Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Sawa tu, kuliko kumpelekea Mwamposa!Ma baba paroko wamepiga maokoto ya kutosha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa tu, kuliko kumpelekea Mwamposa!Ma baba paroko wamepiga maokoto ya kutosha
Kamati tendaji na warei tulikubaliana ndio utaratibu tutakaofanya. Ukiwa huna padri anatoa baraka anaondoka. Hii ni nzuri zaid maana kuna watu husema padri hajawahi fika kwenye nyumba zao labda kuwe na mazishi. So ilikua njia sahihi ya padri kutembelea nyumba za waaminiUkiwaambia huna walikuwa wanasemaje?
Vipi kwanini Mapadre wafikie hatua hiyo,ninyi hamna Kamati Tendaji ya Parokia ikafanya kazi hiyo?
Na kuna waliochangia na hawawezi kabisa kupeleka watoto wao hapo. Kuna mama alikuwa analalamikia kuchangia ununuzi wa gari la shule wakati mwanae anasoma kayumba na hata kumchangia chakula tu ni mtihani. Na wasipochangia huko kwenye jumuia hapakalilki.Ada ni sawa
Hichi kitu huwa kinaniumiza kichwa sana kwa nn wasitupe discount sisi wakristo maana hizo taasisi tumechangia kuzijenga
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Na ole wako usitoe mchango wanakutenga kabisaHili kanisa linaongoza kwa michango, wala sio ajabu hicho kiasi.
Inauma SanaNa kuna waliochangia na hawawezi kabisa kupeleka watoto wao hapo. Kuna mama alikuwa analalamikia kuchangia ununuzi wa gari la shule wakati mwanae anasoma kayumba na hata kumchangia chakula tu ni mtihani. Na wasipochangia huko kwenye jumuia hapakalilki.
Hollysea ❌️Naskia mnazipeleka Vaticano
#Hollysea.
Kile kitendo Cha kuwatenga kuanzia kwenye jumuiya na zaidi ya bunduki. Nilishashuhudia mara kibao mnakataa kufanya ibada kwenye misiba kisa aliekufa alikuwa hotoi michangoBro hao siyo waamini hao ni waongeza idadi tu Kanisani,unakuta ibada ikiisha kwenye viwanja vya Kanisa mnajikuta mpo wengi lakini wanaojua kwanini wamekuja Kanisani ni wachache.
Muumini anayejitambua hawezi kulalamikia mchango wa Tsh 21,000/= tena anayotakiwa kuitoa (siyo kwa lazima akitaka kutoa atoe asipotaka aache) kidogo kidogo ndani ya miezi mitatu lakini bado analalamika,unalalamika nini wakati hujashikiwa bunduki kutoa?Mungu ni mwema huwa zinazidi na kuzidi.
Bro aliyekudanganya hivyo nani?daaa pesa ndefu sana hii na asilimia 50 imetoka kwenye mikono ya maskini ambao hawana uhakika wa msosi this is called new theft and robbery
hii imenikumbusha kitabu cha DEVIL ON THE CROSS by ngugi wa thiongo
Soma Mathayo 5:47Ni kweli kanisa katoliki linatumia Sadaka kujenga shule nyingi sana zenye majina makubwa
Mfano St francis mbeya
Marian bagamoyo
St joseph dar es salaam
Swali kubwa ni JE KWENYE HIZO SHULE ZA KATOLIKI WATOTO WA WAUMINI WALIOTOA SADAKA KUZIJENGA HUWA WANASOMESHWA BURE ? WANAPEWA DISCOUNT YA ADA AMA WANALIPA SAWA SAWA NA WATOTO WA DINI ZINGINE..
MFANO WAISLAM WANAOSOMA ST FRANCIS WANALIPA ADA KIASI TOFAUTI NA WAKATOLIKI WANAOSOMA ST FRANCIS AMA WOTE ADA NI SAWA ?
Nakataa,hakuna muumini wa jumuia Mkatoliki anayetengwa na wenzake kisa hajatoa michango hii mnachomekea ninyi msioujua Ukatoliki.Kile kitendo Cha kuwatenga kuanzia kwenye jumuiya na zaidi ya bunduki. Nilishashuhudia mara kibao mnakataa kufanya ibada kwenye misiba kisa aliekufa alikuwa hotoi michango
Najua bro bad thing nimekulia kwenye iyo system mimi pia nipo kanisani kila siku asubuhi 12 na nusu kwenye Misa za asubuhi before kuianza siku na kesho nitaenda pia coz ni tabia sasa nimekulia humo but it doesn't change the fact kwamba the system fools us in other side of coinBro aliyekudanganya hivyo nani?
Unasemaje sisi ni maskini wakati hapa nimekaa miguu juu nimekula nimeshiba wanangu wameshiba wameniaga kwa furaha Baba tunaenda kulala na wanalala sehemu nzuri mimi nipo hapa na wewe tunajadiliana kupitia device zinazotamia gharama bundle umeme etc na hakuna nilichokosa?
