Mapato Simba Day vs Yanga Day

Mapato Simba Day vs Yanga Day

Makolo Lile bonanza Lile Kuna watu wameingia kwa bukubuku Ile jioni.. halafu mnajisifu kufull house... kolo hizo.. jumamosi tu aendeleze vilevile kwichikwichi yetu
 
Mpira pesa.

Pesa ndio Kila kitu

Kama mashabiki wako hawawezi kukusapoti upate pesa Hilo ni tatizo.

Timu Moja ni ya wenye vipato vyao

Yengine ya walalahoi,fungulia mbwa,wazee wa chabo.

Yanga watu walijaa tu wa kutosha na kibunda kinono mfukoni.

Pigine pesa acheni misifa ya kujaza uwanja.

Wekeni buku 10 kwenda juu mashabiki wa kweli watakuja wafuata upepo watabaki kwenye TV.
 
Ushindi na mafanikio ndio vilikuwa kipaumbele chetu kuliko mapato.. Leo wenye mapato makubwa hawana furaha kuliko wenye mapato madogo .. PESA SIO KILA KITU!
Hiyo ya kukosa furaha nyau zimejitungia! Mbona sisi tuna furaha yetu tangu tulivyowavuruga msimu uliopita? Unajua maana ya unbeaten wewe?
 
Hapo jambo kubwa ni viingilio yanga kima cha chini 10000/ pia kima cha juu ilikuwa 300000/ lkn simba haikuwa hivo
Haikuwa hivyo kwasababu Simba hawataki kujifananisha na Yanga, nadhani logic/mantiki ya Simba ni watu na kwakuwa wao ndio waasisi wa hayo mambo naaminibwali target watu hela baadaye,
 
Yanga walijifunza tokana na maandamano ya kombe Lao jinsi watu walivokuwa wamejaa hivo wakaona wakiweka kiingilio Cha chini watu watajaa na kusababisha taflani kwenye uwanja ndiyo maana wakaja na kiingilio Cha juu

Upande wa wekundu wao hawakuwa na ufaham wa mwitikio haswa kipindi hiki ambacho timu imepoteza makombe yote hivyo wakaona Ili watu waje waweke kiwango kidogo Cha kuingilia

Huo ndiyo uhalisia
 
Yanga waliweka nguvu kupata PESA na SIMBA YANGU iliweka nguvu kwa mashabiki wake waenjoy siku yao.
 
Mmeona Simba kajaza uwanja, kashinda mechi mmeanza vituko vyenu kama kawaida source ya mapato Manara hata kitenge badala ya kuzungumzia Simba Day anakuja na hoja mbona Dilunga hajaagwa Kwa kifupi tumewazoea kama mapato mkataba wa m bet utafidia
Na Ibrahim Masoud akamchomekea habari ya Kabwili hapo Maulid na yile Twalib wakaingiwa na jazba
 
Makolo Lile bonanza Lile Kuna watu wameingia kwa bukubuku Ile jioni.. halafu mnajisifu kufull house... kolo hizo.. jumamosi tu aendeleze vilevile kwichikwichi yetu
Unafuatilia habari? Tickets za Simba ziliisha mapema sana na kugikia saa nane kasoro uwanja ulikua tayari umejaa, sasa hiyo jioni ya matopeni kwenye maji au ua Mama J?
 
Mpira pesa.

Pesa ndio Kila kitu

Kama mashabiki wako hawawezi kukusapoti upate pesa Hilo ni tatizo.

Timu Moja ni ya wenye vipato vyao

Yengine ya walalahoi,fungulia mbwa,wazee wa chabo.

Yanga watu walijaa tu wa kutosha na kibunda kinono mfukoni.

Pigine pesa acheni misifa ya kujaza uwanja.

Wekeni buku 10 kwenda juu mashabiki wa kweli watakuja wafuata upepo watabaki kwenye TV.
Zinatosha walizopata, malengo yalikua watu wajae na ndicho kilichotokea,
 
Hapo jambo kubwa ni viingilio yanga kima cha chini 10000/ pia kima cha juu ilikuwa 300000/ lkn simba haikuwa hivo
Wanaema kwa Simba kima cha chini waliuziwa ticket kwa shs. 1,000 na cha juu waliuziwa kwa shs. 15,000.
 
Back
Top Bottom