleka huko ambako hizo fedha hakuna zinachofanya zaidi ya kuwanufasisha majizi wachungaji na kuinua uchumi wa Vatican.
Elimikeni enyi vilaza wafia dini, hamuwezi kutumia akili basi sikieni hata ushauri wa vilaza wenzenu wasabato na baadhi ya vilaza wanaofuata angalau mafundisho ya biblia kwa usahihi.
Ama kweli lengo la wazungu kuleta dini limetimia kwa asilimia zote.
Amkeni enyi wapumbavu mtadanganywa na dini za uongo mpaka lini?.
Mvaa kobaz ili uelewe mambo kama haya inabidi kichwani uwe smart ila ukiwa mbulula unatoka kapa.Wewe nae jitu jeusi liafrika kutwa kutetea ukatolic/dhehebu la kuletewa as if mnalipwa.
Hivi hayo mamichango yenu mnayoyatoa kila jumapili mmeagizwa na nani?
Mnafuata mafundisho ya nani?, maana iko wazi ilo dhehebu lenu linaongoza kwa kukiuka misingi na mafundisho ya bible, achilia mbali waumini wake vilaza wasioshaurika wala kuambilika.
Mlilishwa nini wajameni mpaka hamtumii akili yaan badala ya kupeleka hizo fedha zenu kwa wahitaji kama masikin,wagonjwa,mayatima na wajane nyie mnapeleka huko ambako hizo fedha hakuna zinachofanya zaidi ya kuwanufasisha majizi wachungaji na kuinua uchumi wa Vatican.
Elimikeni enyi vilaza wafia dini, hamuwezi kutumia akili basi sikieni hata ushauri wa vilaza wenzenu wasabato na baadhi ya vilaza wanaofuata angalau mafundisho ya biblia kwa usahihi.
Ama kweli lengo la wazungu kuleta dini limetimia kwa asilimia zote.
Amkeni enyi wapumbavu mtadanganywa na dini za uongo mpaka lini?.
Sawa mjanja!Nyie ni mambumbumbu
Ulishuhudia zikienda Vatican?Hapo zinapelekwa vatican wazungu wakajengee ma fly over na maendeleo mengine kwenye nchi zao.
Dini walizotuletea ni biashara nzuri sana ambayo wazungu wanaifanya. .
Ulishuhudia zikienda Vatican?