Maskini tupo ukisikia utoaji siyo lazima hela hata nguvu zako unaenda kuzitumia kumtumikia Mungu,mfano Parokiani kwetu huku Mbezi Makabe tuna ujenzi wa nyumba ya Mapadre siyo wote wanaotoa hela asiye na uwezo aliyebarikiwa nguvu na uzima anajiandikisha siku labda ya kumwaga zege anaenda pale masaa yake atakayoona yanamtosha Mungu wake kwa siku hiyo akimaliza anaenda na shughuli zake.
Simple tu.
Pesa za escrow na dili za bandarini zinasaidia kukuza sadaka. Soma orodha ya waliokula pesa za escrow na ujue bado ni hao hao wanaendeleza kula dili zingine sababu ufisadi wa mali za dola sio dhambi kwao ndio maana wakatoa waraka kupinga mradi wa ufanisi wa bandari na yule bibi wa pesa za mboga nae akawa mbele sababu nae ni fisadi na muumini wa kanisa.Hongera wana Jimbo, hongera kanisa moja la mitume.
Kumbuka haya ni mapato ya sherehe ya mavuno tu, na ni kwa jimbo moja tu.
View attachment 2833300
Ukijumlisha vyanzo vingine vya mapato mfano:
1. Tegemeza jimbo
2. Miito mitakatifu
3. Sadaka za kawaida
4 mchango wa pili
5. Bahasha za Noeli/Pasaka
6.
7.
8.
9.
Kisha kadiria kwa Nchi nzima. Nadhani utakubaliana na mimi ukubwa wa hii taasisi.
Ni tofauti kabisa na "ndugu zetu wa upande wa pili". Heko kanisa, heko watoaji.
PS
Sijajua matumizi ya hizo pesa maana kama kuna ujenzi basi itaanzishwa account ya kuchangia.
Mboni tungekufa km tungetoa Hy mioyoKutoa ni moyo si utajiri
Juu hapo ulikiri kuwa michango ni lazima mtu asipo changa kwenye jumuiya hapakaliki. Sio wewe uliesema?Nakataa,hakuna muumini wa jumuia Mkatoliki anayetengwa na wenzake kisa hajatoa michango hii mnachomekea ninyi msioujua Ukatoliki.
Kwamba kuna muumini alikufa na alikuwa anahudhuria jumuia na hakuzikwa na Kanisa?jumuia ni Kanisa la pili kutoka la kwanza (familia ya muumini,mimi na familia yangu hapa nyumbani ni mwanzo wa Kanisa) sasa inakuwaje mimi sijawahi kuonekana hadharani na waamini wenzangu (wanajumuia) nikimkiri Mungu then leo nife wakajikusanye kuilazimisha maiti yangu imkiri kitendo nilichoshindwa kukifanya nikiwa hai?
Shule za marian ni za taasisi ya spirtan iliyoko ndani ya kanisa katoliki jimbo ya Morogoro eneo la bagamoyo.Ni kweli kanisa katoliki linatumia Sadaka kujenga shule nyingi sana zenye majina makubwa
Mfano St francis mbeya
Marian bagamoyo
St joseph dar es salaam
Swali kubwa ni JE KWENYE HIZO SHULE ZA KATOLIKI WATOTO WA WAUMINI WALIOTOA SADAKA KUZIJENGA HUWA WANASOMESHWA BURE ? WANAPEWA DISCOUNT YA ADA AMA WANALIPA SAWA SAWA NA WATOTO WA DINI ZINGINE..
MFANO WAISLAM WANAOSOMA ST FRANCIS WANALIPA ADA KIASI TOFAUTI NA WAKATOLIKI WANAOSOMA ST FRANCIS AMA WOTE ADA NI SAWA ?
Dunia nzima Pana asilimia zinaenda Vatican kufadhili shughuli za kanisa mfano mashirika ya kuhudumia wenye shida mfano mashirika mbalimbali ya dini yanayohudumia wakimbizi Duniani pote mfano caritas, world vision, christian refugee,nk.Hapo zinapelekwa vatican wazungu wakajengee ma fly over na maendeleo mengine kwenye nchi zao.
Dini walizotuletea ni biashara nzuri sana ambayo wazungu wanaifanya. .
Kama wewe sio mshiriki kwann wao washiriki kwenye msiba wako hali Sio mwanachama waoJuu hapo ulikiri kuwa michango ni lazima mtu asipo changa kwenye jumuiya hapakaliki. Sio wewe uliesema?
Hizo tabia za kususia misiba kisa mtu haji kwenye jumuiya mnayo sana. Naziona sana Kwa majirani zamgu
Hakuna maisha bila sadakaWatu wanatoa sadaka sana