Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hoja dhaifuuuuu!Mapato hayatuhusu kikubwa watu wamejaa wamefurahi ndo maaana ya siku yao wajidai..hao.wengine labda wana madeni wanataka wayalipe.
Tofauti ya watu ni ndogo sana umeona lakini nyaunyau Makolokolo?Ishu siyo mapato tu pia uwingi mi mzuri Zaid kuklliko like pengi
Hiyo ya kukosa furaha nyau zimejitungia! Mbona sisi tuna furaha yetu tangu tulivyowavuruga msimu uliopita? Unajua maana ya unbeaten wewe?Ushindi na mafanikio ndio vilikuwa kipaumbele chetu kuliko mapato.. Leo wenye mapato makubwa hawana furaha kuliko wenye mapato madogo .. PESA SIO KILA KITU!
Yeah, Nyau walijua kabisa wakiweka kiingilio kikubwa uwanja hata nusu usingefika! Heko Yanga kwa akili kubwa!hii inaonyesha jinsi mashabiki wa YANGA wanavyoipenda na kuitakia mafanikio timu yao
Haikuwa hivyo kwasababu Simba hawataki kujifananisha na Yanga, nadhani logic/mantiki ya Simba ni watu na kwakuwa wao ndio waasisi wa hayo mambo naaminibwali target watu hela baadaye,Hapo jambo kubwa ni viingilio yanga kima cha chini 10000/ pia kima cha juu ilikuwa 300000/ lkn simba haikuwa hivo
Lakini nasikia wachambuzi na waandishi wa habari wanasema ile Jumamksi palikua na fungulia mbwaBuguruni juzi tiketi zilkua zinauzwa 2000.
Na Ibrahim Masoud akamchomekea habari ya Kabwili hapo Maulid na yile Twalib wakaingiwa na jazbaMmeona Simba kajaza uwanja, kashinda mechi mmeanza vituko vyenu kama kawaida source ya mapato Manara hata kitenge badala ya kuzungumzia Simba Day anakuja na hoja mbona Dilunga hajaagwa Kwa kifupi tumewazoea kama mapato mkataba wa m bet utafidia
Unafuatilia habari? Tickets za Simba ziliisha mapema sana na kugikia saa nane kasoro uwanja ulikua tayari umejaa, sasa hiyo jioni ya matopeni kwenye maji au ua Mama J?Makolo Lile bonanza Lile Kuna watu wameingia kwa bukubuku Ile jioni.. halafu mnajisifu kufull house... kolo hizo.. jumamosi tu aendeleze vilevile kwichikwichi yetu
Zinatosha walizopata, malengo yalikua watu wajae na ndicho kilichotokea,Mpira pesa.
Pesa ndio Kila kitu
Kama mashabiki wako hawawezi kukusapoti upate pesa Hilo ni tatizo.
Timu Moja ni ya wenye vipato vyao
Yengine ya walalahoi,fungulia mbwa,wazee wa chabo.
Yanga watu walijaa tu wa kutosha na kibunda kinono mfukoni.
Pigine pesa acheni misifa ya kujaza uwanja.
Wekeni buku 10 kwenda juu mashabiki wa kweli watakuja wafuata upepo watabaki kwenye TV.
Wameona Kinye fcTofauti ya watu ni ndogo sana umeona lakini nyaunyau Makolokolo?
Anajua maana ya Mama J na Kinye fcHiyo ya kukosa furaha nyau zimejitungia! Mbona sisi tuna furaha yetu tangu tulivyowavuruga msimu uliopita? Unajua maana ya unbeaten wewe?
Wanaema kwa Simba kima cha chini waliuziwa ticket kwa shs. 1,000 na cha juu waliuziwa kwa shs. 15,000.Hapo jambo kubwa ni viingilio yanga kima cha chini 10000/ pia kima cha juu ilikuwa 300000/ lkn simba haikuwa hivo
Kinye FC ya nokho nyanda! Hata nokho anaijua hiyo!Wameona Kinye fc
Hata wana Yanga wali-enjoy pamoja na kulipa hela!Yanga waliweka nguvu kupata PESA na SIMBA YANGU iliweka nguvu kwa mashabiki wake waenjoy siku yao.