Mapato sherehe ya Mavuno Jimbo Katoliki Dar ni Tsh. Bil. 4.5

Well said. Big up
 
Safi sana! Ila waumini wanalalamika michango imezidi hadi inafikia wanakacha ibada
 
Hii st francis ada sh ngapi?
 
Pango la wanyanganyi
 
Ada ni sawa
Hichi kitu huwa kinaniumiza kichwa sana kwa nn wasitupe discount sisi wakristo maana hizo taasisi tumechangia kuzijenga

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Safi sana! Ila waumini wanalalamika michango imezidi hadi inafikia wanakacha ibada
Bro hao siyo waamini hao ni waongeza idadi tu Kanisani,unakuta ibada ikiisha kwenye viwanja vya Kanisa mnajikuta mpo wengi lakini wanaojua kwanini wamekuja Kanisani ni wachache.

Muumini anayejitambua hawezi kulalamikia mchango wa Tsh 21,000/= tena anayotakiwa kuitoa (siyo kwa lazima akitaka kutoa atoe asipotaka aache) kidogo kidogo ndani ya miezi mitatu lakini bado analalamika,unalalamika nini wakati hujashikiwa bunduki kutoa?Mungu ni mwema huwa zinazidi na kuzidi.
 
Sawa! Safi sana, kwa sisi waislam pesa kama hizo huwa zinapatikana tatizo unakuta wanatoa watu wa3 tu, yaani watu wanaamini michango ni kwaajili ya watu fulani tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…