Mapato sherehe ya Mavuno Jimbo Katoliki Dar ni Tsh. Bil. 4.5

Kitu hukijui unauliza.

Utaratibu wa Kanisa kuna asilimia ndogo hutolewa kupelekwa Vatican kwa ajili ya kusaidia Kanisa kwenye majimbo maskini ya nchi mbalimbali kiasi kinachosalia kinabaki ndani ya jimbo kwa ajili hiyo hiyo kusaidia Parokia zisizoweza kisadaka,mf:Jimbo la dsm linasimamia Parokia za kibiti na Mafia huko waumini ni maskini ukiwaambia watoe michango kujenga Kanisa kubwa au hospital hawawezi so wanasaidiwa na Parokia zinazojiweza.

By the way,kuna 100K yangu humo ktk jumuia yangu yupo mtu alitoa 1.5mill na hawajiulizi maswali mengi.
Well said. Big up
 
Hongera wana Jimbo, Hongera kanisa moja la mitume.

Kumbuka haya ni mapato ya sherehe ya mavuno tu.. na ni kwa jimbo moja tu.

View attachment 2833300
uki jumlisha vyanzo vingine vya mapato mfano

1. Tegemeza jimbo
2. Miito mitakatifu
3. Sadaka za kawaida
4 mchango wa pili
5. Bahasha za Noeli/Pasaka
6.
7.
8.
9.

na uka estimate kwa Nchi nzima..
Nadhani utakubaliana na mimi ukubwa wa hii taasisi.

ni tofauti kabisa na "ndugu zetu wa upande wa pili"

Heko kanisa.. heko watoaji.

PS
sijajua matumizi ya hizo pesa.
maana kama kuna ujenzi basi ita anzishwa account ya kuchangia
Safi sana! Ila waumini wanalalamika michango imezidi hadi inafikia wanakacha ibada
 
Ni kweli kanisa katoliki linatumia Sadaka kujenga shule nyingi sana zenye majina makubwa

Mfano St francis mbeya

Marian bagamoyo

St joseph dar es salaam

Swali kubwa ni JE KWENYE HIZO SHULE ZA KATOLIKI WATOTO WA WAUMINI WALIOTOA SADAKA KUZIJENGA HUWA WANASOMESHWA BURE ? WANAPEWA DISCOUNT YA ADA AMA WANALIPA SAWA SAWA NA WATOTO WA DINI ZINGINE..

MFANO WAISLAM WANAOSOMA ST FRANCIS WANALIPA ADA KIASI TOFAUTI NA WAKATOLIKI WANAOSOMA ST FRANCIS AMA WOTE ADA NI SAWA ?
Hii st francis ada sh ngapi?
 
Pango la wanyanganyi

Ada ni sawa
Hichi kitu huwa kinaniumiza kichwa sana kwa nn wasitupe discount sisi wakristo maana hizo taasisi tumechangia kuzijenga

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Safi sana! Ila waumini wanalalamika michango imezidi hadi inafikia wanakacha ibada
Bro hao siyo waamini hao ni waongeza idadi tu Kanisani,unakuta ibada ikiisha kwenye viwanja vya Kanisa mnajikuta mpo wengi lakini wanaojua kwanini wamekuja Kanisani ni wachache.

Muumini anayejitambua hawezi kulalamikia mchango wa Tsh 21,000/= tena anayotakiwa kuitoa (siyo kwa lazima akitaka kutoa atoe asipotaka aache) kidogo kidogo ndani ya miezi mitatu lakini bado analalamika,unalalamika nini wakati hujashikiwa bunduki kutoa?Mungu ni mwema huwa zinazidi na kuzidi.
 
Sawa! Safi sana, kwa sisi waislam pesa kama hizo huwa zinapatikana tatizo unakuta wanatoa watu wa3 tu, yaani watu wanaamini michango ni kwaajili ya watu fulani tu.
 
Back
Top Bottom