Mapato sherehe ya Mavuno Jimbo Katoliki Dar ni Tsh. Bil. 4.5

Mapato sherehe ya Mavuno Jimbo Katoliki Dar ni Tsh. Bil. 4.5

🤣🤣 Tuliosoma Cuba tumeelewa hii ni SARCASM. Kiukweli bado uislamu itazidi kuwa imani bora zaidi. Ina mapungufu machache sana.... wakristo kwenye maokoto tumetekwa mno na shetani. Sasa sadaka zote hizo si ni utapeli mtupu? Hiyo bahasha ya noeli ya kazi gani?
Haya jilipue basi uwahi mabikra 72 sijui utenda wapiga kavu au utavaa ndomu make lazma UTI utapata
 
Hongera wana Jimbo, hongera kanisa moja la mitume.

Kumbuka haya ni mapato ya sherehe ya mavuno tu, na ni kwa jimbo moja tu.

View attachment 2833300
Ukijumlisha vyanzo vingine vya mapato mfano:
1. Tegemeza jimbo
2. Miito mitakatifu
3. Sadaka za kawaida
4 mchango wa pili
5. Bahasha za Noeli/Pasaka
6.
7.
8.
9.

Kisha kadiria kwa Nchi nzima. Nadhani utakubaliana na mimi ukubwa wa hii taasisi.

Ni tofauti kabisa na "ndugu zetu wa upande wa pili". Heko kanisa, heko watoaji.

PS
Sijajua matumizi ya hizo pesa maana kama kuna ujenzi basi itaanzishwa account ya kuchangia.
Hizi pesa at least zingeenda kusaidia masikini sio wa kujitajirisha
 
🤣🤣 Tuliosoma Cuba tumeelewa hii ni SARCASM. Kiukweli bado uislamu itazidi kuwa imani bora zaidi. Ina mapungufu machache sana.... wakristo kwenye maokoto tumetekwa mno na shetani. Sasa sadaka zote hizo si ni utapeli mtupu? Hiyo bahasha ya noeli ya kazi gani?

We ume elewa vizuri mkuu....
Lengo la mtoa mada ni ku appreciate "ndugu zetu wa upande ule". kwamba wao pesa siyo kipaumbele..

hata hivyo sija wataja.. pengine nili maanisha akina Yeriko Nyerere waabudu mizimu..
 
IMG-20231128-WA0000.jpg
IMG-20231128-WA0000.jpg
 
Hongera wana Jimbo, hongera kanisa moja la mitume.

Kumbuka haya ni mapato ya sherehe ya mavuno tu, na ni kwa jimbo moja tu.

View attachment 2833300
Ukijumlisha vyanzo vingine vya mapato mfano:
1. Tegemeza jimbo
2. Miito mitakatifu
3. Sadaka za kawaida
4 mchango wa pili
5. Bahasha za Noeli/Pasaka
6.
7.
8.
9.

Kisha kadiria kwa Nchi nzima. Nadhani utakubaliana na mimi ukubwa wa hii taasisi.

Ni tofauti kabisa na "ndugu zetu wa upande wa pili". Heko kanisa, heko watoaji.

PS
Sijajua matumizi ya hizo pesa maana kama kuna ujenzi basi itaanzishwa account ya kuchangia.
Acha unafiki watoaji wenyewe tumechill hatuna time
 
Hy ndio maokoto ani yanaokotwa majitu mbumbumbu
Yanawapa hela ya Pombe n disko vizungu Vizee vilivyogomea ndoa

Nilifikir simu tu yawekwa kweny box Kumbe hadi wa2
Tulia mzee kwani hela hizo umetoa wewe walio toa hawalalamiki wapambe sasa roho zipo juu juu
 
Back
Top Bottom