Mapato sherehe ya Mavuno Jimbo Katoliki Dar ni Tsh. Bil. 4.5

Nyie ni mambumbumbu
 
Dini ni utapeli uliyokubalika duniani.
 
Kama sikosei sadaka ya sikukuu ya PASAKA ndiyo hupeleka , na ndiyo maana hukuti kanisa katoliki wakilamba lamba miguu ya wakubwa wa sirikali kuomba misaada wanajitoshereza wenyewe
 
Unashangaa hiyo 1.5m mbona wapo watu wanaotoa mpaka mil 10? Kama mtu anazo si atoe tu . ukiwa nacho toa maana utadaiwa vingi.[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Msafara wa mamba kenge huwa hawakosekani halafu mara nyingi walalamishi ni wale wasio toa, mwingine katoa laki halalamiki yeye asiyetoa ndiye mlalamikaji
 
daaa pesa ndefu sana hii na asilimia 50 imetoka kwenye mikono ya maskini ambao hawana uhakika wa msosi this is called new theft and robbery

hii imenikumbusha kitabu cha DEVIL ON THE CROSS by ngugi wa thiongo
Uzuri baraka za Mungu huwa zinatiririka unakuta wenye nazo ndiyo hawalalili kwa amani, unaambiwa mwenye kingi atadaiwa kingi na vile vile mwenye kidogo atadaiwa kidogo hivyo hivyo.
 
Wewe nae jitu jeusi liafrika kutwa kutetea ukatolic/dhehebu la kuletewa as if mnalipwa.

Hivi hayo mamichango yenu mnayoyatoa kila jumapili mmeagizwa na nani?

Mnafuata mafundisho ya nani?, maana iko wazi ilo dhehebu lenu linaongoza kwa kukiuka misingi na mafundisho ya bible, achilia mbali waumini wake vilaza wasioshaurika wala kuambilika.

Mlilishwa nini wajameni mpaka hamtumii akili yaan badala ya kupeleka hizo fedha zenu kwa wahitaji kama masikin,wagonjwa,mayatima na wajane nyie mnapeleka huko ambako hizo fedha hakuna zinachofanya zaidi ya kuwanufasisha majizi wachungaji na kuinua uchumi wa Vatican.

Elimikeni enyi vilaza wafia dini, hamuwezi kutumia akili basi sikieni hata ushauri wa vilaza wenzenu wasabato na baadhi ya vilaza wanaofuata angalau mafundisho ya biblia kwa usahihi.

Ama kweli lengo la wazungu kuleta dini limetimia kwa asilimia zote.

Amkeni enyi wapumbavu mtadanganywa na dini za uongo mpaka lini?.
 
Pole mzee
 
Mvaa kobaz ili uelewe mambo kama haya inabidi kichwani uwe smart ila ukiwa mbulula unatoka kapa.

Wote hao uliowataja hapo wanakutana na hizo hela mtaani kwa njia mbalimbali and by the way,wewe unayetoa sadaka Tsh 500/= kwa wiki lini umeenda kutoa kwa hao uliowataja hapo juu?
 
Hapo zinapelekwa vatican wazungu wakajengee ma fly over na maendeleo mengine kwenye nchi zao.

Dini walizotuletea ni biashara nzuri sana ambayo wazungu wanaifanya. .
Ulishuhudia zikienda Vatican?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…